Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Helicopter ya Russia imetunguliwa,[emoji625] Kharkiv

Mkuu

Ukifungua hiyo Twitter wameandika hivi

what is claimed to be a Ka-52 attack helicopter..

Waleta habari wasema ni "claimed to be"... Sasa wewe unapataje legitimacy ya kusema kwamba Ni Russia helicopter

Embu saa zingine jitahidi kuwa na akili hata kidogo
 
1664046823063.png

Lavrov and Indian Foreign Minister stressed a firm commitment to strengthening bilateral cooperation on the whole range of issues — Russian Foreign Ministry
 
Key Notes za Lavrov leo 🔥🔥🔥

❗️"The Future of the World Order Being Decided Today" - Russian FM Lavrov

🇷🇺's top diplomat has stressed it's either one dominant nation, or the route Moscow is taking to end a world of blackmail, intimidation and undesirables. Here's a recap of Sergey Lavrov's speech to the UNGA so far:

📍 Instead of dialogue & compromise, there is disinformation, crude dramatisation & provocation.

📍 West undermines trust in intl justice.

📍 Unipolar world serves "golden billion" at expense of Asia, Africa and Latin America - this is going to end.

📍 Washington creates geopolitical process to retain its dominance - thinks it's "Lord God on Earth".

📍 We all remember Yugoslavia, Iraq, and Libya - far from US shores where hundreds of thousands died.

📍 Name one country US entered by force and life became better.

📍Illegal sanctions are political blackmail - deny civilians essential goods.

UNGA Updates

Kwenye hizo bold ndipo Pro West huwa wako chap kwa haraka kuhamisha magoli.
 
1664047710464.png

US Democratic-Socialist Congresswoman, Alexandria Ocasio-Cortez on September 23, 2022 on twitter:
— "Solidarity with the courageous women and allies in Iran protesting for their freedom.

Mahsa Amini was senselessly murdered by the same patriarchal and autocratic forces repressing women the world over.

The right to choose belongs to us all, from hijabs to reproductive care*."

* - Note: When US politicians euphemistically talk about "reproductive freedoms" or "reproductive care", they are not talking about women's freedom to have as many children as they want or to be supported by the government, but rather, they are simply referring to , right to kill the child in the womb (abortion)
 
HIMARS oyee [emoji23]

Sina hakika mdau, lakini kuhusu S-400 sijawahi kusikia zimekua deployed hapo Ukraine.

Kwenye kila data wanazotoa Russia MoD wanasema "Russia Air Defence" imefanya hivi na vile so kama ni S-series in action probably itakuwa ni S-300 hasa ukizingatia Russia anatumia silaha zake za kitambo mzigoni.

Hawa Kelele zao za HIMARS zimefunikwa na show ya kibabe inayopigwa na hizo drones za Iran Shahed-136. Kitendo kilichopelekea Zelensky kuondoa accreditation ya balozi ya Iran nchini hapo kwa machungu anayopata. Nayo inathibitisha namna gani zinawakamua vibaya.

I heard too kua Russia's Reconnaissance Aircraft itaingia mzigoni mda sio mrefu. Hii itakuwa ni kichomi kingine upande wa Ukraine. Taarifa zote zitakazokua obtained zitakuwa zinalishwa kwa hao Iranian/Russian Drones Operators na wao kutuma vifurushi kwa weledi sehem zinakohitajika [emoji4].
For sure hapo nimekuelewa kama bado S300 inawasumbua hvo basi urusi haijaanza kufanya kitu bado.
 
Nikikumbuka wakat kuna tetenas za drones za IRAN kuja hapo UKRAINE kuna mchambuzi wetu mmoja pendwa hapa ndani alianza kuziponda kweli kweli hizo drones
Ila leo mpaka kuona kitendo alichokifanya kwa IRAN ndugu Elensky natamani yule mchambuzi aje atoe tena neno hapa
Ila nasikitika siku skrin shot ile koment yake kwahio sita mtag sina ushahidi lkn maneno yake nayakumbuka haswaa
Ila bila yashaka ndugu Galip Vrl atakua kamjua[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mchambuzi wetu anamalizia kujichua mkuu,he'll be back.
 
Bayraktars zilizowahi kutengenezwa duniani ni ngapi na Russia anaclaim kuharibu ngapi!?

Maneno kitu simple
Russia kila siku anatoa briefings na jamaa yenu Jesus humu huwa analeta taarifa. Hapa ni June Russia ilisema imeharibu TB2 100 wakati Ukraine ilizokuwa imenunua hadi vita inaanza hazifiki 30. Na hapo kuna nyingine ambazo mara nyingi tu Russia ilisema imeharibu hatujumlishi kwenye hiyo "at least" 100.

Ukraine haijawahi kufikisha TB2 100 hadi sasa. Hizo 100 plus nyingine zinazoharibiwa zilitoka wapi
IMG_20220924_224633.jpg
 
Russia kila siku anatoa briefings na jamaa yenu Jesus humu huwa analeta taarifa. Hapa ni June Russia ilisema imeharibu TB2 100 wakati Ukraine ilizokuwa imenunua hadi vita inaanza hazifiki 30. Na hapo kuna nyingine ambazo mara nyingi tu Russia ilisema imeharibu hatujumlishi kwenye hiyo "at least" 100.

Ukraine haijawahi kufikisha TB2 100 hadi sasa. Hizo 100 plus nyingine zinazoharibiwa zilitoka wapiView attachment 2367095
abdulqadirj soma hapa. Urusi wanadai wameharibu zaidi ya 100 ambazo hazijawahi kumilikiwa na Ukraine. Ukraine ilipokea drones nyingine 50 baada ya hii taarifa.

Bado kuna taarifa nyingine za baada ya June za kuharibu Bayraktars nyingine. Hapo ukijumlisha zote ndio unapata idadi kuzidi hata ambazo Baykar walikuwa wameexport. Kwa sasa orders zao zimepanda washazidisha uzalishaji maradufu
 

Russian army begins to actively use ZALA drones — Kalashnikov​

Military & DefenseSeptember 23, 11:49

The KUB UAV, developed by ZALA Aero, carries a three-kilogram warhead. Its maximum flight duration is 30 minutes and speed - 130 km/h​

1366075.jpg

MOSCOW, August 24. /TASS/. The Russian army has begun to actively use unmanned aerial vehicles from ZALA Aero (an affiliate of the Kalashnikov concern), the concern’s president, Alan Lushnikov, told TASS.
"Any ZALA UAVs are new for the Russian Defense Ministry. As follows from the publications, the army has begun to actively use them," he said.
Earlier, the state corporation Rostec said that Russia’s kamikaze drones KUB and Lancet are widely used in combat operations in Ukraine, and have "successfully demonstrated their properties in combat conditions." The drones are mainly used to hit distant ground targets.
The KUB UAV, developed by ZALA Aero, carries a three-kilogram warhead. Its maximum flight duration is 30 minutes and speed - 130 km/h. The loitering ammunition KUB in November 2021 successfully passed government certification tests. Its serial deliveries to the Russian army were scheduled to begin in 2022.
The Lancet UAV, also manufactured by ZALA Aero, is equipped with several types of guidance systems: coordinate, optoelectronic and combined. The drone has a television communication channel that transmits an image of the target, which allows to get a confirmation the target has been hit. The complex is capable of destroying targets within a radius of up to 40 kilometers. Its maximum takeoff weight is 12 kilograms
 
Naachaje kumjua sasa mtu mpana kama yule vyeo vyote vyake. General wa US, Colonel wa France, Sergeant wa Germany, Corporal wa UK, Captain wa Canada, Lieutenant wa Spain. Chair wa NATO na branch Manager wa JF department ya Mapambio ya Collective west he he he.
[emoji23][emoji16][emoji23] dah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Key Notes za Lavrov leo [emoji91][emoji91][emoji91]

[emoji779]️"The Future of the World Order Being Decided Today" - Russian FM Lavrov

[emoji635]'s top diplomat has stressed it's either one dominant nation, or the route Moscow is taking to end a world of blackmail, intimidation and undesirables. Here's a recap of Sergey Lavrov's speech to the UNGA so far:

[emoji625] Instead of dialogue & compromise, there is disinformation, crude dramatisation & provocation.

[emoji625] West undermines trust in intl justice.

[emoji625] Unipolar world serves "golden billion" at expense of Asia, Africa and Latin America - this is going to end.

[emoji625] Washington creates geopolitical process to retain its dominance - thinks it's "Lord God on Earth".

[emoji625] We all remember Yugoslavia, Iraq, and Libya - far from US shores where hundreds of thousands died.

[emoji625] Name one country US entered by force and life became better.

[emoji625]Illegal sanctions are political blackmail - deny civilians essential goods.

UNGA Updates

Kwenye hizo bold ndipo Pro West huwa wako chap kwa haraka kuhamisha magoli.
Kwenye hizo bold ndipo Pro West huwa wako chap kwa haraka kuhamisha magoli.

Nakazia MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"We finished up with Russian professional army, and now its time to defeat unprofessional" Mkuu wa majeshi ya Ukraine, Jenerali Valerii ZaluzhnyView attachment 2367113

Zamu ya hao wauza baa waliookotwa uko Vladivostok na kufundishwa kwa wiki chache
Naona jamaa anajifariji ila ukweli hata wewe unaujua achana nayeye
Kama kweli angekua amewamaliza kama wanavyodai kwasasa kusingekua na SMO tena ndani ya UKRAINE
Maana majeshi ya RUSSIA yangekua yashakimbizwa zamani sana
Ila ndio kwanza wanalia lia na waangalizi wanaosimamia mchakato wa kura za maoni kule
Waache kulia lia mlisema DON BASS ilikua under RUSSIA tokea mwaka 2014 nakuendelea
Ila sasa tunawaeka sawa KHERSON na ZAPORINHE nao wanajiunga na RUSSIA hv punde

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi baada ya hii vita Russia atabaki na ndege kweli,maana kila siku zinapopolewa km mbayuwayu

[emoji298]️Ukraine shoots down 4 Russian aircraft.

Ukrainian forces have recently shot down two Russian Su-30 jets, one Su-25 and one Su-34, the General Staff of Ukraine's Armed Forces said in its evening briefing on Sept. 24.
Unajua anazo ngapi ?
 
Mkuu

Ukifungua hiyo Twitter wameandika hivi

what is claimed to be a Ka-52 attack helicopter..

Waleta habari wasema ni "claimed to be"... Sasa wewe unapataje legitimacy ya kusema kwamba Ni Russia helicopter

Embu saa zingine jitahidi kuwa na akili hata kidogo
Wanafunzi wa form 2 bhana,wanatusumbua humu JF Sana
 
Back
Top Bottom