Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hakuna upumbav kama huo dunia hii , yaani uvamie territory ya nchi nyingine halafu utegemee compromise na diplomacy , huo upumbav uko sayari ya mars
Naona umekuja kwa hasira sana na jazba, tuliza mzuka...humu sio mahakamani ..humu tunajadili tu....sasa wewe umewaka utafikiri ndo Zelensky mwenyewe....
Tulia bana....
 
Hiyo habari ya level zenu nyinyi Vatniks. Maneno mengi mmetype na picha au footage hamna. Hivi unajua kulingana na Wizara ya Ulinzi ya Russia ni kwamba walishaharibu Bayraktars za Ukraine nyingi kuliko idadi yote iliyowahi tengenezwa duniani?
Sasa sijui ni time travelers ama nini
Bayraktars zilizowahi kutengenezwa duniani ni ngapi na Russia anaclaim kuharibu ngapi!?

Maneno kitu simple
 
United Nations General Assembly:
— "Western countries are already openly talking about their intention to dismember Russia and make it disappear from the political map of the world for an independent course, Russian Foreign Minister Sergei Lavrov said at the general political discussion of the 77th session of the UN General Assembly."
 
Hivi baada ya hii vita Russia atabaki na ndege kweli,maana kila siku zinapopolewa km mbayuwayu

[emoji298]️Ukraine shoots down 4 Russian aircraft.

Ukrainian forces have recently shot down two Russian Su-30 jets, one Su-25 and one Su-34, the General Staff of Ukraine's Armed Forces said in its evening briefing on Sept. 24.
 
Hahahaha Putin ajiandae tu na total mobilization

[emoji298]️Russian media: Russia considers imposing martial law, banning men of draft age from leaving the country.

According to Russian media Verstka, Russia is considering imposing martial law “if Ukraine continues to attack" occupied territories that Russia plans to illegally annex.

According to the media, the Kremlin might also ban men of draft age from leaving Russia. The move might be announced ahead of Russian dictator Vladimir Putin’s address to the Federal Assembly which, according to Verstka, is scheduled for Sept. 30.
 
Hivi baada ya hii vita Russia atabaki na ndege kweli,maana kila siku zinapopolewa km mbayuwayu

[emoji298]️Ukraine shoots down 4 Russian aircraft.

Ukrainian forces have recently shot down two Russian Su-30 jets, one Su-25 and one Su-34, the General Staff of Ukraine's Armed Forces said in its evening briefing on Sept. 24.
Hizi ni Wishful Thinking

If wishes were horses, beggars would ride
 
1664045939141.png

Minister of Foreign Affairs of Lithuania, Mr. Gabrielius Landsbergis on September 23, 2022 on twitter:

"Things Russian men can do instead of running away to Europe:
— Protest
— Disobey
— AWOL (i.e. Desertion, absent without official leave)
— POW
— Mutiny

Asylum for 25 million draft dodgers is not an option.
Russians must liberate Russia."
 
Putin analazimisha watu wakafe Ukraine au la waende jela,Rais wa hovyo kuwahi kutokea!

On Sept. 24, Russian dictator Vladimir Putin signed into law amendments to the Russian Criminal Code toughening punishment for desertion, looting, and voluntary surrender, as reported by the Russian news agency Interfax.
 
Bayraktars zilizowahi kutengenezwa duniani ni ngapi na Russia anaclaim kuharibu ngapi!?

Maneno kitu simple
Tuanzie hapo kwanza, Obviously kama ataleta data sahihi basi hata mimi ntaanza kuwa na mashaka na data za russian ministry of defence na kama hatakuwa sahihi au hataleta authentic data basi huyu jamaa sitamwamini tena na atakuwa anatuongopea hapa T14 Armata
 
Back
Top Bottom