Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Na Ile misafara yako ya km 65 mascrepa ya vyuma chakavu na hao misukule wenu WA Wagner kwenda Kyiv kumg'oa zelensky uliyokuwa unatuambia humu iliishia wapi ?
Dogo,wewe bado sana hujaijua Dunia,unahitaji kujifunza zaidi.
Kuna vitu vingi sana hufahamu.
Nakuomba Upunguze ushabiki.
Watu wengi sana hawaijui Urusi kwa sababu ya tabia zake.
Nadhani wengi wenu movie za Hollywood zimewapotosha pakubwa.
Hakuna hata movie moja ya Urusi unayoijua lakini Amini nakuambia zipo.
Ila unaweza kujua movie hata 50 za Hollywood.
Nazi kwa muktadha huo Kuna mambo mengi sana ya Urusi huyajui.
Nakuomba uendelee kujifunza.
 
Putin analazimisha watu wakafe Ukraine au la waende jela,Rais wa hovyo kuwahi kutokea!

On Sept. 24, Russian dictator Vladimir Putin signed into law amendments to the Russian Criminal Code toughening punishment for desertion, looting, and voluntary surrender, as reported by the Russian news agency Interfax.
Acc. to former Potus "Putin's smart"
Screenshot_20220925-005027_Chrome.jpg
 
Nawaza tu Russia akishayatambua maeneo aliyotwaa kwamba ni sehem ya Nchi yake........ ivi si mobilization si itawahusu Raia wa hayo maeneo? Yaan wa Ukraine watalazimika kupigana dhidi ya wa ukraine wenzao, hii episode naisubiri sana nione itakuaje
Labda nijaribu kukupa TU ufafanuzi mdogo.
Hayo majimbo yanayopiga kura Sasa Yako vitani toka mwaka 2014 yakipigana na majeshi ya Ukraine kwa Nia ya kujitenga.
Hii ilianza pale yalipofanyika mapinduzi ya Orange revolution ambapo Rais aloekuwepo aliponduliwa kwa Hila za west na akakimbilia Urusi.
Ndipo west wakaweka Rais kibaraka wao ambae alikuja kushindwa kwenye uchaguzi na huyu wa Sasa Zelensky.
Urusi ilikerwa sana na mapinduzi hayo ndipo kwa kulipa kisasi ikaichukua Crimea kibabe wakati huohuo wakazi wa Donestk na Luhansk wakaanzisha mapigano ya kutaka kujitenga na Ukraine.
Kwa hiyo zimekua zikipigwa toka hapo.
Kwa hoja Yako ni kwamba kura ikiwa kujiunga na Urusi maana yake majeshi ya Donestk na Luhansk yatakua rasmi ni majeshi ya Urusi ila yataendelea kuwapiga wa Ukraine..
Na Urusi itapata fursa zaidi ya kusajiri vijana zaidi kutoka majimbo hayo kua wanajeshi wa RF.
 
Putin siyo mhuni na hawezi na Wala hatakuwa mhuni...Putin ni hero...Putin ni shujaa...Putin ni tough...Putin ni Patriot ...ni mzalendo...ameamua kupambana na wahuni na washenzi wa West kwa Maana ya USA na mbwa Koko wengine wote wa west na mabeberu wote.....Putin ni mwamba na mwokozi ....ni kiboko Cha mabeberu....WEST waliandaa kuiangamiza Russia kwa kutumia Ukraine lakini akawawahi na ndiyo maana wanapiga kelele.
..
Putin n mikombozi wa Dunia toka makucha ya yule mwovu USA na UK.
 
Russia kila siku anatoa briefings na jamaa yenu Jesus humu huwa analeta taarifa. Hapa ni June Russia ilisema imeharibu TB2 100 wakati Ukraine ilizokuwa imenunua hadi vita inaanza hazifiki 30. Na hapo kuna nyingine ambazo mara nyingi tu Russia ilisema imeharibu hatujumlishi kwenye hiyo "at least" 100.

Ukraine haijawahi kufikisha TB2 100 hadi sasa. Hizo 100 plus nyingine zinazoharibiwa zilitoka wapiView attachment 2367095
I am disappointed!

Nilitegemea utakuja na data halisi kutoka kwa warusi wenyewe i.e. MoD zinazoonesha drones za uturuki zilizoshushwa na za waturuki wenyewe wanaozalisha hizo drones.

Umekuja na source ya mchongo na pia madai yako ya kuwa uturuki hawajawahi kuzalisha drone 100 hujaweka hata source ya mchongo. Aibu!

Soma hapa,
Baykar has inked contracts to supply TB2s to 24 nations, and company CEO Haluk Bayraktar stated earlier this month that exports would account for nearly all of its revenue this year.

Baykar has produced over 400 TB2s to date, the company said. It is currently attempting to increase its production capacity, which it intends to achieve in part with a plant in Ukraine.

Baykar’s CEO previously said that the company is currently capable of producing nearly 200 Bayraktar TB2s every year. The Turkish firm intends to increase this number to 500.

Hii ni kwa mujibu wa Eurasian times

Wikipedia wanasema kuna zaidi ya tb2 300 zimeshazalishwa na baykar.

Madai yako ya kuwa uturuki hajatengeneza tb2 100 mpk sasa hv umeyatoa wapi!?

Bwana we![emoji16]
 
Supa Panya roads lazima wapigwe na kunyooshwa Kwa gharama yeyote Ile
Hi picha Ni ya siku ya tatu ya Vita mjini Kiev. Nashangaa imeletwa Leo humo YouTube I'll tuongeze views.
Nb.
Ukiitazama Hi picha vizuri inajaribu kuonyesha how tough is Russian made weapons.
Hiyo Ni Kazi 52 ilipigwa stinger lakini ikadondoka vile vile Kama nzima.
Yaani inaweza kutengeneza a.
 
Naachaje kumjua sasa mtu mpana kama yule vyeo vyote vyake. General wa US, Colonel wa France, Sergeant wa Germany, Corporal wa UK, Captain wa Canada, Lieutenant wa Spain. Chair wa NATO na branch Manager wa JF department ya Mapambio ya Collective west he he he.
Mtajeni bana nasi tumjue mtu nguli nna hiyo.!!
🤣🤣🤣🤣🤝🤝🤝
 
Acc. to former Potus "Putin's smart"
View attachment 2367206
We 'kijana wa Putin kasema' hivi huoni haya kuleta huu utoporo hapa?!
Hivi hizo data zina tofauti gani na data zilizokua zinazotolewa hapa kwetu (Tz) kipindi cha mwendazake?! Uzuri nchi yako ilishapitia kipindi cha partial dictatorship Kwa miaka sita,au zina tofauti gani na uchaguzi wa 2020 wa CCM kushinda kwa 99%?! Yani nchi ambayo wapinzani wanawekewa Sumu na wanaompinga Rais wanauawa kama kuku unatuletea eti approval rating?! Seriously?!
 
I am disappointed!

Nilitegemea utakuja na data halisi kutoka kwa warusi wenyewe i.e. MoD zinazoonesha drones za uturuki zilizoshushwa na za waturuki wenyewe wanaozalisha hizo drones.

Umekuja na source ya mchongo na pia madai yako ya kuwa uturuki hawajawahi kuzalisha drone 100 hujaweka hata source ya mchongo. Aibu!

Soma hapa,
Baykar has inked contracts to supply TB2s to 24 nations, and company CEO Haluk Bayraktar stated earlier this month that exports would account for nearly all of its revenue this year.

Baykar has produced over 400 TB2s to date, the company said. It is currently attempting to increase its production capacity, which it intends to achieve in part with a plant in Ukraine.

Baykar’s CEO previously said that the company is currently capable of producing nearly 200 Bayraktar TB2s every year. The Turkish firm intends to increase this number to 500.

Hii ni kwa mujibu wa Eurasian times

Wikipedia wanasema kuna zaidi ya tb2 300 zimeshazalishwa na baykar.

Madai yako ya kuwa uturuki hajatengeneza tb2 100 mpk sasa hv umeyatoa wapi!?

Bwana we![emoji16]
Ungeletewa data ungesema propaganda,au ungekuja na maelezo ya 'Putin kasema'.
 
Hii ndio mlisema Ni nchi maskini iliyobakiza chakula Cha siku 3 sio?

Russian draftees and their families to be paid lump sums of up to 300,000 rubles​

euroweeklynews.com
Sep 24, 2022 4:18 PM

Russian draftees and their families are to be paid handsome sums, in Russian terms, according to state media site Kommersant.​

250641b7fb0156bba65afdea67af97fd


A report by the media company said that authorities in regions where servicemen are being drafted are offering them and their families lump sums in compensation for their being drafted. Sums of up to 300,000 rubles (€5,300) are being offered whilst monthly wages of up to six times the average wage are being offered.


The Head of the Sakhalin region Valery Ponomarenko told Kommersant: “At this difficult time, we must do everything so that the families of Sakhalin and Kuril residents called up for service do not need anything. We will provide them with the necessary assistance and support until their fathers, husbands and sons return home.”
Payments will be made to:
  • wife of a called citizen,
  • his parents, if he does not have a lawful spouse,
  • his children, if he does not have a legal spouse and parents.
Hao walevi WA gongo na wezi WA chupi za wanawake waje Tu machinjioni Ukraine ,javellins na Himars zinawasubili , watapondwa pondwa kama wapuuz wenzao WA Wagner
 
Back
Top Bottom