Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Bora kibaka anayetetea kilicho chake kuliko kibaka anayeangamiza watu wake.
Sijui uwa mnawaza wa nini tu katika bongo zenu..
Kwa hiyo Putin alienda ku restore kilichochake ndani ya ukrein..
Na habari ya Nato kutaka kuivamia Urusi kupitia Ukraine tuachane nayo,tuchukue hii ya Urusi kuchukua kilicho hake kama unavyosema wewe?.
Mgogoro mmoja ila madai elfu.
Mara Nazi.
Mara zelensnky anatumika.
Mara dhumni ni kuu disarmy jeshi Ukraine.
Mara zelensnky anaua watu wenye asili ya Urusi..
We mnywa kangara unasema Putin amerudisha chake...
Sababu yenu kuu ni hipi hasa?
Itoshe kwa kusema mnaulemavu katika vichwa vyenu.
 
Mkuu upo Dunia ya ngapi usiyefahamu kuwa Urusi ndio alianza kunyanganywa na maeneo kwa propaganda za west.Kama ambavyo USA+NATO wali samba ratings ardhi ya Urusi ndivyo hivyo Russia naye anatudisha ardhi yake.au hukusoma Historian.
Sitaki kujisumbua na swali lako jipya ikiwa hutaki jibu nilichokuuliza.
Ikiwa insu ni Ardhi alikuwa na haja gani ya kuja na kisingizio cha Nato kutaka kuivamia Urusi kupitia Ukraine?.
Kwa hiyo madai ya nato kutaka kuhujumu Urusi ni madai bandia ila dai la kweli ni Urusi kutaka ardhi yake ambayo kwa Madai yako wewe unasema west walimng'anya?. Wich is wich?.
 
Si utani Germany inaweza ikawa deindustrialized.

Volkswagen AG warns of possible relocation of production from Germany​

euroweeklynews.com

In the event of a gas shortage, Volkswagen AG has warned of the possible relocation of production from Germany.​

fcb0c262b5c0e7445bf8d127dbcd6f8b

As reported on Friday, September 23, by the American media agency Bloomberg, the German car giant Volkswagen AG is currently examining ways of counteracting the consequences of a possible gas shortage. The automotive group is also believed to be considering relocating production within its global plant network.

Southwest Europe or the coastal regions of northern Europe, which have better access to LNG supplies from the sea, could benefit from a shift in production, a Volkswagen spokesman told Bloomberg by phone.

Volkswagen already operates car factories in Portugal, Spain, and Belgium. These countries have LNG terminals and are not as dependent on Russian gas supplies.
Relocating production from plants in Germany to other European locations would pose considerable difficulties. Around 295,000 people work in German VW plants. The employee representatives there make up around half of the 20-strong Supervisory Board.

As a medium-term alternative, the company is initially “focusing on greater localisation, relocation of production capacity or technical alternatives, similar to what has been done in the context of challenges with semiconductor shortages and other supply chain disruptions”, Bloomberg quoted Geng Wu, head of Volkswagen’s procurement division, as saying in a statement.
Even if the gas supply in the VW plants is currently secured, the company has identified potential energy savings at its European locations, according to Michael Heinemann, Managing Director of VW Kraftwerk GmbH. It’s about a “mid-double-digit percentage”, Heinemann told Bloomberg.

However, the automaker is concerned about the potential impact of higher energy prices on its suppliers. The group sees politics as being responsible here. According to Thomas Steg, the Volkswagen Group’s General Representative for External Relations, it must “curb the current uncontrolled explosion in gas and electricity prices”, as reported by rnd.de.
Wahamishie Dar es Slaam tutawapa gesi yote ya mtwara.. Tuanze nunua vitu vipyaa
 
Kuna tetesi lakini hazina udhibitisho ya kuwa amepinduliwa na wanajeshi wakimtuhumu kuwa kikwazo cha kuivamia Taiwan, yaani makamanda wa jeshi wanataka China iivamie Taiwan sasa hivi ila rais hataki kutoa amri ya jeshi kuingia vitani.
Lakini hii inaweza kuwa tetesi za uongo maana hata kipindi cha nyuma nadhani ulikuwa mwaka 2018 kulizuka tetesi za Putin kupinduliwa baada ya kumaliza karibia miezi miwili bila kuonekana hadharani.
kweli, itakua mazingaombwe
 
PICHA NDO KWANZA IMEANZA KWENYE ARDHI YA UKRAINE.VIkosi kutoka chechnia kwa bwana mkubwa Kadyrov vikiwa vinaelekea uwanja wa vita kwa ajili ya kuongeza nguvu.Kadyrov kasema wao wanatangulia,hao wanajeshi laki 3 watawakuta uwanja wa vita maana anaona kama anawachelewesha vijana wake.huyu jamaa ni noma [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

.
Huyu bwana hizi video zake za Tiktok sio kitu tena tushazizoea,tunataka tuwaone kwenye uwanja wa Vita sio kila siku wapo njiani,mbona hawafiki au wanaenda nchi ya ahadi?!

Huyu bwana baada ya Ukraine kuyakimbiza majeshi ya Urusi mpk mpakani kwenye counter offensive kule Kharkiv alipost lundo la wanajeshi wa Chenchen kwamba wanaenda vitani,Leo ni wiki ya tatu hamna kitu kabaki kua Mwanajeshi wa Tiktok [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nafatilia mzozo huu nyuma ya pazia, tukiachana na maneno ya kujifariji Bongo Ukrainians hawana furaha ya kudumu.

Mara ya mwisho ilikuwa "tumechukua kilomita za mraba 8000" then... What next?... Hawaendelei na vita?... Wametosheka?

Nafikiri hali si nzuri maana wiki ile hatukupumua na mapichapicha ya YouTube Sasa hivi naona marudio tu hakuna jipya
 
Huyu bwana hizi video zake za Tiktok sio kitu tena tushazizoea,tunataka tuwaone kwenye uwanja wa Vita sio kila siku wapo njiani,mbona hawafiki au wanaenda nchi ya ahadi?!

Huyu bwana baada ya Ukraine kuyakimbiza majeshi ya Urusi mpk mpakani kwenye counter offensive kule Kharkiv alipost lundo la wanajeshi wa Chenchen kwamba wanaenda vitani,Leo ni wiki ya tatu hamna kitu kabaki kua Mwanajeshi wa Tiktok [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
ni km ule msafara wa vifaru wa zaidi ya km 40 uliokua unaelekea kyiv
 
Back
Top Bottom