Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

RUSSIAN MOBILIZATION. BEGINNING OF END FOR KIEV AND NATO​


On September 21, after the Putin’s announcement a protest took place in Moscow. It was mainly attended by foreigners, young people and women, i.e. those who are not sent to the front lines. The protest was largely covered by the Russian opposition media and was significantly exaggerated. The protesters were also met with disgust by a lot of citizens:

It seems that the Russian bear has finally woken up and now it will be extremely difficult to calm it down.

source: southfront.com
 
Inashangaza sana kuona mazombi wa Putin wakishangilia referendum kana kwamba hiyo itasimamisha mashambulizi,

Russia imeitambua Crimea kuwa sehemu yake tangu mwaka 2014, lakini hiyo haikusaidia kuzuia mashambulizi huko sembuse hii referendum ya kubumba [emoji2][emoji28][emoji1787]
Urusi ilitambua Krimea kuwa ndani yake, lakini hakuna mwingine. China inakataa kuitambua, vilevile majirani kama Uturuki, Kazakhstan, Uhindi na kadhalika.
 
1: USA vs Vietnam(Taifa kwa Taifa), US alishindwa vita.
2: USA vs Teleban na Alqaeda(Taifa vs vikundi vya kijeshi), US ameshindwa vita. Ndani ya miaka 20 akiwa na support ya washirika zaidi ya 30 walicontrol mji mkuu tu

3: Russia vs Ukraine(Taifa vs Taifa), Russia ana control Donetsk, Luhansk, Kheson na Zaporizye na maeneo husika yanaendelea na kura kujiunga na Urusi.
4: Russia vs ISIS na FSA(Russia vs Vikundi vya Kijeshi), ushindi kwa Russia ndani ya miaka 2 tu ya battle. Urusi aliungwa mkono na Serikali ya Syria, Iran na Hezbollah.

Anaekwambia kivita Russia ana mpinzani, basi atakuwa kipofu wa historia.
Ivi USA anashare mpaka mmoja na Vietnam au Afghanistan? Kama ilivyo kwa urusi na ukraine. Embu nenda Mexico waulize what happen to Texas.
 
Lavrov kusema ndio nini, kwani si wanasema kila siku. Ukiachana na Lavrov ambaye ni Waziri, Putin mwenyewe alipiga mkwara kwamba watakaosaidia Ukraine watakipata cha mtemakuni. Yuko wapi mbona silaha zinapelekwa.

Basi tuseme Putin ni master strategist.
1. Amefanikiwa kuilazimisha NATO iongeze wanachama wawili. Apewe tuzo ya best recruiter
2. Amefanikiwa kupeleka msururu wa vifaa vya kijeshi Kyiv na kuvifanya viharibiwe.
3. Amefanikisha wanajeshi wake kutekeleza silaha kama 'good gesture'
4. Wamekimbia Snake island
5. Wamepoteza flagship ya Black Sea fleet au tuseme wameifanyia special diving operation
6. Wanafanya mobilization kupambana na weak Nazis, wakati wao ni superpower. Amefanikiwa kufanya mobilization tangu WW2 iishe.

Hayo ndio mojawapo ya mafanikio ya operation yao ambayo its going according to plan. Walipanga iwe hivi
Walipanga iweje siwezi jua
Ila kuimega RUSSIA naona nimoja yamafanikio makubwa sana
Mwanachama yupi mpya alojiunga na NATO leta ushahidi kama yupo
Jengine NATO hawajaingilia mgogoro kutoa msaada nijambo la kawaida hata RUSSIA alitoa kwa ASSAD alitoa kwa MADURO
Kuingilia pekee wanakoweza kuingilia NATO naikawa kitisho kwa RUSSIA nikupeleka nakutangaza kama kuna majeshi yao
RUSSIA sio super power ila nitaifa fulani hv laajabu sana yaani dude kubwa sana nandio maana linaweza kupambana na vigingi vyote hv
Kuzamishwa kwa meli wakat wamapigano kawaida sana US na NATO walipoteza ndege ngapi IRAQ
Pale AFHGHANISTAN ndio walikimbia kabisaaa walitumia mpaka MOAB
Mwisho RUSSIA alitaka malengo yake yaende vp kama hv yanavyoenda yamekosewa kama unavyokiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usemavyo ni kweli mkuu, haya madudu yote hayapo au hayajatokea bahati mbaya. The mighty weapon every being posses ni akili yake sio Panga, bunduki au any physical weapon aliyobeba au aliyo nayo in possession.

Na ni hii mighty weapon kibaya ni kua ishakuwa distorted, so kwa kila cheap attack inayofanywa tunakuwa easy manipulated.

They know fika kua man decisiveness lies kwenye love and hates, they know much hatuna kiasi mbele ya mahaba hata jiwe huwa tunaligeuza pulizio. Na wanajua fika kwenye chuki hata asali huwa tunasema ni chungu zaidi ya shubiri.

Kisha tukajikabidhi kwao, wanaye mchukia automatically na sie tunavaa chuki nae. Wanaye mpenda vile vile tunajaa mapenzi nae. They preach freedom ila hatuna uhuru wa kufikiri.

So hapo utaona mahaba kwa US yanawafumba watu kutazama uovu wao. Na chuki zao kwa Russia na Jamii nzima ya East inawafanya kuto kuona mazuri yao.

For funny [emoji23][emoji23][emoji23], nasikia binadam wa sasa wana maumbo madogo ukilinganisha na binadam wa zamani kwamba yalikuwa mapande ya mtu. Hapa naona hadi kwenye bongo zetu day to day zina shrink, tumekuwa na akili fupi ka njiti ya kiberiti.

Kuna wajomba hapa huwa napita nawasoma, unaanza kuvuta imagination ya namna alivyo ama walivyo hasa jamaa flan hivi hivi unaishia kutikisa kichwa tu. Dah Tutafika tumechoka mno.
ukweli mtupu kaka yaani watu wamekuwa Bendera fata upepo
 
Mkuu ni vile tu watu wanaangalia huu mgogoro kishabiki sana. Ila kiuhalisia hao raia wanataka kuwa Urusi. Hata kama kura zingepigwa chini ya usimamizi wa UN bado matokeo ni hayo hayo. Ndo maana mabeberu wamekimbilia kusema ni fake referendums

Ila uhalisia ndo huo hao wananchi wanamuona Putin kama ndo Musa wao kaja kuwakomboa.
Screenshot_20220923-212337_Twitter.jpg
 
Hicho chungu chako kina habari zinaegemea Russia tu hakina habari ya kusifia Ukraine wanavyorudisha miji na ndio unaita independent [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa kama ni za kweli nifanyeje,niziache kwa kuwa ni za Russia?Kwa bahati mbaya taarifa zote za the West ni fake,and is by design.Cheki comment ya boss was CIA hapo chini.You cannot be more realistic than a former CIA boss and Director.

NB:Replace American public for World Citizenry.
 

Attachments

  • 3055.jpg
    3055.jpg
    20.7 KB · Views: 19
Hivi hawa pro NATO ni watu wa aina gani?? Mbona hawajui hata kiswahili fasaha?? Ziliishwaa..wameishaaa itwaaa...hizi kenge ndo zakubishana nazo kweli? Mathanzua..Jesus mulokozi..Manning..nawapa pole kujibizana na hawa wapuuzi..wanawapotezea muda wenu. Ebu muwablock shwain hawa
Paragraph 7 inaonyesha mobilization ni one million, sio laki tatu.
Putin wants to build human shield around The Donbas.
 
Uko sahihi kwa kiasi,ni kweli hayo mambo ya Ukraine kutaka kujiunga NATO ni danganya toto tu inayotumiwa na dikteta Putin.

Lakin pia ni vyema ufahamu hakuna mabaki ya Kisovieti kwenye miji Putin aliyovamia, USSR ilianguka ikasambaratika kabisa na asilimia kubwa ya raia waliokuwa chini ya huo muungano wala hawataki hata kusikia kabisa maana ulikuwa ni evil empire. Ukraine ilikuwa ni mojawapo ya nchi zilizopiga kura kwa wingi sana kuchagua kuondoka katika USSR wakati nchi zilizokuwa chini ya umoja huo zilipopewa hiyo fursa kwa amani na Gorbachev.
Ndo maana nasema una ushabiki, kama ungesoma historia ya umoja wa kisoviet kwa undani basi ungekuwa ushajua lengo kuu la Urusi, inaonekana na ww ni shabiki tu wa kuokota habari bila kusoma historia ya vitu kwa undani.

Lengo kuu la Urusi ni kupanua ardhi yake ili kuiwezesha hii miji ikiwemo Donetsk ambayo bado ina tamaduni na kutumia lugha ya kirusi irudi kwenye ardhi yake kama zamani maana Ukrain ilikuwa ikifahamu huu mpango muda mrefu na ukawa unaandaa mpango mahususi wa kuondoa mabaki mabaki ya kisoviet yote kutoka kwnye hii miji na asa baada ya wao kutaka kujitenga na Ukrain.

Sababu ya Urusi iliyosema sijui kujiunga NATO ilikuwa danganya toto.
 
vikwazo then tusikie - italy hakuna democracy ........watch this space
Von der Leyen began to threaten the Italians over the election results: "We will see the results of the vote in Italy. If things go in a difficult direction, we have the tools, as in the case of Poland and Hungary."
 
Back
Top Bottom