Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji28][emoji28]
1663765183168.jpg
 
Sasaaa, nafuatilia hapa kuna jambo linanishangaza, Hawa raia wa hayo maeneo wanaopiga kura wanaenda bila kushurutishwa na majeshi ya Urusi?[emoji848]
Mkuu ni vile tu watu wanaangalia huu mgogoro kishabiki sana. Ila kiuhalisia hao raia wanataka kuwa Urusi. Hata kama kura zingepigwa chini ya usimamizi wa UN bado matokeo ni hayo hayo. Ndo maana mabeberu wamekimbilia kusema ni fake referendums

Ila uhalisia ndo huo hao wananchi wanamuona Putin kama ndo Musa wao kaja kuwakomboa.
 
#Ukraine: Two Russian drones were forced to land by the Ukrainian Air Assault forces in the South using electronic warfare systems - one is a common Orlan-10 recon UAV and the other is a much rarer Orlan-30 with better optics and ability to designate laser-guided weapons.

Drone za super pawer wa mchongo zinapata tabu sana kwenye uwanja wa vita [emoji848]
 
TUNAANZA NASI KUVIMBA
View attachment 2365637

#PMBungeni Serikali ya Tanzania inaungana na Serikali ya Uganda kuwahakikishia wadau wote likiwemo Bunge la Umoja wa Ulaya na Jumuiya ya Kimataifa kuwa mradi wa bomba la mafuta unatekelezwa kwa kuzingatia sheria zote za Tanzania na Kimataifa, uwazi, tahadhari za kimazingira.
Kabisa tuvimbe tu na sisi, hawa mabeberi ukiwachekea sana utakwama mambo mengi
 
#Ukraine: More Western aid to Ukraine is revealed - this time, a potent AT2 DM1399 anti-tank mine was seen in #Kherson Oblast.
28 of these mines are delivered using the AT2 SCATMIN rocket fired from the MARS/M270 system. These rockets are still used by the UK and Germany.

 
Putin alishindwa kufyekelea Ukraine zile siku za mwanzo basi hawezi tena sasa hivi.Wakati ule Zelensky analialia asaidiwe apewe silaha ndio ulikuwa muda wa Putin kushinda vita .Sasa hivi NATO na washirika wake wana muijoy tu na kutaka vita ichukue muda mrefu wauze na kutest silaha zao.Uchumi umeanza kutengemaa,gas na mafuta zimeanza kushuka bei duniani naada ya US na EU kubust uzalishaji wa nishati duniani.Putin atajikuta yupo kisiwani na Rabble yake ambayo mimi mwenyewe sijaona inatumika kwenye mabenki kama exchange currency.
 
Russia sio Zimbabwe wshindwe kuwapa watu wake AK 74, but I na kombati
Unaamini hadithi za Urusi kuwa nchi tajiri iliyoendelea?
Lakini hujasikia ni nchi ya wezi wakubwa serikalini na jeshini? Ona taarifa ya Moscow Times:

'We Have to Buy Everything’: Russian Soldiers Under-Equipped In Ukraine War - The Moscow Times​


The Moscow Times

6-8 Minuten





Russian soldiers preparing to be sent to fight in Ukraine are required to buy personal equipment at their own expense, according to several servicemen who spoke to The Moscow Times’ Russian Service on condition of anonymity.
Some of the items apparently not provided by the army include footwear, body armor, bandages and tourniquets.
“If they issue you a field uniform, you’re in luck — you can save some money. We still have to buy the jacket and pants, at least as a change of clothing… I'll be happy if our outlay on the uniforms pays off and we don't get screwed out of our paycheck,” said one contract serviceman with Russia's National Guard (Rosgvardia).
The men interviewed by The Moscow Times said they were promised a monthly salary of about 200,000 rubles ($3,365) if they signed a contract to join the Russian troops fighting in Ukraine – but that they would have to buy all their gear themselves.
“A Level 4 combat vest — which can stop pistol and rifle rounds as well as shrapnel — costs on average 70,000 rubles ($1,200). A helmet is another 10,000 rubles ($160). Decent boots are about 5,000 rubles ($80), and you really need two pairs. A tactical vest costs from 5,000 to 10,000 rubles ($80-160). And you also have to buy a jacket, pants, T-shirts and pullovers. That comes out to about 200,000 rubles ($3,365),” said the Rosgvardia serviceman.
A Russian soldier in a military unit near the Ural mountains told The Moscow Times that almost no equipment was provided for those heading to Ukraine.
“We have to buy everything ourselves, with our own money. I'm not even talking about modern body armor and helmets: there are no warm clothes, no dry rations or first-aid kits,” he said. “All the equipment we are fighting with in Ukraine stinks of mothballs, and the weapons jam.”

(Naona taarifa hii haitakuwa sawa kwa wanajeshi wote, ila taarifa za aina hii ni nyingi)

[IMG alt="
Used military uniforms and equipment for sale online. Screenshot Avito "]https://static.themoscowtimes.com/image/1360/c1/photo_2022-05-19_13-38-05.jpg[/IMG]
 
#Ukraine: More Western aid to Ukraine is revealed - this time, a potent AT2 DM1399 anti-tank mine was seen in #Kherson Oblast.
28 of these mines are delivered using the AT2 SCATMIN rocket fired from the MARS/M270 system. These rockets are still used by the UK and Germany.

Ukraine wanapewa kila aina ya silaha,ndio maana Putin baada ya kuona ngoma inazidi kuwa ngumu amekataa na kudai anapigana na NATO.., lakini kihualisia ni ukraine tu peke yake anamtoa kamas super pawer wa mchongo [emoji12]
 
Unajua ww ni mpumbav kiwango cha "tiles" marekani hii ambayo imeua viongozi wengi kutoka Afrika eg Patrice Lumumba Leo hii unasema Lina mengi mazuri?
Lete ushaidi.Africa mnalogana na kuuana wenyewe kwa tamaa zenu mnasingizia wengine.Miafrica ina mawazo ya kimaskini sana kila kitu kikitokea lazima asingiziwe mtu.
 
Putin alishindwa kufyekelea Ukraine zile siku za mwanzo basi hawezi tena sasa hivi.Wakati ule Zelensky analialia asaidiwe apewe silaha ndio ulikuwa muda wa Putin kushinda vita .Sasa hivi NATO na washirika wake wana muijoy tu na kutaka vita ichukue muda mrefu wauze na kutest silaha zao.Uchumi umeanza kutengemaa,gas na mafuta zimeanza kushuka bei duniani naada ya US na EU kubust uzalishaji wa nishati duniani.Putin atajikuta yupo kisiwani na Rabble yake ambayo mimi mwenyewe sijaona inatumika kwenye mabenki kama exchange currency.
Na huo ndio ukweli mchungu hambao mazombi wa Putin hawataki kuusikia, pale mwanzoni Russia ilikuwa ya moto kwelikweli..,Sasa hivi utawala wa mjini Kyiv umeshakuwa kisiki,, zelensiky anajiamini na ndio maana anapata hata jeuri ya kukataa meza ya mazungumzo na fashisti Putin,
 
Lete ushaidi.Africa mnalogana na kuuana wenyewe kwa tamaa zenu mnasingizia wengine.Miafrica ina mawazo ya kimaskini sana kila kitu kikitokea lazima asingiziwe mtu.
Daaah imeniuma sana, Patrice Lumumba ambaye jino lake lilichukuliwa na Belgium unasema sisi ndo tumemuua, Time will tell, Putin atafikia lengo lake na kila kitu kinaenda kama ilivyopangwa, Urusi anaenda kuchukua rasmi DONBASS, Luhensk, Donetsk na Zaporizhia na ndio lengo lake kuu
 
Back
Top Bottom