Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

According to Russian intelligence and Some US commanders,NATO wapo Ukraine,na hata mercenaries wanaokamatwa,most wanajeshi wa nchi za magharabi, wote tunajua US inatoa msaada wa intelligence kwa Ukraine. Putin sio dikteta,alichaguliwa kwa Kura halali na wananchi wa Urusi,ww unapata wa pi audacity ya kumuita dikteta?
Ni huzuni kwa kweli

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Jamani mjifunze kusoma historia.

Hivi hii kura wanayopiga ina utofauti gani na uchaguzi wa mwaka 2020 wa wabunge nchini Tanzania.

Nadhani wote mwaifahamu Tanzania, na nini kilimtokea bwana yule...

Pili mkae kujua kwamba Marekani sio kwamba anataka kukaa pale juu, Amewekwa na na atashuka endapo tuu aliyemweka ataona inafaa.
 
Wakati Russia akifikiria jinsi ya kumaliza Vita,kesi ya uharifu wa ubinadamu inamkabili 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220923-160501.png
    Screenshot_20220923-160501.png
    112.7 KB · Views: 15
Ukraine wanazidi kuchanja mbuga

[emoji298]️ General Staff: Ukraine liberates Yatskivka in Donetsk Oblast.

Ukraine's Armed Forces have established control over the village of Yatskivka in Donetsk Oblast and regained previously lost positions in the Bakhmut direction, General Staff reported on Sept. 23.

Russian troops continue to conduct offensive actions to dislodge Ukrainian units from taken positions around Bakhmut, but Ukraine's military is holding their defense, according to Deputy Chief of Ukraine's General Staff Oleksii Hromov.
 
Ukraine wanapewa kila aina ya silaha,ndio maana Putin baada ya kuona ngoma inazidi kuwa ngumu amekataa na kudai anapigana na NATO.., lakini kihualisia ni ukraine tu peke yake anamtoa kamas super pawer wa mchongo [emoji12]
Ukraine hawapewi kila aina ya silaha.
1. Wanaomba sana vifaru - wanapewa tu zile za Kirusi a) zinazoachwa na jeshi la Urusi, b) zinazotolewa na Poland na Ucheki wanazopewa silaha za kisasa kutoka NATO

2. Hawapewi makombora yanayoruka mbali kuliko kilomita 80 - hivyo Warusi bado wanaweza kuleta uharibifu ndani ya Ukraine bila kusikia majibu kwao
 
According to Russian intelligence and Some US commanders,NATO wapo Ukraine,na hata mercenaries wanaokamatwa,most wanajeshi wa nchi za magharabi, wote tunajua US inatoa msaada wa intelligence kwa Ukraine. Putin sio dikteta,alichaguliwa kwa Kura halali na wananchi wa Urusi,ww unapata wa pi audacity ya kumuita dikteta?
Huna ila uvumi? Makamanda gani wa US walisema NATO wamo Ukraine?
Lete vyanzo ushuhuda ??
Kama huna, heri unyamaze. Ukweli wa NATO katika Ukraine ni ukweli sawa na "Putin alichachuliwa kwa kura halali"
 
Daaah imeniuma sana, Patrice Lumumba ambaye jino lake lilichukuliwa na Belgium unasema sisi ndo tumemuua, Time will tell, Putin atafikia lengo lake na kila kitu kinaenda kama ilivyopangwa, Urusi anaenda kuchukua rasmi DONBASS, Luhensk, Donetsk na Zaporizhia na ndio lengo lake kuu
Jino ukiuliza utaa lilifikaje Belgum lazima kuna mtu aliiba (mwafrika) au aliuza au alidangajwa tu na kitu kidogo.Kwani jino lilipita wapi ,utakuta airport zenu tu za kiafrika.Wakati ule hamkujua dhamani ya hilo jino.Sasa mkipewa jino litafanya nini ,yaani miafrika inalilia maiti mnataka mpeleke wapi jino ?Urusi inajifurahisha tu ,nitajie nchi iliyomegwa kwa vita duniani na ikatambulikana.Amini wa uganda alijaribu kuchukua sehemu ya kagera aliweza ? Halafu acha uongo lengo la kwanza la Putin lilikuwa operations ya kumwondoa Zelensky kwa saa 72 na ku demilitalizised Ukraine ili wasiwe na nguvu za kijeshi na wasiweze kujiunga NATO.hayo mengine kasema baada ya kushindwa malengo ya mwanzo .Sasa naona ameenda kwenye malengo mengine ya nyuklia pyuuu hajajielewa hata kidogo .Kiongozi mkubwa hivyo duniani anashindwa kufocus ? ndio maana tunasema mtu akikaa madarakani muda mrefu anakuwa mjinga sana.
 
US ni kiboko.... yatoa tamko ndani ya mkutano wa Umoja wa Mataifa....

United States Secretary of State Antony Blinken said that Washington would continue to support Ukraine to defend itself.

“The very international order we’ve gathered here to uphold is being shredded before our eyes,” Blinken told the council.

“We cannot — we will not — let President Putin get away with it.”
Dah!
Niliposoma USA ni kiboka nikaja mbio kusoma zaidi nikidhani labda wameshaingia Frontline na kusamabratisha vikosi vya Urusi.
Kumbe katoa tamko TU.Aisee.!
Sijaona ukiboko wowote hapo.
Kama ni matamko wameshatoa hata kabla ya SMO kuanza.
Bana acheni kututisha bana.
 
Ukraine hawapewi kila aina ya silaha.
1. Wanaomba sana vifaru - wanapewa tu zile za Kirusi a) zinazoachwa na jeshi la Urusi, b) zinazotolewa na Poland na Ucheki wanazopewa silaha za kisasa kutoka NATO

2. Hawapewi makombora yanayoruka mbali kuliko kilomita 80 - hivyo Warusi bado wanaweza kuleta uharibifu ndani ya Ukraine bila kusikia majibu kwao
Silaha kiduchu lakini zinafanya jeshi la Putin linapoteana..,wakipewa full weapons utakuwa moto mkubwa bila shaka,
 
Back
Top Bottom