Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sijasema sio kweli bali media za west zinakuza baadhi ya vitu, hivyo inabidi taarifa nyingine uchanganye na akili zako, asa anakwambia jeshi la Urusi limegawanyika kuwa kuna mgomo…..wakati kwa sheria za ujamaa ambazo pia TZ inazitumia, mwanajeshi ukileta mgomo wa kumpinga amiri jeshi mkuu ni unakula shaba papo kwa papo.

Na kwa majeshi ni ngumu sana kutokea kugomea kauli ya Raisi, ni almost impossible unless mkuu wa majeshi ahasi na kutengeneza rebels.
Yote kwa yote hatuna budi kusema jeshi la urusi lina Hali mbaya,na hili linaadhihirishwa na uandikishwaji wa lazima kwa raia kujiunga jeshini, bila ridhaa Yao,
 
Kiranja aliyepigwa na Vietnam? Aliyeshindwa somalia? Aliyeshindwa syria? Wewe Us kamwe hawez kupigana vita ya moja kwa moja... anayajua aliyoyapata Vietnam miaka ya 1950s
Hizo blah blah tu, lakini ukweli unabaki palepale kwamba USA ndo kilanja mwangalizi wa dunia.., mengine utajua mwenyewe,
 
Wewe ndio mzee wa habari za telegram groups unaleta bila source ndio unaziita independent news[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikileta post yangu cheki popote,you will prove that it is correct.Taarifa zangu zinatoka kwenye chungu Vunjo,tena hot.Na-subscribe kwenye "covert intel" sources.
 
Yote kwa yote hatuna budi kusema jeshi la urusi lina Hali mbaya,na hili linaadhihirishwa na uandikishwaji wa lazima kwa raia kujiunga jeshini, bila ridhaa Yao,

Mkuu unatumia ushabiki au?, unawezaje kusema jeshi la urusi lina hali mbaya wakati miji ya ukrain imeharibiwa na iko hatarini kupoteza 15% ya ukanda wake wa kiuchumi, Je unafahamu kuwa hyo miji ikiondoka basi italazimika maeneo yaliobaki yategemee chakula kutoka kwnye hiyo miji iliyojiunga na Urusi maana ndo miji ya mashamba makubwa ya taifa na viwanda vikubwa vipo uko.

Na unasema Urusi hali mbaya wakati kwasasa hivi Ukrain imebakiza Odessa, macho yote ya Ukrain yapo uko maana wakifanya masihara wanakuwa rasmi landlocked country kama Rwanda.
 
Kiranja aliyepigwa na Vietnam? Aliyeshindwa somalia? Aliyeshindwa syria? Wewe Us kamwe hawez kupigana vita ya moja kwa moja... anayajua aliyoyapata Vietnam miaka ya 1950s
US hana roho ya unyma siku zote katika vita anazopigana yuko very calculative, utosikia amepiga mahali na kuua raia waio na hatia, yeye anawataka wanajeshi, kama ni vita vya moja kwa moja angekuwa anamaliza mchezo mapema tu.
 
Mkuu unatumia ushabiki au?, unawezaje kusema jeshi la urusi lina hali mbaya wakati miji ya ukrain imeharibiwa na iko hatarini kupoteza 15% ya ukanda wake wa kiuchumi, Je unafahamu kuwa hyo miji ikiondoka basi italazimika maeneo yaliobaki yategemee chakula kutoka kwnye hiyo miji iliyojiunga na Urusi maana ndo miji ya mashamba makubwa ya taifa na viwanda vikubwa vipo uko.

Na unasema Urusi hali mbaya wakati kwasasa hivi Ukrain imebakiza Odessa, macho yote ya Ukrain yapo uko maana wakifanya masihara wanakuwa rasmi landlocked country kama Rwanda.
Malengo ya urusi yalikuwa ni kuuangusha utawala wa mjini Kyiv ndani ya saa 72..yaani urusi alifikiri ataiteka Ukraine kwa saa 72, akatumia askari wa parachute na kila nyenzo aliyokuwa nayo, matokeo yake tunaelekea mwezi wa 8 Sasa..,bado ameshindwa kutimiza lengo Hilo.., mbaya zaidi jeshi la Ukraine linazidi ku-advance tu

Hii ni fedheha kubwa sana kwa jeshi la dikiteta Putin [emoji848]
 
Ndo maana nasema una ushabiki, kama ungesoma historia ya umoja wa kisoviet kwa undani basi ungekuwa ushajua lengo kuu la Urusi, inaonekana na ww ni shabiki tu wa kuokota habari bila kusoma historia ya vitu kwa undani.

Lengo kuu la Urusi ni kupanua ardhi yake ili kuiwezesha hii miji ikiwemo Donetsk ambayo bado ina tamaduni na kutumia lugha ya kirusi irudi kwenye ardhi yake kama zamani maana Ukrain ilikuwa ikifahamu huu mpango muda mrefu na ukawa unaandaa mpango mahususi wa kuondoa mabaki mabaki ya kisoviet yote kutoka kwnye hii miji na asa baada ya wao kutaka kujitenga na Ukrain.

Sababu ya Urusi iliyosema sijui kujiunga NATO ilikuwa danganya toto.
 
Unamshawishi nani wakati sote ni mashahidi tu . Hoja ya Russia anapigana na nani ipo wazi ndio maana hatuijadili. Inajulikana kama ni Ukraine ama NATO. NAFIKIRI TUNAKOSA ELIMU YA ULINZI.

Ukiwa na elimu ya Ulinzi utaelewa maana ya vita na wapiganaji na wapiganishaji. Utaelewa allies , Utaelewa political moral economic and military supporters na utaweza kutofautisha direct na indirect engagement.

Hapa naona wengi tunatumia nguvu kuelezea uhusika wa baadhi ya mataifa katika huu mgogoro .Kama mataifa yanatoa silaha mpaka yanaathiri stock zao. Kama mataifa yanatoa political na military commands . Kama media zao ndio ziko busy kwa propaganda, Kama mataifa yanatoa trainings , kama mataifa yanatoa intelligence yao na makomando wao , Kama mataifa yanaweka sanctions , Kma mataifa yanasogeza vikosi vya na kutoa kauli mabalimbali za kuingilia ugomvi ni mwehu pekee atasema hawapigani hiyo vita. World war ilipopiganwa hata watanzania walipigana
☑️☑️☑️☑️☑️☑️👏👏👏👏👏👏👍👍👍👍👍
Unanitumia elimu Yako vizuri sana kijana.
Wewe ni mmoja wa vijana ambao taifa liliwasomesha na mkaelimika.
Wewe ni tunu ya taifa.
 
US hana roho ya unyma siku zote katika vita anazopigana yuko very calculative, utosikia amepiga mahali na kuua raia waio na hatia, yeye anawataka wanajeshi, kama ni vita vya moja kwa moja angekuwa anamaliza mchezo mapema tu.
Japan Vipi?
Nchi pekee iliyowahi tumia atomic Bombs duniani unaiita haina roho ya kinyama.
 
US hana roho ya unyma siku zote katika vita anazopigana yuko very calculative, utosikia amepiga mahali na kuua raia waio na hatia, yeye anawataka wanajeshi, kama ni vita vya moja kwa moja angekuwa anamaliza mchezo mapema tu.
Ona huyu..Japana alichokifanya hakuna taifa lilishawahi fanya..ule ulikua ukatiri wa hali juu..nchi yenyewe kisiwa ile unapiga nyuklia mbili heavy...

Vietnam walikuwa wanamwagilia sumu juu ya miti kwa ndege ili kuwafutilia mbali..wavietkong....

USaliishapoteza credibility kitambo..angetulia tu kama Ujerumani
 
Ukraine wazee wa kazi wanajichukulia vitu adimu kama hivi[emoji122][emoji122][emoji122]
1663859445355.jpg
 
Nikileta post yangu cheki popote,you will prove that it is correct.Taarifa zangu zinatoka kwenye chungu Vunjo,tena hot.Na-subscribe kwenye "covert intel" sources.
Hicho chungu chako kina habari zinaegemea Russia tu hakina habari ya kusifia Ukraine wanavyorudisha miji na ndio unaita independent [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakuu mambo vipi, warusi wa buza bado tu? Qmamake hizo Drone za Iran ni nyoko [emoji3525].
Iran sio watu wazur, walimuuzia Putin makopo wakimdanganya kwamba hizo ni drones
Hakuna la maana zimefanya kwenye uwanja wa vita zaidi ya kupopolewa tu,
Iran mungu anawaona akiya nani [emoji848][emoji848]
 
Kaburi la marehemu linapaswa kuwekwa AC.

Amezungumza kwa hasira ila alikuwa sahihi

Hammaz
Galip Vrl

Dunia yetu ina mengi ya ziada ambayo tumejitia upofu kuyajua. Kibaya zaidi kila anayefungua kinywa chake kujaribu kuwaweka wengine bayana huwa anapuuzwa na kupewa majina ya ajabu.

The less you know, the safer you are!

Tutafika tumechoka sana Jomba!
 
Back
Top Bottom