Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,957
- 8,005
Big Russie
Big Russie
Sio 200 mkuu Ni watu 10 ambao wengi wao Ni kutoka Tunisia, England nk.Hao wapiganaji 200 walikuwa wakipigana pamoja na Azov Battalion, hivyo haimaanishi kuwa hao ni wanazi.
Russia mpaka kuwaachilia lazima kumekuwapo na makubaliano fulani kwamba ni lazima wawe "deported" kwenda kwenye nchi zao au hawatashiriki kupigana tena kama walivyofanya pale Mariupol.
Ila propaganda ya Ukraine haiwezi kusema ukweli.
Habari njema hii kama mpaka huyu kashazitambua hizo jamhuriUkrainian President Vladimir Zelensky said Kiev’s stance and goals will remain unchanged despite the announcement about upcoming referendums in the people’s republics of Donetsk and Luganks, the Kherson and Zaporozhye regions:
go.tass.ru/jGhVW
[emoji1787]Bla Bla Bla!!!!
Punguza mihemko Kaka,mbona unahamisha magoli.
Kwahiyo hizo Kura zikishapigwa ndo nini?! Unadhani itabadili kitu?![emoji23][emoji23][emoji23] Watu washasema silaha zitaendelea kutumwa na counter offensive itaendelea kama ilivyopangwa hakuna cha Kura wala Vodka
Kipindi kile Zelensky alikuwa anaongea sana na Putin alikuwa kimya. Sasa hivi Putin anaongea sana na Zelensky yupo kimya. Acha tusubiri tuone.
Sawa wewe mtu mwenye akili....naona umeweka na kapicha hapo...but wenye akili hawatumii nguvu nyingi na matusi juu....Baada ya lile limsafara la km 64 kule Kyiv kushindwa kumchoma Zelenskyy mmerudi kubweka kwenye propaganda zenu za wakoswa akili.Chukua hii hapa ya mwezi February
View attachment 2365275
YesAchana na hizi propaganda uchwara. Kura zishaanza kupigwa huko. Mapema watu na vichinjio vyao wanafanya yao.
"Unakubali jamhuri ya kidemokrasia ya watu wa Donesk kuingia kwenye shurikisho la urusi kama 'subject' wa shirikishi hilo"
Yes
No
Imeisha hiyo... [emoji1787][emoji2957]
Asante kwa kunyoosha maelezo,kumbe ni vijisilaha.[emoji1787]
Dawa ili itibu lazima iume. Wanaosoma wanajua nani shujaa wa mihemko na kuamisha magoli
Silaha zilitumwa kbl hata warusi hawajaingia Ukraine. Ila haikusaidia kitu watu wamepita na maeneo wamechukua.
Alaf hivyo vinavyotumwa sio silaha ni vijisilaha. Kama kweli wanataka kukwamisha uvamizi watume silaha kweli. Za kisasa na kubwa kubwa. Iwe tit for tat. Au wanamuogopa jasusi? [emoji1787]
Wewe ambaye sio key board warrior si uko mstari wa mbele hapo kharkiv kwenye counter offensive, [emoji16][emoji16][emoji16]Hawa ni key board worriors, wanapigana vita ya comments.Wanakuwa frontline wanashinda vita ya hapa JF.Njoo sasa kwenye uhalisia,warusi wenyewe wapo hoi huko Ukraine wanakimbia kuokoa maisha yao.Wazoee tu hawa Warusi wa JF
UKRAINE ilimegwa karne hii hii mwaka 2014 na inaendelea kumegwa karne hii hii mwaka 2022Katika karne ya 21 nchi hazimegwi kirahisi tu hivyo na madikteta eti kwa sababu nchi zao wanazozikalia zina nuclear, hayo yalikuwa zaidi mambo ya karne ya 19 kurudi nyuma.
Shuhudia kila mwenye akili anavyokataa precedent ambayo Dikteta Putin anata kui set
Oy Azov wameachiwa lini mkuu?
Hahaha.....yaani huyo sijui Nyamizi...nasikia ni msaidizi wa Zelensky..yaani ndo yupo msitari wa mbele pale akipeleka taarifa kwa Zelensky...na kaishaua makomamdoo 700 wa Urusi...nasikia hata ule msafara wa Urusi uliokua ukielekea KIEV yeye ndo alipanga mikakatiWewe ambaye sio key board warrior si uko mstari wa mbele hapo kharkiv kwenye counter offensive, [emoji16][emoji16][emoji16]
Nyani haoni...
"...and in some cases, they are more modern than those of NATO countries."Hahahaha warusi wanatia hurumaaa,Yani kilichobaki ni kushinda kwenye TV kutishia nuclear weapons utafikiri wanazo wao Peke Yao
Haya maneno ya kujifariji yalianza tokea feb24 na hayataishia leoRussia ikitumia nuclear hata mwendawazimu mwenzake Belarus atamkimbia. Itakuwa ni phariah zaidi ya Korea ya Kiduku. Kuhusu majibu ya NATO subiria kwanza tuone kama Putin atafikia kiasi hicho cha kuchanganyikiwa huku Siloviki, Oligarchs na inner circle zake wengine wakimuangalia tu akiwapeleka kuzimu au watamtupa nje ya mtumbwi wapone wao.