kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Dikiteta anatishia kutumia nyukria huku akiishi kwenye handaki kama nguchiro,kama anajiamini SI atoke huko basi?[emoji2][emoji2]
Vijisilaha vimekomboa kmsq 5000 tu kati ya 120000. Hiyo ni asilimia ngapi!? [emoji16][emoji16][emoji16]Asante kwa kunyoosha maelezo,kumbe ni vijisilaha.
Vijisilaha vimewakimbiza vijana wa Putin mkuku Mkuu mpaka kuacha zana zao za kivita, Dadekiiiii!!! Comedian Vs Jajusi hlf Jasusi kakaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
"This is not a bluff"[emoji23][emoji23][emoji23]
ChildishUsikimbie baada ya referendum uchwara.
Utafurahi mwenywe.
Jibu mvamizi kaondoka ama laa halaf tuendelee !!!??Jibu lipo hapo! Ukisoma vizuri utaelewa. Twende polepole haraka ya nn
Sijui inachukua muda gani ila nagasaki na hiroshima mpaka mwaka jana nlisikiliza makala kama sio bbc basi dwNasoma comments zao mmoja kasema madhara ya mionzi ya Nuclear inachukua miaka elfu kumi kwisha,utadhani hata alishashuhudia hata Nuclear yenyewe ikipigwa.Pale tu Nagasaki na Hiroshima hakuna tena Radioactive ya kutishia na bomu lilipigwa 1945 sasa hiyo miaka 10,000 sijui kaitoa wapi?
Alisikika mtumwa mmoja toka Unyamilonda baada kupokea msaada wa chandarua na CondomUlaya itaendelea kuwa block kubwa ya kiuchumi duniani na tajiri sana kwa miaka mingi sana ijayo, na itaendelea kukupa wewe na bibi yako msaada wa maji ya bomba, barabara, scholarships hadi na vyoo bora.
Hizi porojo zako za kuunga unga hapa ni kujifariji tu.
Ndio itakuwa vita kamili sasa kati ya moscow na Ukraine.ndio maana ukraine na nchi za magharibi wanapiga kelele kuhusu hiyo referendum.Ajue hili kama hajui
Ila najiuliza tu kama baada ya referendum jamaa wakishambulia hapo ndani ya RUSSIA mpya
Najiuliza tu je RUSSIA wataamua kupiga makao ya ZELENSKY
Mungu anieke nione khatma ya hii jambo aseee
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa una utoto mwingi sana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2365485
Ila umekubali kwamba Zele kaishazitambua LPR na DPR kua sio sehem za UKRAINE !!?Kipindi kile Zelensky alikuwa anaongea sana na Putin alikuwa kimya. Sasa hivi Putin anaongea sana na Zelensky yupo kimya. Acha tusubiri tuone.
Hahahaha kweli kuimba ni kupokezana
Hahahaha hakuna mwenye akili timamu anatambua huo utoporo wa Putin,China mwenyewe Boss wa Putin hazitambui ije kua Mr comedian anayempeleka puta jasusi [emoji23][emoji23][emoji23]Ila umekubali kwamba Zele kaishazitambua LPR na DPR kua sio sehem za UKRAINE !!?
Halaf tuendelee na hoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Hem acha tuone MKUUNdio itakuwa vita kamili sasa kati ya moscow na Ukraine.ndio maana ukraine na nchi za magharibi wanapiga kelele kuhusu hiyo referendum.
Sasa hapo habar yako mwenyewe umeileta na huyo bwana komedian kazitaja hizo nchi kama republicHahahaha hakuna mwenye akili timamu anatambua huo utoporo wa Putin,China mwenyewe Boss wa Putin hazitambui ije kua Mr comedian anayempeleka puta jasusi [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata hiyo referendum nategemea kusikia asilimia 99.9 imekubali kujitenga na urusi [emoji12]Madikteta pia hupenda sana kufanya uchaguzi na kushinda kwa zaidi ya 80%.
Russian intelligence=Russian propaganda.
Kwa hiyo utoto ni kushangilia jinsi fashisti Putin anavyopelekewa moto na kataifa kadogo tu Tena jirani yake [emoji12] sio?We jamaa una utoto mwingi sana.