Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Madikteta pia hupenda sana kufanya uchaguzi na kushinda kwa zaidi ya 80%.
Russian intelligence=Russian propaganda.
According to Russian intelligence and Some US commanders,NATO wapo Ukraine,na hata mercenaries wanaokamatwa,most wanajeshi wa nchi za magharabi, wote tunajua US inatoa msaada wa intelligence kwa Ukraine. Putin sio dikteta,alichaguliwa kwa Kura halali na wananchi wa Urusi,ww unapata wa pi audacity ya kumuita dikteta?
 
Tangu Pro russia wa huu uzi waseme kuanzia jumatatu iliyopita ukraine atauona moto na imepita week sasa mtu mzima anatangaza mobilization kwa SMO yake basi siwaamini tena na wala sipotezi muda wangu kuwazingatia nachukulia kama kijiwe cha kahawa tu. kp kipanya44 ,vunjo na FUSO
Hawa ni key board worriors, wanapigana vita ya comments.Wanakuwa frontline wanashinda vita ya hapa JF.Njoo sasa kwenye uhalisia,warusi wenyewe wapo hoi huko Ukraine wanakimbia kuokoa maisha yao.Wazoee tu hawa Warusi wa JF
 
[emoji736][emoji635]
TheAmericanConservative:

[emoji635]RUS already controls the territory that produces 95 percent of [emoji1255]UKR GDP
It has No Need to Press Further West

It seems certain that [emoji635]RUS will finish its work in Donbas, then, turn its attention to the capture of Odessa
Moscow Is In No Hurry.
 
Hawa jamaa Wana mikwara balaa .,Sasa hivi wamekuja na huu wimbo wao mpya wa mobilization na blah blah nyingi..,ninachoona hapa ni kwamba iyo mobilization itafanyika ..., matokeo ya referendum yatatangazwa. ,huku Ukraine akiendelea kutembeza kichapo kama kawaida
Walituambia..., judgement day...,olaa,

Atakayewasaidia Ukraine atakiona Cha moto.., olaa

Wakatoa muda kwa majeshi ya Ukraine kujisalimisha..olaa

Jumatatu Ukraine yote itageuka majivu..,olaa

Yaani wamegeuka kuwa comedian [emoji2][emoji2]
Nasoma comments zao mmoja kasema madhara ya mionzi ya Nuclear inachukua miaka elfu kumi kwisha,utadhani hata alishashuhudia hata Nuclear yenyewe ikipigwa.Pale tu Nagasaki na Hiroshima hakuna tena Radioactive ya kutishia na bomu lilipigwa 1945 sasa hiyo miaka 10,000 sijui kaitoa wapi?
 
Kwani nuclear nayo si ni mmoja ya Silas au unataka atishie gobole?
Ndiyo na hapana. NYuklia ni silaha lakini ni tofauti na silaha zote. Hii ni sababu hakuna aliyezitumia tangu 1945. Hata Urusi haikutumia wakati ilipofukuzwa Afghanistan, na Marekani haikutumia wakati ilipofukuzwa Vietnam.
Ukipenda kuangalia mambo hayo isingekuwa vibaya kama ungejifunza tofauti hiyo.
 
Ukraine inazidi kupata bargaining power kadri inavyorudisha maeneo yake na inavyochukua POWs wengi.

Ilianza maadui wakiwa Kyiv, leo maadui wanategemea referendums ndio watishie kwa nukes. Lazima bargaining power kubwa iwe kwa Ukraine. Mpaka sasa malengo yamehama kutoka kumuondoa Zelensky na kufanya denazification kuwakamata Nazis, wamebaki kufanya annexation ya maeneo jirani yao ambayo hata hivyo yalikuwa karibu na Donetsk na Luhansk zilizokuwa chini yao tangu 2014. Net gain yao sio kubwa.

How comes wanafanya denazification, then Azov battalion ambazo ndio wanashutumiwa ndio Nazis halisi wameachiwa. Malengo ya denazification yameyeyuka, walikuja wakijua wanapambana na wazembe kumbe sivyo
Oy Azov wameachiwa lini mkuu?
 
Babu Putin alivyoweka wanajeshi wake mpakani mwa Ukraine ili avamie alionywa lakini kama kawaida ya kenge hua hasikii mpaka damu ianze kumtoka masikioni,sasa damu imeanza kuchuruzika anatishia Nuclear eti "This is not a bluff" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Russia continues to amass new troops near Ukraine's border despite Biden urging Putin to de-escalate tensions
By Natasha Bertrand, Jim Sciutto and Katie Bo Lillis, CNN
Updated 11:43 AM EST, Fri December 17, 2021

(CNN)Russia has continued to amass new troops near Ukraine's border in recent days, despite President Joe Biden urging Russian President Vladimir Putin to de-escalate tensions during a virtual meeting last week.

Recent satellite images taken by Maxar Technologies and provided to CNN show that Russia has massed troops and equipment as close as 30 miles away from Ukraine's border. The images show an increase between September 7 and December 5 in the number of Russian military vehicles in the southwestern Russian city of Soloti. Russia appeared to be setting up a new regiment within its 3rd Motor Rifle Division, an infantry division of Russia's ground forces, according to Michael Kofman, the research program director in the Russia Studies Program at CNA.

"The 3rd division is still being set up, as is the 144th," Kofman said. But he noted that the main source of Russia's buildup can be seen more in the movements by Russia's 6th army, the 1st in Voronezh, the 41st in Yelnya, and the 58th and 49th armies in Crimea.Russia continues to deny that it is putting the pieces in place for an invasion.

But Putin has said that Russia has the right to "defend its security" in the face of a potential eastward push by NATO.
 
Ramani mpya baada ya 27/09/2022

IMG_6699.jpg
 
Tukichukuamfano wako: kama Kenya imepeleka jeshi lake katika mikoa hii ya TZ na TZ inaendelea kupinga, Kenya inaweza kugushi kura na kusema "Watu wanataka kuwa Wakenya, tunawapokea".

Ila kama nguvu ya jeshi haitoshi kitetea maeneo hayo, itasaidia nini`? Tena kama hakuna nchi inayotambua kuchukuliwa kwa mikoa hii - Kenya itabaki kama mhuni atakayeona matatizo mengi kuishi na majirani mengine . . . .

Huko Urusi tuna hatua ya propaganda inayolenga kumsaidia Putin kubadilisha lugha yake an kuanza kulazimisha raia wake kushiriki katia vita hiyo.
Hapa ana ona changamoto mbili:
a) kuepukana na upinzani wa ndani - hii tutaona! (wangapi watatoroka, kujificha, kupinga, kuandamana??)
b) kuwaandaa kwa vita - hadi sasa nasikia tu sauti nyingi zinazosema: hana uwezo kuwaandaa maana nani awafundishe? Tena: Kuwapa silaha na vifaa vya kutosha... Kuanzia buti, sare, nguo za baridi, kofia.......
Russia sio Zimbabwe wshindwe kuwapa watu wake AK 74, but I na kombati
 
Back
Top Bottom