Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Acha hasira,kura ikishapigwa na ikaonyesha ya kwamba watu wapo tayari kuwa sehemu ya urusi,basi jua fika sio lazima Hadi Dunia nzima ikubali.mfano mzuri ni hapo Zanzibar hakuna Mzanzibar anayetaka Muungano na Tanganyika lakini inatambuka Zanzibar ipo ndani ya Jamhuri-Dunia inajiendesha namna hiyo sio kwa ambavyo unataka wewe.
Relax kijana.
kwani nani anataka Muungangano na wazanzibari, ukweli ni kwamba sioni faida ya moja kwa moja ya zanzibar kwa bara, wakisepa wasepe tu.
 
[emoji635][emoji1255][emoji298]Vladimir Putin is more dangerous than ever - New York Times

The Kremlin has signaled that if it seizes the territory, Ukrainian counter-offensives in the east and south to seize the territory liberated by Russia will be seen as attacks on Russian territory that justify any level of retaliation, up to and including a nuclear response.

Putin's speech on the use of nuclear weapons has exacerbated a dilemma for the West that has existed since the beginning of the war: how far intensive military support for Ukraine can go.

Hem hizi kura zipigwe upesi ili tuone kipi kitatokea Baada ya kujiunga na RUSSIA kwahizo nchi huru za LPR na DPR

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20220921-140413_Twitter.jpg
 
Media: Foreign banks suspend use of Russia’s Mir payment system
Following Turkish banks, banking institutions in other countries, namely Vietnam and Kazakhstan, have suspended the use of Russia’s Mir payment system. Western pressure can make certain players take such measures on a temporary basis in order to avoid being cut off from the global financial system, said experts interviewed by Izvestia.

Major foreign banks are sensitive to signals related to sanctions as the use of foreign currency is important for them and the risk of being cut off from international payments is too high, Vice President of the Association of Banks of Russia Alexey Voilukov explained. According to him, the leading banks have to take these risks into account, restricting the use of foreign national payment systems or at least trying not to advertise this kind of partnership.

https://tass.com/pressreview/151091...m_medium=social&utm_campaign=smm_social_share

Bwana Utam
 
Hate speech sio sehemu ya uhuru wa vyombo vya habari, huwezi kuwa unashadadia propoganda za mauji za kifshisti za Hitler, za kibaguzi za Makaburu, ISIS, Taliban, Ku Klux Klan. Huwezi ukasema Biden auwae katika Fox News usifungwe.
uhuru wa vyombo vya habari wa wamagharibi-tunao hatuna?
The Lithuanian Parliament banned the broadcasting of Belarusian and Russian TV channels in the country until October 2024
 
Watu wote wanaoupinga Ukomunisti sehemu yoyote duniani ni raia wema na wanahitaji support kutoka kwa yeyote anayethamini uhuru wa binadamu.

Wa-Vietnam Kusini waliukataa na walikuwa wanaupinga Ukomunisti wa Vietnam Kaskazini.
Swali simple tu nimekuuliza unaleta maelezo mareefu. Nimekuuliza verification ipi inayoonesha kuwa USA alikuwa anatetea raia wema!? Hao ni raia wema kwa Mungu au raia wema kwa Marekani!?
 
Watu wameanza kupata stroke kabla hata ya kufika kwenye uwanja wa Vita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

The Russian Far East has already reported the first casualties among the mobilised. "We haven't even arrived yet, and one man is already having a stroke," says a guy filming the scene.

 
Counter offensive bado inaendelea

[emoji298]️General Staff: Air Force attacks 25 strategic Russian military sites.

Ukraine’s General Staff reported on Sept. 23 that the country's Air Force targeted six positions of anti-aircraft missile systems, and downed a Mi-8 helicopter and nine drones.
 
[emoji298]️ISW: Kremlin likely downplays prisoner swap with Ukraine.

The Institute for the Study of War reports that an unexpected prisoner swap which was announced the same day as partial mobilization is "deeply unpopular" among Russian nationalists and military bloggers.

The Kremlin exchanged 215 Ukrainian prisoners of war, including captured foreign nationals and some of the members of the National Guard's Azov regiment.

The experts noted that far-right Russian military bloggers criticized the exchange and asked if the Kremlin had given up on the ”de-Nazification” of Ukraine, one of the stated goals of the Russian February invasion.
 
[emoji298]️Ukraine’s military destroys Russian equipment in southern Ukraine.

Ukraine’s Operational Command “South” reported that Ukrainian forces killed 18 Russian troops and destroyed three Msta-S and Msta-B howitzers, two tanks, and two armored vehicles on Sept. 22.
 
Ndio uzuri wa demokrasia, zinajengeka katika mifumo ya kujifunza kutokana na makosa na kujisahihisha, na ndio maana US imekuwa great power.
Uliye chini ya kongwa la mkoloni mweusi huku unashangilia udikteta wa mkoloni mweupe utastaajabu sana kwa mambo kama haya.
Pro USA kazi kwenu [emoji23] Nendeni mkaoneshe maujuzi yenu yaliyo tukuka AF.

View attachment 2364631
The United States needed a "sanctions expert" in order not to harm its own economy.

The US Treasury Department has opened a vacancy for the "guru of sanctions".

This is an economist who will advise the agency on the impact of restrictive measures on financial markets, foreign trade, energy and other areas, Bloomberg reported.

The consultant should help the government avoid economic shocks.

"Two decades after the US began relying more and more on sanctions to put pressure on opponents around the world, they are hiring someone to make sure that these measures work as they should," the agency points out.

Earlier, the White House analyzed the economic sanctions imposed and found that over the past 20 years, their number has increased by 933%.
 
Referenda hazitasababisha Ukraine kutoshambulia maeneo tajwa

Kama Belgorod na Kursk zinapigwa mabomu kila siku na ni maeneo halali ya Urusi, sembuse maeneo ya Ukraine toka 1991?

Crimea imepukutishwa mara kibao na hakuna kilichofanyika...

Putin anahadaa ulimwengu, katangaza watu 300,000 kumbe kwa chini ni watu 1mil
Watakua wameshambulia Shirikisho la Urusi wajiandae na majibu yoyote

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom