Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu ni ngumu kwa sababu watu wanao ishi kwenye hayo majimbo ni watu wenye asili ya Kirusi ivyo wanawaona warusi ni kama ndugu zao.

Ila Urusi ikifanikiwa kuyachukua haya majimbo litakuwa pigo kubwa sana kwa Ukraine maana hayo majimbo 4 ambayo Urusi inataka kuyachukua yana wakilisha karibia asilimia 45 ya Uchumi Ukraine na yana wakilisha asilimia 80 ya bahari.
Okey mkuu, ina maana raia ni loyal kwa nchi ipi?
 
[emoji1787][emoji2][emoji28][emoji1787]
1663765183168.jpg
 
Mkuu ni ngumu kwa sababu watu wanao ishi kwenye hayo majimbo ni watu wenye asili ya Kirusi ivyo wanawaona warusi ni kama ndugu zao.

Ila Urusi ikifanikiwa kuyachukua haya majimbo litakuwa pigo kubwa sana kwa Ukraine maana hayo majimbo 4 ambayo Urusi inataka kuyachukua yana wakilisha karibia asilimia 45 ya Uchumi Ukraine na yana wakilisha asilimia 80 ya bahari.
Unadhani Ukraine atasimama kushambulia?
 
Its out of context, ila wenye kufikiria na wafikrie.

Men Who Eat Meat Should be Banned from Sex – PETA

The German branch of Peta claims men who eat meat should be banned from having sex, citing a researched published last year in the scientific journal PLOS One.

The study apparently found that men emit 41 per cent more greenhouse gases than the female population with their eating habits. The animal rights group linked the figures to ‘toxic masculinity’.

“If you want to resolve the climate crisis, you have to reduce meat consumption, and that’s not going to happen so long as masculinity is constructed around meat” said Daniel Cox, campaigns team leader for Peta Germany.

The activist added that a sex ban would be a decent toll on meat-eating men, "After all, every child not born saves 58.6 tons of CO2-equivalent per year," she said.

Hizo sehemu mbili bolded kwenye maelezo juu zina kitu.

1. Wewe mwanaume, kijana wa kiume, mtoto wa kiume na upo unawashabikia hawa watu ambak kwao wanao ona "Masculinity" ni tatizo.

Kila mda kila dakika wanawaza namna ya kudidimiza ama kuufutilia mbali kabisa. All these rubbish research zinafanyika purposely kwa lengo la ku-justify matendo yao.

Na of course masculinity inafutwa taratibu kwa impositions ya LGBTQA+ agenda ndani ya mwamvuli wa freedom and liberty.

2. Again wanakwambia "After all, every child not born saves 58.6 tons of CO2-equivalent per year," Hii kauli nyingine kwa jina la tafiti lengo likiwa lile lile ku-justify their agenda. Mainly hapa ikiwa depopulation, is this really what we want?

Depopulation kwa jina la Climate saving? Really?

Ok hizo drama zote ziwe ndani ya Unipolar world, ziwe itikadi za kiranja mkuu, so what next? Huh yes we all know the consequence of resistance juu yake itakacholeta.

This is just a little example of why all matured and right minded people are after Multipolar world. We shall never ever find a balance if we don't want to load each of the side involved.
 
Mpaka wa Urusi kwenda Finland leo mchana:
View attachment 2365793
Kumbe foleni tena, kwa nini wengi wanataka kutoka?
Labda wito wa Putin waje kutetea utawala wake na kichaa chake?
Hata ungekuwa wewe unapewa ushauri na veterans namna hii mtandaoni Telegram lazima utoroke kama unaweza
20220923_194211.png


Yani hata mafunzo yenyewe watapewa ya kusuasua. Wataenda bila necessary gears kadhaa ambazo wanashauriwa wajinunulie. Wanafundishana mambo ya ajabu kweli
 
Odesa ni mji wenye bandari na waweza kuufananisha na mji wetu tukufu wa Dar-es-Salaam.

Pale pana mambo mawili muhimu.

1. Russia ameweka vifaa vyake pale kuhakikisha bidhaa zote zinosafirishwa kutoka pale ni bidhaa zinosemwa , na pia kuhakikisha meli zote zinoingia bandarini Odesa zakaguliwa na Russia baada ya kukaguliwa na Uturuki kule zianziapo safari.

2. Odesa ndo yalikuwepo makazi ya manowari za kivita za Ukraine na pana viwanda vya usindikaji vyakula, visima vya mafuta na uchakataji ( kama TIPPER cha Kigamboni) na viwanda vingine mbalimbali na kadhalika.

Mwezi April Russia walishambulia Odesa kwa makombora na kuharibu miundombinu yote ya kijeshi ya Ukraine na hii ni sehemu muhimu sana (kijeshi) kwa Ukraine na kama ingeendelea kuwepo basi Russia kule Bahari Nyeusi kwenye meli zake za kivita zote zingeangamizwa na makombora ya HIMARS ambayo yangeletwa Ukraine na kuingizwa Odesa kupitia pale bandarini.

Hiyo ndo sababu kwanini Russia bado aangazia Odesa kwa jicho la tatu.

Halafu, Odesa ni mji kamili sana na umekaa uzuri kijiografia na umejaa wayahudi na makabila yote yake maskini maskini kama waalbania, wagiriki, waromania na waamernia.
Shukrani sana kiongozi natumai wengi tumekuelewa.
 
Unadhani Ukraine atasimama kushambulia?
Inashangaza sana kuona mazombi wa Putin wakishangilia referendum kana kwamba hiyo itasimamisha mashambulizi,

Russia imeitambua Crimea kuwa sehemu yake tangu mwaka 2014, lakini hiyo haikusaidia kuzuia mashambulizi huko sembuse hii referendum ya kubumba [emoji2][emoji28][emoji1787]
 
Unadhani Ukraine atasimama kushambulia?
Vita ndo vita chacha zaidi maana bado kuna baadhi aridhi ambayo inadibitiwa na Ukraine kwenye hayo majimbo.

So haiingii akili eti Ukraine isalimu amri na kuondoa wanajeshi wake kwenye hayo majimbo,
litakuwa ni jambo la kijinga mno na ambalo lina weza kuighalimu sana Ukraine ,maana akifanya jambo kama hilo litawakatisha tamaa wafadhili wake hatua ambayo itasababisha wasitishe ufadhiri wa silaa kwa utawala wa Kiev hivyo utawala wa Kiev kuanguka ndani ya muda mfupi.
 
Back
Top Bottom