Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

1663959416617.png

chechnya oblast (Jimbo)
Grozny, Chechnya.

50 thousand people gathered as a sign of support for today's referendum
 
Kinachosikitisha zaidi ni kuwaona hapa vijana, wengine wa CDM, wanashangalia huu udhalimu na vurugu za Putin kwa taifa huru halafu wakigeuka upande wa pili kwenye majukwa mengine wanalilia katiba mpya, demokrasia na kumlaani jiwe kwa nguvu zote.
Jamani mjifunze kusoma historia.

Hivi hii kura wanayopiga ina utofauti gani na uchaguzi wa mwaka 2020 wa wabunge nchini Tanzania.

Nadhani wote mwaifahamu Tanzania, na nini kilimtokea bwana yule...

Pili mkae kujua kwamba Marekani sio kwamba anataka kukaa pale juu, Amewekwa na na atashuka endapo tuu aliyemweka ataona inafaa.
 
Dunia nzima haiwezi kuwa mazombi wa conspiracy theories kama nyie Pro-Russia.
Huo ni ukweli ambao lazima ukubaliane nao.
Dunia yetu ina mengi ya ziada ambayo tumejitia upofu kuyajua. Kibaya zaidi kila anayefungua kinywa chake kujaribu kuwaweka wengine bayana huwa anapuuzwa na kupewa majina ya ajabu.

The less you know, the safer you are!

Tutafika tumechoka sana Jomba!
 
vilio na mayowe zaskika-winter is coming
The Estonian Prime Minister warned that Russia could be preparing to disconnect the three Baltic countries from its electricity grid, which could lead to blackouts

Kwani haya majitu yanapata umeme kutoka Urusi? Mbona sasa Mwamba Putin amewapendelea hivyo wakati wanajifanya majeuri eti wanaiwekea Urusi vikwazo!
 
vilio na mayowe zaskika-winter is coming
The Estonian Prime Minister warned that Russia could be preparing to disconnect the three Baltic countries from its electricity grid, which could lead to blackouts
Incomplete story.
Estonia is self dependent on electricity, the cut off would affect the electricity balancing mechanisms which will take a couple of hours to resolve.
 
Mtu yeyote anayeamini mambo ya New World Order(NWO), hayo ya dunia kuwa na dini moja na serikali moja ni mwendawazimu, aliyepungukiwa akili, delusional na anayetakiwa apelekwe akapate matibabu katika hospitali za magonjwa ya akili.
Alafu mtu mwenye akili hawezi kuwa upande wa NATO au ukraine.kuna msemo kama mnasikilizaga Kwa Warusi wanasema Wanahitaji multipolar world ni kwamba urusi anataka Dunia isiwe na nchi yenye nguvu moja yaani hawataki mambo ya New world order kwamba kuwe na serikali moja,dini moja yaani dunia itawaliwe na MTU moja.yaani Warusi wanapingana na waanzilishi wa huu mfumo wa New world order ambao wanatumia marekani na NATO Kuleta huu mfumo wa kishetani.sasa hawa NATO wanataka kuizunguka urusi Kwa sababu ni kikwazo katika Jambo lao.kwa hiyo MTU anayeiunga mkono NATO au Ukraine SASA hivi ni mtu anayeiunga mkono NEW WORLD ORDER ambao unataka kuangamiza mfumo wa Sasa hivi wanataka kuua ukristo na uislamu ili kuleta dini moja Chini ya shetani duniani pia wanataka kuleta serikali moja ili mtawaliwe kiurahisi na muwatumikie amkeni nyie mnaoshabikia NATO.this is new world order game.
 
Kwani haya majitu yanapata umeme kutoka Urusi? Mbona sasa Mwamba Putin amewapendelea hivyo wakati wanajifanya majeuri eti wanaiwekea Urusi vikwazo!
Russia's patience is unmatched 😊 ni wavumilivu na wastaarab mno, tena mno. Wanafaham yote ni mihemko ya wanasiasa wao, so wala hawana haja ya kuwa-adhibu raia wa kawaida kwa makosa ya viongozi wao.
 
Russia's Foreign Ministry says Western delegations' requests to meet with Russian Foreign Minister Lavrov have GONE off the radar, apparently being ORDERED to keep quiet from Washington.
Another False narrative.

The only European delegation who wanted to meet Lavrov is from Cyprus, who cancelled the plan immediately after becoming aware EU is planning to mount another load of sanctions on Russian.
 
Back
Top Bottom