idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,308
- 38,526
Hakuna wa kumtoa Urusi UN amini, na hata wakifanikiwa hiyo haitakuwa UN tena.Yaani Putin kwa ujinga wake anadhani eti akishafanya referendum na asilimia 100 ya kura zikasema kuwa wanataka kujiunga urusi eti basi hiyo itafanya Ukraine iache struggle za kuikomboa hiyo miji!
Sanasana Urusi itafukuzwa kwenye UN na automatically itapoteza kiti katika UN. Figisu hizo za kuiondoa Urusi kutoka katika Membership ya UN Marekani inaziweza!
Pamoja na figisu zote za Marekani na Urusi mpaka Leo hawajafungiana balozi...