Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nawaza tu Russia akishayatambua maeneo aliyotwaa kwamba ni sehem ya Nchi yake........ ivi si mobilization si itawahusu Raia wa hayo maeneo? Yaan wa Ukraine watalazimika kupigana dhidi ya wa ukraine wenzao, hii episode naisubiri sana nione itakuaje
Unawaitaje ni wa-ukraine wkt tayari wameshajiunga na Russia?
 
😄😄 hii OP imefanya tuzijue vzr akili za wazungu,hakika wale Ni vichaa waliochangamka tu
😃😃 Wapumbavu wameshikwa akili, wana ua uchumi wa nchi yao wanateseka.. Hamna kitu wale nilikuwa nawaona wana maana kumbe taka taka, wazungu wenye akili na Russia, hao wa Ukraine toka wameuza nao akili zao wamekuwa upinde wa mvua
 
😄😄😄 Nimeona Kuna sehemu wazungu wameambiwa waanze kujisaidia kwny mifuko mkuu,mambo yashakua Ni magumu.
 
Mfumo wa panya road na putin ni ule ule utofauti unakuja kwenye vitendea kazi. Panya road wanakupora simu/mkoba wanakutishia nyembe, visu na bisibisi

Mimi sijasema nazuia anachofanya Putin, nimesema:, Putin ni muhuni kama walivyo panya road wanapora watu Mari zao na kuwatishia vitu vyenye ncha kali. Huu ni uhuni wa kishamba sana.
Yeye aendelee kufanya anachokifanya ila ni muhuni tu, hana tofauti na kibaka.
Then, Himars zinasubiri kumpunguzia homeless ma- jobless mtaani mtaani.
Wameshindwa wanajeshi wenye mafunzo, homeless na Cocainers wasio na ajira ndiyo waweze mziki wa Ukraine?. 😅
Putin siyo mhuni na hawezi na Wala hatakuwa mhuni...Putin ni hero...Putin ni shujaa...Putin ni tough...Putin ni Patriot ...ni mzalendo...ameamua kupambana na wahuni na washenzi wa West kwa Maana ya USA na mbwa Koko wengine wote wa west na mabeberu wote.....Putin ni mwamba na mwokozi ....ni kiboko Cha mabeberu....WEST waliandaa kuiangamiza Russia kwa kutumia Ukraine lakini akawawahi na ndiyo maana wanapiga kelele.
..
 
Kichapo cha maana kinatembezwa huko pamoja na mobilization kuanza bado kichapo anapokea
Screenshot_20220924-182355_Chrome.jpg
 
Nasoma comments zao mmoja kasema madhara ya mionzi ya Nuclear inachukua miaka elfu kumi kwisha,utadhani hata alishashuhudia hata Nuclear yenyewe ikipigwa.Pale tu Nagasaki na Hiroshima hakuna tena Radioactive ya kutishia na bomu lilipigwa 1945 sasa hiyo miaka 10,000 sijui kaitoa wapi?
Aliyepiga pale Hiroshima na Nagasaki ni Nani?!?! Mbona huwa mnapata kigugumizi kumtaja?! Mtajeni ili aeleweke vizuri na fedheha kubwa aliyofanya kwa mauaji hayo ya kinyama...watu zaidi ya 200,000 walikufa na maelfu mengine wakaendelea kufa baadaye...na mpaka wanaendelea kufa na wengine wanazaliwa vilema....stupid America
 
Putin siyo mhuni na hawezi na Wala hatakuwa mhuni...Putin ni hero...Putin ni shujaa...Putin ni tough...Putin ni Patriot ...ni mzalendo...ameamua kupambana na wahuni na washenzi wa West kwa Maana ya USA na mbwa Koko wengine wote wa west na mabeberu wote.....Putin ni mwamba na mwokozi ....ni kiboko Cha mabeberu....WEST waliandaa kuiangamiza Russia kwa kutumia Ukraine lakini akawawahi na ndiyo maana wanapiga kelele.
..
Econometrician muelewesha huyu mwenzio .. Yeye bado ana madai ya zamani kuwa west walitaka kuihujumu Urusi... Hana taarifa kuwa Urusi uwa ina update madai kadili muda unavyokwenda.
Huyu mwenzio bado yupo kwenye version ya nyuma wakati wewe hupo kwenye version mpya ya Urusi kuchukua Ardhi yake iliyopolwa na west.
Ukiwachukua pro Russia 10 na kila mmoja kwa wakati wake umuulize sababu ni hipi hasa Putin kuivamia Ukraine utacheka mwenyewe..kila mmoja anasababu yake.
 
Back
Top Bottom