Bugucha
JF-Expert Member
- Jan 3, 2020
- 3,621
- 14,714
Blah, blah blah blah blah blah blah blah!Wewe nipe kwanza ushahidi hakuna Sungura anayezungumza kama yule wa kwenye hadithi za Abunuwasi.
Hakuna siku dunia ya watu bilioni 8 wengine wenye akili fyatu kama nyie Pro-Russia itakuwa chini ya dini moja au serikali moja.
Hakuna kiongozi, tajiri au mwanasayansi yeyote wa Magharibi ambaye anafikiria huo utopolo wenu. Watu huko wanaumiza vichwa na kuchakarika kuwaletea Google muendelee ku google vizuri utopolo wenu, muziki, movies, vitabu, Stralink, magari, meli, dawa, chanjo soda, vifaru, na kila kitu ambacho mnatumia huku mkipayuka na kudanganyana kizombi kwamba mnataka kumalizwa nyie mafukara.
Bila ushahidi niliyokuomba Kwanza