Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mtu yeyote anayeamini mambo ya New World Order(NWO), hayo ya dunia kuwa na dini moja na serikali moja ni mwendawazimu, aliyepungukiwa akili, delusional na anayetakiwa apelekwe akapate matibabu katika hospitali za magonjwa ya akili.
Toa ushahidi kudhibitisha hayo maneno yako ili tuwache wendawazimu nikiwemo.
 
[emoji1044] [emoji1054] [emoji636] [emoji1093] [emoji1217] [emoji1238] [emoji1255] [emoji635] [emoji994] Observers from Belarus, Brazil, Great Britain, Egypt, Slovakia and Syria have started working on the referendum in Luhansk People's Republic,the Central Election Comitee of the republic reported
Hivi huoni aibu kuleta HABARI ZA UONGO?!

Yani Uingereza ipeleke observers kwenye huo uchafuzi na upuuzi wa Putin?!
 
Radius that Hypersonic missile covers when fired from enclaved Kaliningrad. Ndio maana wanaogopa Russia 🇷🇺


🇷🇺✈️🚀Kinzhal missile spotted with its carrier MiG-31 s based at Military Airport Chkalovsk-Kaliningrad,

Representation with the range of the Kinzhal https://t.co/clwQMSXb68
20220924_072513.jpg
 
Fungua akili .ila kuna wakati nawaza what if hawa Russia,China au Marekani Lao ni moja?nafikiri hii Vita sababu kubwa ni kuja kuharibu west domination.View attachment 2366122
Mkuu Ulichosema ni kweli kabisa, kingine Cha kuongezea huyo mtoto Yoda akafanye research pamoja na wenzake pro USA/NATO/UKRAINE katika hii issue ya BILDERBEGS ARC OF CRISIS.

Ilikuwa mwaka 1979 mkutano ulifanyika Austria huu ulikuwa mkakati wa kuhujumu mataifa ya Mashariki ya kati(hasa ya kiarabu) pamoja na Eurasia ( ulaya Mashariki na Asia ya Kati na Kusini) kwa malengo ya kuyacontrol mafuta na kuishughulikia urusi. Hapa unakutana na mwanasiasa shetani kabisa ambaye Leo hii ni Mzee kabisa bwana HENRY KISSINGER.

Humo unaona ni jinsi gany mwarabu anavyoshughulikiwa kwa mafuta na dini yake ambapo na urusi anadhibitiwa kupitia majirani zake na wateja wake wa natural resources Kama mafuta. Ambapo hii ni mipango ya nyuma na Leo yanatokea kabisa.

Watu wakiona kwamba tunapinga mambo yanayofanywa na marekani na washirika wake wanafikiria sie tunamatatizo kumbe wao ndio wanashida vichwani mwao either kwa kutokujua ukweli au kuujua na kuikataa kwa makusudi. Kingine kwa wale wanaomini China ni adui wa marekani nawaonea huruma sana huko China kuna familia moja inaitwa li bloodline wale wanaofatilia mambo wanajua what I mean napia uchumi wa China muuangalie sana kwa jicho la tatu, ngoja niishie hapa mambo yasiwe Mengi na kuharibu lengo la hii thread.
 
Taarifa ya ukrein leo kuhusu SMO

‼️🇺🇦🇷🇺 The Russian army continues its offensive in the DPR and strikes using UAVs - the main from a summary by the AFU General Staff:

▪️ The Russian Armed Forces continue to concentrate efforts to occupy the entire Donetsk region.
▪️The Russian army is advancing in the areas of Spornoye, Soledar, Bakhmutskoye, Otradivka, Kurdyumovka, Zaitseve, Mayorsk, Kamyanka, Avdeevka, and Opytne.
▪️Russian forces are re-grouping, bringing in reserves, and conducting aerial reconnaissance in certain areas.
▪️The Russian Armed Forces carried out 1 missile and 2 air strikes, as well as 15 MLRS attacks on targets in the areas of 10 n.p.s., in particular Pechenega, Yatskovka, Yarovaya, Marinka, Krasnogorovka, Belogorovka, Mirolyubovka, Mykolaiv, Sukhaya Stavok and Novohrigorovka.
▪️ The Russian Armed Forces carried out a drone strike against a facility in Odessa.
The RUSSIAN ARMY IS ADVANCING, yaani ingekuwa ni Ukraine, social media na western media zingejaa server,tupicha na tu video kibao.
 
Hata ungekuwa wewe unapewa ushauri na veterans namna hii mtandaoni Telegram lazima utoroke kama unawezaView attachment 2365939

Yani hata mafunzo yenyewe watapewa ya kusuasua. Wataenda bila necessary gears kadhaa ambazo wanashauriwa wajinunulie. Wanafundishana mambo ya ajabu kweli
Supapawa wa mchongo wafuasi wake ukiwauliza mbona jasusi mbobevu amefikia stage ya kulazimisha raia kujiunga na jeshi hawana majawabu rasmi ila blaablaaa nyingi tu.


Yaani wanajeshi wa kirusi wamekufa kama sizimizi waliomwagiwa dawa na bado wanaktaa warusi wa mtongani.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Wewe nipe kwanza ushahidi hakuna Sungura anayezungumza kama yule wa kwenye hadithi za Abunuwasi.

Hakuna siku dunia ya watu bilioni 8 wengine wenye akili fyatu kama nyie Pro-Russia itakuwa chini ya dini moja au serikali moja.

Hakuna kiongozi, tajiri au mwanasayansi yeyote wa Magharibi ambaye anafikiria huo utopolo wenu. Watu huko wanaumiza vichwa na kuchakarika kuwaletea Google muendelee ku google vizuri utopolo wenu, muziki, movies, vitabu, Stralink, magari, meli, dawa, chanjo soda, vifaru, na kila kitu ambacho mnatumia huku mkipayuka na kudanganyana kizombi kwamba mnataka kumalizwa nyie mafukara.
Toa ushahidi kudhibitisha hayo maneno yako ili tuwache wendawazimu nikiwemo.
 
Siku ukielewa kwa nini kuna West domination na wao ni block yenye nguvu zaidi duniani utakuwa umechelewa sana.

West wana nguvu na ushawishi mkubwa duniani kwa sababu wana teknolojia kubwa kuliko kwingine kokote duniani, hiyo teknolojia imewafanya kuwa na uchumi mkubwa kiasi cha kutoa misaada na mikopo kwa matrilioni kwa watu maskini kama nyie.

West wana ushawishi na watu wanakimbilia huko kwa sababu huko kuna demokrasia na uhuru mkubwa wa raia kuliko sehemu nyingine duniani. Ndio sababu unaona Waarabu, Wa-Irana, Warusi wanakimbilia na kuficha pesa zao huko.

West wana ushawishi kwa sababu watu wanapenda utamaduni wao kuanzia lugha, mavazi, muziki, movies, vyakula, vinywaji n.k ndio maana unaona kuna Pepsi, Coca-Cola, Starbucks, KFC, McDonald's, Burger King hadi Russia lkn huwezi kukuta kinywaji kingine cha Kirusi zaidi ya vodka huko US. Wengine hapa wanaoitukana West wako wanakunywa Pepsi baridi sasa hivi baada ya kumaliza kula supu.
Fungua akili .ila kuna wakati nawaza what if hawa Russia,China au Marekani Lao ni moja?nafikiri hii Vita sababu kubwa ni kuja kuharibu west domination.View attachment 2366122
 
Russia wengi ni Wa- Orthodox, China wengi hawana dini, wengine wako na folk religions zao, wengine ni Wabudha n.k, Marekani wako watu wa dini zote kubwa duniani sasa watu wa aina hii hilo "lao moja" ni lipi??
Watu huko wako wengi wao hawana hata muda wa kuwaza huu utopolo wenu wa NWO, wako bize wanafanya kazi usiku na mchana kama mchwa kupata pesa za kuja kuwakopesha watu wenye akili ndogo wanaolia na kufikiria West domination ndio adui yao, ila Hiyo West haikuifanya Korea Kusin, Japan, Taiwan, Singapore na China kuwa mafukara[emoji16]
Fungua akili .ila kuna wakati nawaza what if hawa Russia,China au Marekani Lao ni moja?nafikiri hii Vita sababu kubwa ni kuja kuharibu west domination.View attachment 2366122
 
Waulize Finland...kama walilazimishwa kuachia maeneo yao.....ukitoka huko kamuulize ujeruman Kwa Nini kalinigrad aliiacha .. ukipata majibu njoo nipo paleee.... Mfichage upumbavu wenu...
Sawa, nimeficha upumbavu wangu, we onyesha hekima yako kwa kueleza why Putin Kawa kama kibaka, anapola Ardhi ya watu na kuwatishia Nyuklia.
Kuna utofauti gani kati ya anachokifa putin na panya road?.
 
Back
Top Bottom