Final Boss
JF-Expert Member
- May 5, 2022
- 1,296
- 15,984
😂😂😂US na WESTERN wote wanafiq walio kubuhu suala pekee wanaloweza kulisimamia kiukwel nawasilipinge hata iweje ni USHOGA na USAGAJI hili hata aje YESU watalisimamia hvyo
Naomba nisaidie kuweka kituo mwisho wa maelezo haya ha ha ba. Mdau hiyo ishakuwa alama ya Taifa wanaipigania, wanailinda na wako radhi kwa lolote juu yake mvua inyeshe jua liwake ☹️.