Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Naachaje kumjua sasa mtu mpana kama yule vyeo vyote vyake. General wa US, Colonel wa France, Sergeant wa Germany, Corporal wa UK, Captain wa Canada, Lieutenant wa Spain. Chair wa NATO na branch Manager wa JF department ya Mapambio ya Collective west he he he.Nikikumbuka wakat kuna tetenas za drones za IRAN kuja hapo UKRAINE kuna mchambuzi wetu mmoja pendwa hapa ndani alianza kuziponda kweli kweli hizo drones
Ila leo mpaka kuona kitendo alichokifanya kwa IRAN ndugu Elensky natamani yule mchambuzi aje atoe tena neno hapa
Ila nasikitika siku skrin shot ile koment yake kwahio sita mtag sina ushahidi lkn maneno yake nayakumbuka haswaa
Ila bila yashaka ndugu Galip Vrl atakua kamjua[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app