Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Naona watetezi wa demokrasia mnapingana sasa na demoghasia mnayo ihubiriMfumo wa panya road na putin ni ule ule utofauti unakuja kwenye vitendea kazi. Panya road wanakupora simu/mkoba wanakutishia nyembe, visu na bisibisi
Mimi sijasema nazuia anachofanya Putin, nimesema:, Putin ni muhuni kama walivyo panya road wanapora watu Mari zao na kuwatishia vitu vyenye ncha kali. Huu ni uhuni wa kishamba sana.
Yeye aendelee kufanya anachokifanya ila ni muhuni tu, hana tofauti na kibaka.
Then, Himars zinasubiri kumpunguzia homeless ma- jobless mtaani mtaani.
Wameshindwa wanajeshi wenye mafunzo, homeless na Cocainers wasio na ajira ndiyo waweze mziki wa Ukraine?. [emoji28]
UKRAINE wanapiga kura kuamua khatma zao wakikataa watabakia kwao wakikubali maisha yataenda kuendelea ikiwa mji MKUU wao ni MOSCOW
Kama wanajeshi wameshindwa na bado mnalalamika lalamika tunaomba wazidi kushindwa ili mulalamike lalamike zaidi na zaidi
PUT IN anasimamia mfumo wa kidemokrasia ambao hua munauhubiri na anautekeleza
Kama hamutaki Ref nendeni UN muwashauri wairejeshe JUBA iwe sehem ya KHARTOM ili tupate uhalali wakumshinikiza PUT IN aachane na anacho kifanya
Maamuzi ya LPR na DPR kama jamhuri huru yaheshimiwe
Pia KHERSON na ZAPORINHE maamuzi yao yaheshimiwe
PUT IN aachwe afanye na asimamie DEMOKRASIA
Sent using Jamii Forums mobile app