Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Don Vill achana na hayo mataahira yatakuchosha bure. If only idiocy was painful, these useless zombies would be writhing in intolerable pain. Their love for dictators, totalitarians, fascists, despots, oppressors, tyrants and autocratic leaders astounds me.

Hata hapa kuna moja alikuwa anaitwa Idi Amin Dada, akaivamia Tanzania akitaka kuteka eneo la jimbo la Kagera hadi Mwanza, hawa wapumbavu wangekuwa madarakani wangemuachia tu lakini Mwalimu Nyerere hakusita kumtoa huyo nduli mvamizi mkuku mkuku!

Hivyo hivyo na hiyo takataka iliyoivamia Ukraine, cha moto atakiona. Jana kamuua mpinzani wake moja, mtu mashuhuri sana ndani ya Urusi, eti kwa kupinga hii vita yake ya kijinga ya uvamizi. Anachokitafuta atakipata.
Kwa maandishi haya, wakiyasoma rafiki zako wakina Mchambuzi Alinda Nguruvi3 watasikitika mkuu ,unauelewa mkubwa kuliko hizi takataka ulizoandika hapa.
 
Kwa siku moja tu una post zaidi ya ndege 20 zilizotunguliwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].hata ww2 hakikutokea kitu kama icho,video na picha hadi mwaka jana unazileta leo
Hahahaha mavideo ya watoto kwakua yanawaudhi eeeh,haya nyingine hii hapa Su-30 baada tu ya kunusa airspace ya Ukraine imepigwa kombora moja matata



Nkuba25

Mohamed unasema video zangu za watoto,wewe zile video zako za wanajeshi wa Tiktok ndo za kikubwa?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Don Vill achana na hayo mataahira yatakuchosha bure. If only idiocy was painful, these useless zombies would be writhing in intolerable pain. Their love for dictators, totalitarians, fascists, despots, oppressors, tyrants and autocratic leaders astounds me.

Hata hapa kuna moja alikuwa anaitwa Idi Amin Dada, akaivamia Tanzania akitaka kuteka eneo la jimbo la Kagera hadi Mwanza, hawa wapumbavu wangekuwa madarakani wangemuachia tu lakini Mwalimu Nyerere hakusita kumtoa huyo nduli mvamizi mkuku mkuku!

Hivyo hivyo na hiyo takataka iliyoivamia Ukraine, cha moto atakiona. Jana kamuua mpinzani wake moja, mtu mashuhuri sana ndani ya Urusi, eti kwa kupinga hii vita yake ya kijinga ya uvamizi. Anachokitafuta atakipata.
Unaota!
 
Pro-war figures in Russia have welcomed his dismissal and the appointment of Gen Mizintsev - who was sanctioned by the UK for his role commanding the Mariupol siege - will likely be welcomed by hardliners.

Gen Mizintsev, who was dubbed "the Butcher of Mariupol" by many Ukrainians, also led Russian forces in Syria and was accused of orchestrating a brutal bombing campaign that levelled the city of Aleppo.

BBC.
Hahahaha nanukuu kauli ya Shoigu.... "Special operation going according to plan"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa siku moja tu una post zaidi ya ndege 20 zilizotunguliwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].hata ww2 hakikutokea kitu kama icho,video na picha hadi mwaka jana unazileta leo
Hahahaha ndege 20?! Mimi nimekua Zelenksy au?![emoji23][emoji23][emoji23]

Embu niquote hizo posts zangu nilizopost ndege 20?!

Jana tu Russia imepoteza ndege NNE Su-25 mbili,Su-30 moja na Su-34 sasa tusipost kwanini?!
 

Numerous Reports: Air Defenses Activated Over St. Petersburg, Russia​

24 SEPTEMBER 2022
Numerous Reports: Air Defenses Fired Over St. Petersburg, Russia

Numerous reports and videos on Social media are claiming Russian air defense missiles were fired from St. Petersburg, to protect the city from something incoming.
One video shows the missile trails from firing:



It is yet unknown why air defenses were activated.
Mzee wa independent source na wewe unaleta video[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa siku moja tu una post zaidi ya ndege 20 zilizotunguliwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].hata ww2 hakikutokea kitu kama icho,video na picha hadi mwaka jana unazileta leo
Kaka video za mwaka Jana tena!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha kuchekesha umma bhana [emoji23].....Mwaka Jana hizo ndege zilitunguliwa na Nani wakati Russia hakua vitani kavamia mwaka huu February 24.

Kubalini tu Airforce ya Russia hamna kitu Leo tunaingia rasmi mwezi wa nane tangu vita ianze lakini wameshindwa kabisa kuweka No fly zone Ukraine,na Kwa vita za kisasa kama hauna air superiority kushinda ni ngumu.

Operation ya Russia kule Syria ilikua na mafanikio makubwa sababu alikua na air supremacy anaingiza Tu-95 au Tu-160 anazijaza dumb bombs anaenda kuwadondoshea ISIS, Ukraine hawezi thubutu kuingiza Tu-95 sababu ni high flying bomber,itatunguliwa mapema tu plus Russia hana stealth bomber.
 
Hahahaha Yule Babu jasusi mwenye mkanda mweusi wa Judo ajiandae tu kutumia nyuklia maana vita vimeshamshinda, Comedian kashasema kipigo cha panyaroad kitaanzia Donbas mpaka Kherson

[emoji298]️Zelensky: 'We won't allow occupants to go unpunished.'

In his nightly address, President Volodymyr Zelensky said that Ukraine will respond to "all the attacks" in Zaporizhzhia, Kharkiv, Mykolaiv, Nikopol, Donbas, and in all Ukrainian cities and regions.

"We will definitely liberate our entire country - from Kherson to Luhansk region, from Crimea, I emphasize, to Donetsk Oblast. Every murderer and executioner will be brought to justice for what they did against we Ukrainians."
 
Majeshi ya Ukraine yanakaribia Lyman

Eastern #Ukraine Update:

A #Russian source claimed that Ukrainian troops took control of #Nove (18km due north of #Lyman) and are continuing to push south of Lyman from the Ridkodub-Nove line. /6

 
A meeting between 🇷🇺 Russian delegation and the Cooperation Council for the Arab States of the Gulf (GCC) has been held on the sidelines of the UN Security Council in New York. "[We are] making progress in strengthening the United Nations, I hope, and strengthening our partnership between Russia and GCC" - said 🇷🇺Russian FM Sergey Lavrov, when addressing his counterparts from 🇧🇭Bahrain, 🇶🇦Qatar, 🇰🇼Kuwait, the 🇦🇪UAE, 🇴🇲Oman and 🇸🇦Saudi Arabia - all members of the Council, adding: "We discussed our cooperation [with the Council] in June in Riyadh, it was a very important meeting, and we are now following up on main agreements regarding promoting our cooperation in various fields."
 
😂😂😂



🇺🇸🇺🇦 An American TV presenter questioned Kiev's sanity because of calls for a nuclear strike on Russia.

Fox News journalist Tucker Carlson criticized the adviser to the head of the office of the President of Ukraine Mikhail Podolyak.

"In response to Putin's words, the Ukrainian government called for an immediate nuclear attack on Russia, which, without a doubt, would lead to the immediate destruction of New York, Washington, Los Angeles, and the deaths of tens of millions of Americans. <...> Sane people don't say that, ever," the presenter said.

He expressed his conviction that Ukraine has no chance in a military confrontation with Russia. The Russian army is several times larger than the Ukrainian one, and Ukraine itself is the poorest country in Europe.

He also called on Washington to put pressure on Kiev to resolve the conflict through negotiations. In his opinion, now is the most suitable situation for this.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

View attachment 2367305

[emoji631][emoji1255] An American TV presenter questioned Kiev's sanity because of calls for a nuclear strike on Russia.

Fox News journalist Tucker Carlson criticized the adviser to the head of the office of the President of Ukraine Mikhail Podolyak.

"In response to Putin's words, the Ukrainian government called for an immediate nuclear attack on Russia, which, without a doubt, would lead to the immediate destruction of New York, Washington, Los Angeles, and the deaths of tens of millions of Americans. Sane people don't say that, ever," the presenter said.

He expressed his conviction that Ukraine has no chance in a military confrontation with Russia. The Russian army is several times larger than the Ukrainian one, and Ukraine itself is the poorest country in Europe.

He also called on Washington to put pressure on Kiev to resolve the conflict through negotiations. In his opinion, now is the most suitable situation for this.
FAKE NEWS!!!!!

Ni wapi na lini kiongozi wa Ukraine alitaka Urusi ipigwe Kwa Nyuklia?!...,au umejisahaulisha kwamba Putin ndiye wa Kwanza kutishia hayo manyuklia?!

Leta evidence?!

Pia tunaomba source ya taarifa yako.
 
Back
Top Bottom