Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Rahisi wa US hachaguliwi na raia anachaguliwa na jopo la wajanja flani tu hawafikii hata bukuBoss, Hapa nalinganisha mfumo wa demokrasia na mifumo mingine na sio kuonyesha udhaifu wa demokrasia. Hakuna tofauti ya demokrasia ya Urusi na USA iwapo uchaguzi wa aliyepo madarakani uliwahusisha raia.
Yaani US na EU wote madikteta
Ile sysytem ya wengi wape huko hawaijui kabisaaa nandio maana tukamuona DT madarakani badala yayule bibi
Sent using Jamii Forums mobile app