Wazungu ni washenzi tu. Marekani anataka kuishi bila kufanya KAZI hicho ndicho kinacholeta vita . Lazma adisturb Dunia silaha zipungue auze silaha. Hajali VIFO vya wazungu wa mashariki wahindi waarabu Waaafrika anajali American welfare. Machizi yamo humu kutetea Marekani kisa ni hip-hop basketball bas
Clinton alipata kura milioni 65 Trump akapata kura milioni 62 ila raisi alikuwa Trump.Watu Milioni 156 walipiga kura mwaka 2020, Biden alipata kura milioni 82 na Trump milioni 74
Moja kati ya General wa hovyo zaidi na kilazaMtoto wa M7 Yuko bega kwa bega na PUTIN.
Cold War Politics: Gen Muhoozi Defends Russia
chimpreports.com
Sep 25, 2022 8:23 AM
Lt Gen Muhoozi Kainerugaba
Uganda’s Land Forces commander, Lt Gen Muhoozi Kainerugaba, has once again thrown his weight behind President Vladimir Putin as the Russian leader steps up his military operations in Ukraine.
“President Putin does not have to threaten nuclear war,” said Gen Muhoozi on his official Twitter handle.
“We hear him. An attack on Russia is an attack on Africa!” he emphasized.
Muhoozi’s tweets come at a time of heightened tension between the west and Russia over the Ukraine conflict.
Putin said his country had “various weapons of destruction” and would “use all the means available to us” if Russia’s security was threatened, adding: “I’m not bluffing.”
Putin’s nuclear threats have since alarmed the world.
It remains unclear why Muhoozi has decided to take part in the dangerous cold war politics.
But his remarks come against the backdrop of a resolution of the European Union Parliament calling on Uganda and Tanzania to stop the development of the multi-billion dollar oil pipeline project on account of the human rights violations in both neighbouring countries.
😂😂😂Silaha walizompa zilikuwa ni za kuchelewesha tu lkn sio kuzuia! Kama mtu anabakwa badala ya kutoa msaada wa kumzuia mbakaji wewe unasaidia kinga na vilainishi ili victim asiumie wala kuambukizwa but you let the rape to go on. Fancy that!
Dah aaahya bn 😂😂😂*Nothing dangerous in the game than a pawn who thinks he's a queen!
Well said mkuu
Na ndio maana mimi niliona hakuna sababu ya Ukraine kukaza shingo tangu mwanzo maana alichokuwa anakipinga hakuwa na ubavu wa kukizuia kisitokee one way or the other! Nato wangeweza kuwa msaada lkn with nuclear weapons on the eqn msaada usingekuwa wa kiivyo. Tumeona all along this war western wamejaribu kumpa tafu kijeshi na kijasusi lkn hawakuwa tayari kuruka mstari mwekundu wa Urusi. Silaha walizompa zilikuwa ni za kuchelewesha tu lkn sio kuzuia! Kama mtu anabakwa badala ya kutoa msaada wa kumzuia mbakaji wewe unasaidia kinga na vilainishi ili victim asiumie wala kuambukizwa but you let the rape to go on. Fancy that!
Angekubaliana na matakwa ya Urusi tu kuepusha matatizo ambayo tayari amejisababishia. The rape was inevitable, maybe, she shoulda just lay back and enjoy sex! Just for the time being mpk siku angepoweza kusimama toe to toe na Urusi ndipo angekiwasha sasa! Au angekubaliana na uhalisia yeye ni mnyonge kama sisi tulivyokubali trilioni zetu 360 zikaenda. Hatukuwa/Hatuna na cha kuwafanya
Kuingia vitani dhidi ya urusi haikuwa idea nzuri. Matokeo yake sasa Military yake imekuwa crippled, Ndoto za kujiunga nato zimekufa kibudu, raia wamekimbia nchi, miundombinu imeharibika, vifo maelf kwa maelf, uchumi umedidimia, madeni ambayo itamchukua miongo na miongo kuyalipa and on top of that donbas imeenda na nyongeza ya kherson na zaporozhie.
Ila Kwa hapa ilipofikia Diplomasia haina maana tena kwa upande wa ukraine. Itakuwa ni ujinga kukubali masharti ambayo ungeweza kuyakubali kbl hujapigwa na kutiwa hasara. Waendelee kupigana tu. Mpk washinde au washindwe kbs kbs. Point of no return. The rest of the world we are holding our breath!!!
*Nothing dangerous in the game than a pawn who thinks he's a queen!
Bila kusahau the winter is coming.Ni kweli kabisa, ulichokisema ndo Zelensky kinacho mzuia kwenye kuyamaliza Mezani maana kashapoteza vingi na atakuwa accountable kwa kuiharibu Ukrain ikiwa atakubaliana na masharti yote ya Urusi sasa hivi ikiwa alikuwa nafasi ya kufanya hivyo mwanzo kabla aya maafa yote hayajatokea.
LAKINI, shida inakuja pale nchi zinazompa tafu Zelensky kifenda na silaha, zinapunguza msaada na nyingine zimekata ikiwemo France [emoji632], Germany [emoji629] , Italy [emoji634] na nyingine, inflation USA ina skyrocket hadi joto la kumuimpeach Biden limeanza, Dunia inaenda kwenye recession ya hatari, na uku Putin anaweka pressure ya kutumia weapons of mass destructions. Kwahyo inafika hatua inakuwa sio maamuzi ya Zelensky tena bali ni hao wanao msupport, chagua uende mezani na Mrusi au tukuwache upoteze wanajeshi wako wote waliobaki kwa kukosa msaada kutoka kwetu. So Zelensky ndo yupo kwnye tight spot sasa.
Inashangaza kwa kweliHaaa mkuu huwa mnanichekesha na huyu jamaa yako.
Katika sekta ambazo Urusi anazipuuza ni sekta ya drone yaani jamaa hawana muda nazo sijui kwanini ila naamini baada ya hii vita hawatarudia kuipuuza hii sekta na tutegemee uwekezaji mkubwa kwenye hiyo sekta.
Ila tuambizane ukweli mkuu uliziponda sana drone za Iran ila sasa hivi zipo zina wahenyesha kwenye uwanja wa vita.
Leo hasubuhi zimefanya uharibufu mkubwa sana kwenye mji wa Odessa.
Na ndizo zimevi kwamisha vikosi vya Ukraine kulidhibiti jiji la liyminal kwenye mkoa wa karkiv.
Juzi wizara ya ulinzi ya Urusi ilichapisha video ya drone za Iran zikiharibu msafara wa vifaru na mizinga vya Ukraine huko kherson, na jana hiyo hiyo rais wa Ukraine akatangaza kupunguza uhusiano wa kidpromasia na Iran.
Ila sasa hivi nasikia Ukraine imeagiza mfumo wa ulinzi wenye uwezo mkubwa wa kuharibu drone kutoka Israel ngoja tuone ufanishi wake.
trilioni zetu 360Well said mkuu