Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

According to Cavusoglu, the Russian leader voiced this during talks with his Turkish counterpart Erdogan on the sidelines of the SCO summit in Samarkand. The Turkish Foreign Minister added that every day it becomes more difficult.(probably thinking for Ukraine)
 
Tazama huu mzigo wa silaha waliotelekeza leo hii mobilization wanaanza lini?

Bosi wako huyo
JamiiForums356641559.jpg
 
Wale wapo pale Kwa sababu maalum kwenda kuwaokoa wenzao wanaoteswa na mamlaka ya Ukraine na kuwaangamiza neonaxism.alafu kule Bucha waliouwa ni waukraine wenzenu sio Warusi.
Kwann wasiwachukue hao warusi wakarudi bao nyumban wawache ukraine wauane wenyewe? Badala ya kuchukua ardhi
 
Tazama huu mzigo wa silaha waliotelekeza leo hii mobilization wanaanza lini?

Duh! Hivi inakuwaje mpaka wanaacha silaha nyingi hivi?
Ina maana kweli mashambulizi ya Ukraine yanakuwa ya kumshtukiza kias Cha kuwafanya warusi kukimbia na kuacha silaha nyingi namna hii ?

Staki kuamini kwamba jeshi la urusi limekuwa na uzembe kiasi [emoji848]
 
Wakimbizi wa Ukraine kuanza kulipishwa Kodi ya kichwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ukrainian refugees in Poland have to pay taxes to Warsaw — even from the income they receive in Ukraine.

This was stated by the Polish Ministry of Finance.

"The income of Ukrainians from Ukrainian employers should be taxed in Poland if a Ukrainian has been in Poland for more than 183 days," the agency said.

Subscribe to @Sputnikkrainian refugees in Poland have to pay taxes to Warsaw — even from the income they receive in Ukraine.

This was stated by the Polish Ministry of Finance.

"The income of Ukrainians from Ukrainian employers should be taxed in Poland if a Ukrainian has been in Poland for more than 183 days," the agency said.

Subscribe to @Sputnik

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Watoto yatima wameanza kunyanyasika.
 
Hakuna aliyenung'unika nimejaribu tu kukuonesha hoja yako ilikuwa ni ya hovyo sana.

Kama unatetea democrasia kwny uchaguzi wa marekani basi waoneshe namna huo mfumo wa electoral college unavyoenhance democrasia zaidi na sio kuja na hoja ya overall votes za biden na trump wakati unajua kbs overall votes zinaweza kuamuliwa tofauti na electoral college kama kwenye case ya clinton na Trump.

Unaposema Clinton hakulalamika hiyo nayo ni namna nyingine ya hovyo ya utetezi na hoja dhaifu. Unataka kusema angelalamika ndio ingemaanisha hakuna democrasia!? Kwa hiyo Trump alivyolalamika kwenye uchaguzi wa 2020 je!?

Jifunze/ni kujenga hoja zenye mantiki wqcheni porojo
Huo ndio udhaifu mkubwa walio nao kwenye hoja zao, wamejiweka one sided na mentality zao zimekaa kinafiki. Two closing lines I mean 👉 '+' Itaitwa ni alama ya kujumlisha ikiwa kwako but ikiwa upande wao ni ishara ya msalaba.

Of course hakuna walio perfect 100% kwa kila kitu sio west ama east, lakini better kabla ya kunyoosha kidole kwa wengine make sure your hands are clean. Akifanya ovu US, standard zinabadilika na wadau wake wapo mstari wa mbele kulitetea ukiuliza sababu utaambiwa hospital zipo kwa msaada wa USAID.

So for that case, ipo like US kajikabidhisha na kujimilikisha everything na wapambe kama hawa wapo kutoa masifu na kuabudu. Most katika wenzetu hawaupendi ukweli wa mambo, they don't really want the truth.

They just want constant reassurance that what they believe is truth. Ingawa tunawakumbusha tu kua ni better kuwa slapped with a truth than kissed with a lie.

If really they are after freedom, basi they should free their mind first.

Anyway ni sawa pia wao kua hivyo walivyo as the only truth is what we believe. There is no universal truth but there is only personal truth ndio maana kila mtu ana lake. So kila mmoja awe free to choose his/her own way kiroho safi.

Wasiwe kama wakina flan wanao taka kudictate nini watu wajue, nini watu wafanye, akina nani wawachukie na wakina nani wajenge nao urafiki yet wako mbele wanaji nasibu kuhamasisha kila mtu awe na uhuru wa kufanya atakalo.
 
Mfano wako ni mzuri isipokuwa sehemu moja. Hapo uliposema "siku moja njemba likachukua kitabu chako cha uvuvi kwa nguvu"

Hapo umeshaset kila kitu kuwa njemba ndio 1st aggressor. What if ni tofauti!? What if wewe ndio ulianza ukorofi na njemba akakutia adabu kwa kuchukua vitabu vyako!? What if wewe ndio 1st aggressor!?

See, mambo utayofanya yanaweza kuwa tofauti kutegemea unayaangalia kutoka kwenye perspective ipi.

Either way lzm utachofanya kiwe 100% kwa mslahi yako. Mtu mwingine asikutie sifa ukajaa kichwa wakati njemba akikasirika anachukua vitabu vyako na sio vya huyo aliyekujaza sifa. Je unamuweza njemba!? Akiamua kukupiga kuna mtu ataweza kukutetea!? Hakuna namna unaweza kukaa na njemba kwenye hilo dawati bila kukorofishana!?
Asante kwa maoni yako, naomba turudi kwenye uhalisia na wala sio nadharia, ya matukio ambayo wala hayajatokea. Kama unachosema kina ukweli njemba angetumia uwezo wake wotee kufunza adabu. Mbona hushangai njemba anapigana kwa aibu, kila mwanafunzi hafurahishwi na vitendo vyake vya kionevu
 
,[emoji38][emoji38][emoji38] yaani hii ndio Kali

[emoji845][emoji635][emoji1255][emoji1250]The Turkish Foreign Minister Mevlüt Çavuşoğlu said that Putin at the talks with Erdogan "declared the possibility of returning to negotiations with Kiev, but "on new conditions"[emoji845]

Translation...Ukraine shoud forget about LPR,DPR,Crimea,Kherson and Zaporozhye region https://t.co/fzVuCXyQZr
Baada ya Vita uwaga mipaka ya nchi inabadilika. Israel ameshafanya hivyo Mara nyingi tu, hata baada ya Vita ya pili ya dunia mipaka ilibadilika.

Historia ya dunia ndio hipo hivyo.
 
Inaonekana umeanza kufuatilia Geopolitics kwnye vita hii ya Ukrain na Russia, maana kama ungekuwa mfuatiliaji basi ungejua kilichotokea Crimea kipindi kile kina hold referendum, hayo mataifa yote yalisema haitakuja kutokea kuitambua Crimea kama sehemu ya Urusi na wengine akiwemo USA alimwambia Ukrain kuwa baada ya Referendum ya Crimea watairudisha Crimea ila hakuna kitu hadi leo, Mwisho wa siku zile nchi zote zikaanza kuitambua pole pole Crimea kama sehemu ya Russia maana Urusi inategemewa kwenye resources nyingi hvyo nchi ikienda Russia [emoji635] kwnye maswala ya diplomatics akitoka uko kashasahau msimamo wake wa awali.

Trust me, ayo maeneo baada ya referendum ni yatakuwa yashaondoka na hii vita itaisha soon kwa diplomacy maana European countries zinaenda kwenye recession ( angalia stock exchange ya wiki hii, hali ni mbaya), sasa hivi mzigo wote wa silaha wamegoma kutoa na kumuachia USA, na USA juzi walikuwa na kikao cha internal security, wanataka kutumia sababu ya kitisho alichotoa Putin cha Nyuklia, iwe sababu ya kuishawishi Ukrain waende mezani na Urusi.
Lini USA alimwambia Ukraine kwamba watairudisha Ukraine?!

Hizo nchi jirani na Russia haziwezi kuona Sawa ufedhuli anaufanya Urusi sababu wanajua na wao kitawapata kilichompata Ukraine Kwa kisingizio kilekile kwamba Urusi anaenda kulinda raia wanaoiunga mkono Urusi kwenye ardhi ya hizo nchi. Resources sio kigezo cha kufanya eti nchi ikijisogeze Kwa Russia,Russia ni Taifa kubwa lakini kwasasa halina ushawishi hata Kwa jirani zake kuizidi China ambayo haina resources kuizidi Urusi mfano mzuri ni Kazakhstan hivi sasa inajitoa kwenye kivuli cha Urusi na kuegemea Kwa Marekani & Europe na China. Wanajenga bomba jipya la mafuta ambalo litakwepa kupita kwenye ardhi ya Urusi na Rais wao alimwambia Putin live kwamba hawatatambua Donbass wala Luhansk matokeo wanasiasa wa Urusi wakaanza kusema Kazakhstan sio Taifa linatakiwa liungwe Kwa Urusi Yani sababu zilezile zilizotumika kuivamia Ukraine ndo wakaanza kuzisema sema dhidi ya Kazakhstan kisa tu haifuati matakwa ya Moscow. Russia ni Taifa kubwa lenye resources nyingi lakini wananchi wake hawali matunda ya hizo resources Ila Putin na Cycle yake ya maoligarchs,sasa hivi baada ya Mali zao kushikwa Putin anawaua kila kukicha sababu anajua siku watamgeuka.

Shekhe unazungumzia Ulaya ipi?! Juzi UK imesema itaongeza bajeti ya kusaidia silaha Ukraine kufikia $2.3 bilioni, Ursula kiongozi wa European Union alisema Kuna ela zimetengwa na zitaongezwa ili kununua silaha Kwa ajili ya Ukraine. Putin alidhani akiwablack mail Kwa kukata gas watampigia magoti matokeo yake imekua tofauti,Ulaya wanatafuta alternative za Gas ya Urusi,Qatar na Ujerumani wapo mbioni kukamilisha mkataba mkubwa wa kuuziana LNG. Alternative energy sources km Hydrogen zimeanza kuangalia Kwa jicho la tatu, Ujerumani imefungua tena coal plants,kuna vinu vya nyuklia ilitakiwa vistaafishwe wameamua kuviongezea muda ili kuziba gap lilioachwa na gas ambayo Putin amekata. Putin hakupiga hesabu vizuri kuingia kwenye vita ya kijinga kama hii maana kwenye kila kitu amepata matokeo tofauti,alikua anataka kudhibiti upanuzi wa Nato- matokeo yake NATO itapanuka zaidi Finland na Sweden soon watakua wanachama. Alitaka kuua cooperation Kati ya USA na Europe kupitia Nord stream 2 matokeo yake imefungwa,Putin mwenyewe juzijuzi hapa anakuja na demand eti Ulaya wakitaka gas bhas wafungue Nord Stream 2
 
Inaonekana umeanza kufuatilia Geopolitics kwnye vita hii ya Ukrain na Russia, maana kama ungekuwa mfuatiliaji basi ungejua kilichotokea Crimea kipindi kile kina hold referendum, hayo mataifa yote yalisema haitakuja kutokea kuitambua Crimea kama sehemu ya Urusi na wengine akiwemo USA alimwambia Ukrain kuwa baada ya Referendum ya Crimea watairudisha Crimea ila hakuna kitu hadi leo, Mwisho wa siku zile nchi zote zikaanza kuitambua pole pole Crimea kama sehemu ya Russia maana Urusi inategemewa kwenye resources nyingi hvyo nchi ikienda Russia [emoji635] kwnye maswala ya diplomatics akitoka uko kashasahau msimamo wake wa awali.

Trust me, ayo maeneo baada ya referendum ni yatakuwa yashaondoka na hii vita itaisha soon kwa diplomacy maana European countries zinaenda kwenye recession ( angalia stock exchange ya wiki hii, hali ni mbaya), sasa hivi mzigo wote wa silaha wamegoma kutoa na kumuachia USA, na USA juzi walikuwa na kikao cha internal security, wanataka kutumia sababu ya kitisho alichotoa Putin cha Nyuklia, iwe sababu ya kuishawishi Ukrain waende mezani na Urusi.
NATO wameshasema hawatambui hizo referendum na Ukraine imesema itashambulia hayo maeneo na vitisho vya Putin na nyuklia yake wanavipuuza Kwa kuongeza kuinunga mkono Ukraine kisilaha zaidi, NATO na US wanataka Ukraine iendelee kukomboa maeneo mengi zaidi ili iwe na nguvu kama yakitokea mazungumzo.

NATO promises more help for Ukraine in response to 'sham' votes

BRUSSELS, Sept 23 (Reuters) - NATO will ramp up its help for Kyiv in response to Russia's "sham" referendums in occupied territories of Ukraine, the alliance's Secretary-General, Jens Stoltenberg, said on Friday.

He spoke as Moscow launched the votes on the four regions joining Russia, in what Kyiv and its allies say is a ruse to annex the territories and escalate the seven-month-old war.

"Our answer, NATO's answer, is to step up support," Stoltenberg told CNN in an interview

The best way to end this war is to strengthen the Ukrainians on the battlefield further so they can, at some stage, sit down and reach a solution which is acceptable for Ukraine and that preserves Ukraine as a sovereign, independent nation in Europe," he added.

That's exactly what we need to be prepared for, that Russia will use these sham votes to further escalate the war in Ukraine," Stoltenberg said when asked about that scenario.

"But these votes have no legitimacy and of course they don't change anything. This continues to be a war of aggression by Russia against Ukraine," he added.

Hizo Kura hazibadilishi chochote,hayo maeneo yataendelea kushambuliwa na Makombora kama kawaida huyo aloyetishia Nyuklia alipue.

NATO promises more help for Ukraine in response to 'sham' votes
 
Tatizo lako unafikiria kazi ni kulima mihogo na ngano tu. Viwanda huko vinapiga kazi masaa 24
Sina pa kuanzia . ...Ulipaswa kuomba kozi fupi ya uchumi na finance ñdio urudi hasa International finances . Marekani ni nchi ya wanyonyaji ndio maana Marx alizungumza Workers of the world akawaambia Fight against capitalism you have nothing to lose than chains around your knees . Juzi Tanzania imepokea fedha ya kusaidia athari na mapambano ya covid . Unajua hii fedha imetoka wapi? Unajua tunalipaje ? Unalalamika tozo huku unashabikia waliochapisha fedha . Sanasana unawaza sinema za Holly woods ama miziki ya kina R Kelly , Basketball basi ndio hicho tu. Juzi wamelikataa bomba la mafuta la nchi YAKO na Uganda . Unajua sababu , KWANINI wakatae leo sio jana . Vijana wanaangamia
 
Back
Top Bottom