HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,590
Nimewashangaa WarusiTazama huu mzigo wa silaha waliotelekeza leo hii mobilization wanaanza lini?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Nimewashangaa WarusiTazama huu mzigo wa silaha waliotelekeza leo hii mobilization wanaanza lini?
Sasa kama wanajeshi wamelazimishwa watafanyaje?Duh! Hivi inakuwaje mpaka wanaacha silaha nyingi hivi?
Ina maana kweli mashambulizi ya Ukraine yanakuwa ya kumshtukiza kias Cha kuwafanya warusi kukimbia na kuacha silaha nyingi namna hii ?
Staki kuamini kwamba jeshi la urusi limekuwa na uzembe kiasi [emoji848]
(URUSI kama URUSI)
Unaposema kila mwanafunzi unamaanisha nini!? Kweli kila mwanafunzi hafurahishwi!? Hapa ndipo tutapokesha. Unadai kila mwanafunzi hafurahishwi lkn nina uhakika 100% huwezi kuthibitisha kwa uhakika kwamba kila mwanafunzi hafurahishwi.Asante kwa maoni yako, naomba turudi kwenye uhalisia na wala sio nadharia, ya matukio ambayo wala hayajatokea. Kama unachosema kina ukweli njemba angetumia uwezo wake wotee kufunza adabu. Mbona hushangai njemba anapigana kwa aibu, kila mwanafunzi hafurahishwi na vitendo vyake vya kionevu
Ukiangalia hiyo video ni silaha nyingi mno hizo.., sidhani kwamba jeshi lenye weredi linaweza kukimbia na kuacha silaha nyingi namna hii.., vinginevyo inaonekana huu ni usaliti wa wazi kwa Putin,
🤣🤣🤣🤣Ww jamaa,dah Napenda post zako za maudhi🙌![]()
Uingereza yakiri kuwa USA, NATO, EU na Ukraine hazina ubavu wa kumzuia Putin kujimilikisha rasmi 15% ya Ukraine kupitia referendums!
Uingereza yakata tamaa na Putin....Yakiri kuwa Marekani+NATO (muungano wa nchi 30 dhaifu Duniani)+EU+ Ukraine hawana ubavu wa kumzuia Putin kujimilikisha rasmi asilimia 15 ya ardhi ya Ukraine (zaidi ya kilomita za mraba 110,000) baada ya referendums zinazoendelea huko Ukraine kukamilika wiki...www.jamiiforums.com
Hizo ni risasi hakuna cha maana hapo marisasi na msbunduki hufika pahala majeshi yanachoma moto . Vita za risasi hakuna miaka hii . Risasi zina KAZI ndogo sana miaka hii zinatumiwa na POLISI zaidi . Usiogope. Ukiwa uraiani utaona bonge la dili. Hata hayo msbunduki labda IWE special sanaDuh! Hivi inakuwaje mpaka wanaacha silaha nyingi hivi?
Ina maana kweli mashambulizi ya Ukraine yanakuwa ya kumshtukiza kias Cha kuwafanya warusi kukimbia na kuacha silaha nyingi namna hii ?
Staki kuamini kwamba jeshi la urusi limekuwa na uzembe kiasi [emoji848]
Hakuna aliyenung'unika nimejaribu tu kukuonesha hoja yako ilikuwa ni ya hovyo sana.
Kama unatetea democrasia kwny uchaguzi wa marekani basi waoneshe namna huo mfumo wa electoral college unavyoenhance democrasia zaidi na sio kuja na hoja ya overall votes za biden na trump wakati unajua kbs overall votes zinaweza kuamuliwa tofauti na electoral college kama kwenye case ya clinton na Trump.
Unaposema Clinton hakulalamika hiyo nayo ni namna nyingine ya hovyo ya utetezi na hoja dhaifu. Unataka kusema angelalamika ndio ingemaanisha hakuna democrasia!? Kwa hiyo Trump alivyolalamika kwenye uchaguzi wa 2020 je!?
Jifunze/ni kujenga hoja zenye mantiki wqcheni porojo
Kwann wasiwachukue hao warusi wakarudi bao nyumban wawache ukraine wauane wenyewe? Badala ya kuchukua ardhi
Sina pa kuanzia . ...Ulipaswa kuomba kozi fupi ya uchumi na finance ñdio urudi hasa International finances . Marekani ni nchi ya wanyonyaji ndio maana Marx alizungumza Workers of the world akawaambia Fight against capitalism you have nothing to lose than chains around your knees . Juzi Tanzania imepokea fedha ya kusaidia athari na mapambano ya covid . Unajua hii fedha imetoka wapi? Unajua tunalipaje ? Unalalamika tozo huku unashabikia waliochapisha fedha . Sanasana unawaza sinema za Holly woods ama miziki ya kina R Kelly , Basketball basi ndio hicho tu. Juzi wamelikataa bomba la mafuta la nchi YAKO na Uganda . Unajua sababu , KWANINI wakatae leo sio jana . Vijana wanaangamia
Shukran MKUUMauliopol ni jiji kubwa liliko kwenye jimbo la Donesk.