Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

,[emoji38][emoji38][emoji38] yaani hii ndio Kali

[emoji845][emoji635][emoji1255][emoji1250]The Turkish Foreign Minister Mevlüt Çavuşoğlu said that Putin at the talks with Erdogan "declared the possibility of returning to negotiations with Kiev, but "on new conditions"[emoji845]

Translation...Ukraine shoud forget about LPR,DPR,Crimea,Kherson and Zaporozhye region https://t.co/fzVuCXyQZr
Kina Elensky kadri wanavyokaza mabumunda yao ndio kadri wanakutana na term nyengine mpya na ngumu
Watakuja kustuka wanaridhia maongezi wamebakia nakajimbo kamoja huko WESTERN mwa UKRAINE
Ila acha tuone khatma!

Sent using Jamii Forums mobile app
 


🇷🇺 Mobilised citizens and volunteers continue arriving in military commissariats in Transbaikalia

◽️ Most citizens arrive to present documents themselves without waiting for conscription notices.

◽️Reserve officers, including those who have combat experience, also arrive in the military commissariats. They have not received conscription notices, but they arrive for finding out whether their professional title is necessary.

◽️ Mobilised citizen arrive in personnel reception posts deployed in local garrisons to be provided with military uniform, groceries and individual protection means.

◽️ Conscripted personnel is to be additionally trained at the military units of the Eastern Military District.

#StrongerTogether
@mod_russia_en
 
IMG_20220926_213240_946.jpg


What the pound doin?
 
Sidhani kama itachukuliwa, nahisi watasurrender haraka kabla ya kuchukuliwa….Itakuwa hatari kma Odesaa nayo itaenda maana bahari nzima ya ukrain itakuwa imeondoka, hvyo Russia itakuwa na control kinachoingia na kinachotoka Ukrain kupitia bandari zote…na mbaya zaidi ile miji iliyopiga referendum itakuwa na uchumi mkubwa kuliko Ukrain iliyobaki, waukrain wengi watadefect kuelekea kwnye hiyo miji, maana baada ya vita sidhani kma Ukrain anaweza kurebuild miji yote kwa kasi ukilinganisha na Urusi. Hiyo miji ijiandae kwa wimbi kubwa la wakimbizi.
Wishful thinking. Urusi ana billions kibao zimeshikiliwa na nchi za magharibi zinaweza kutumika kurebuild Ukraine na kampuni za magharibi zikapata tenda huko.

Urusi angekua na uwezo wa kuibeba Odessa angeshaibeba siku nyingi Sana Ila huo ubavu Kwasasa hana Labda atumie nyuklia,matokeo ya counteroffensive yamemchanganya Putin mpk kaitisha Kura ya maoni fastaaa coz anajua angechelewa hayo maeneo Ukraine wangeyachukua mapema,hivi Una habari km majeshi ya Ukraine yanakaribia kuichukua Lyman,wanajeshi wapo umbali kadhaa toka kwenye huo mji.
 
Alafu kuna kitu nimeona wengi sisi Watanzania hatuelewi kuhusu SILAHA ZA MAANGAMIZI ( weapons of mass destruction) na kufikiria silaha za maangamizi anazo zungumzia PUTIN ni NYUKLIA tu. Nyuklia ni silaha ya mwisho kabisa kwenye silaha za maangamizi, kuna silaha nyingine za maangamizi zilizuiliwa kwenye Stockholm Convention ambazo Urusi anaweza kuzitumia haraka kabla ya NYUKLIA ndo kinachowatisha wa Ukrain.

Hizi ni : Silaha za kemikali, thermobaric bomb ( vacuum bomb)- hii wanasema kashatumia lakini imethibitishwa bado , Carpet bombs e.t.c

Urusi akianza kutumia hizi silaha basi ujue anakaribia kutumia Nyuklia ikiwa hizo hazitamletea matokeo anayotaka.

Ubaya wa hizi silaha na kinacho mzuia kuzitumia Urusi sio West au chochote, hizo silaha ni Non-selective yaani ni ngumu kucontrol blast perimeter ( linasambaa kwenye eneo kubwa pasipotarajiwa) na kuweza kuua civilians wengi ambacho Mrusi anakikwepa toka mwanzo.
Sasa huyo Russia atafanye carpet bombing wakati hana air superiority?!
 


Former US President Donald Trump said in an interview with FOX News that Americans need their own Putin or Xi Jinping.
According to Trump, there are no such smart leaders among either Democrats or Republicans.

#English 🇬🇧

InfoDefenseENG, InfoDefense
@InfoDefenseLangBot
 
Bloomberg:
[emoji629]German Chancellor Olaf Scholz secured just ONE shipment of Liquefied Natural Gas from the United Arab Emirates, with a Non-Binding agreement for more, as [emoji1099]Europe’s biggest economy struggles to replace [emoji635]Russian supplies.
Nakumbuka humu kuna mtu alisema ujerumani kwenye akiba yake ana gas ya kumvusha kipindi chote cha baridi, yaani hifadhi yake imejaa
 
Referendum na mobilization zimewamaliza nguvu Ukraine na washirika wao. Kwamba baada ya kujitoa sana na kuwa na natumaini kiasi kumbe game linaanza upya .KWA Upande wa Russia ASKARI wanapata morali kupitia kuongezeka idadi na vifaa . Na hiyo ni PARTIAL MOBILIZATION . Inamaana km Ukraine hataelewa somo full mobilization itatangazwa . Ni busara ZELE aachane na hii ishu. Kama unaotaka kuwakomboa hawakutaki nadhani hakuna ukombozi. Hata pro ZELE wa humu jamii wamejichokea
 
Hizo ni risasi hakuna cha maana hapo marisasi na msbunduki hufika pahala majeshi yanachoma moto . Vita za risasi hakuna miaka hii . Risasi zina KAZI ndogo sana miaka hii zinatumiwa na POLISI zaidi . Usiogope. Ukiwa uraiani utaona bonge la dili. Hata hayo msbunduki labda IWE special sana
Na hizi je?![emoji116]







 
Jana nilikuwa nasoma kitabu cha Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama kiitwacho A Promised Land nikashangaa kuona kumbe mfumo wa usalama wa makombora ya nuclear ya Urusi umejengwa kwa masaada wa USA na wameshiriki katika ujenzi wa mfumo huo. Kama hiyo haitoshi viongozi US na maafisa mara kadhaa mamekuwa wakitembelea sehemu yalipo fichwa makombora hayo. Kwa hilo tu nafikiri vita ya nuclear haiwezi piganwa ndani ya kalne hii.
Elimu yako ni darasa la ngapi? Samahani nauliza tu mkuu
 
Referendum na mobilization zimewamaliza nguvu Ukraine na washirika wao. Kwamba baada ya kujitoa sana na kuwa na natumaini kiasi kumbe game linaanza upya .KWA Upande wa Russia ASKARI wanapata morali kupitia kuongezeka idadi na vifaa . Na hiyo ni PARTIAL MOBILIZATION . Inamaana km Ukraine hataelewa somo full mobilization itatangazwa . Ni busara ZELE aachane na hii ishu. Kama unaotaka kuwakomboa hawakutaki nadhani hakuna ukombozi. Hata pro ZELE wa humu jamii wamejichokea
Hahahaha hivi hizi fix mnakuja kumpiga Nani humu ndani,na kwanini mnalazimisha Zelenksy akubali masharti ya Putin wakati si yeye aliyeanzisha ugomvi Yani mnaona kosa Ukraine ikijitetea dhidi ya uvamizi Ila mnaona sawa Urusi ikishambulia Ukraine!!!! Nyinyi watu mkoje?!

Referendum na mobilization zimewamaliza nguvu Ukraine hapa Jf lkn sio kwenye uwanja wa Vita







 
Kwann wasiwachukue hao warusi wakarudi bao nyumban wawache ukraine wauane wenyewe? Badala ya kuchukua ardhi
Wale wapo pale toka kuumbwa kwa Dunia hii.
Ni sawa na kusema uwaondoe wahaya bukoba ,ama wasukuma Mwanza,ama wakurya Mara.
Ukitaka kuwakomboa watu katika mazingira hayo, unawakomboa na ardhi Yao.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Screenshot_20220926-220202.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Russia said Monday it had detained a Japanese diplomat based in the eastern city of Vladivostok for carrying out espionage-related work and declared the official persona non grata, news agencies reported.

“A Japanese diplomat was detained red-handed while receiving classified information, in exchange for money, about Russia’s cooperation with another country in the Asia-Pacific region,” the FSB security service said in a statement, carried by Russian news agencies.

The diplomat had also been soliciting information about “the impact of Western sanctions” on the eastern Primorsky…

Continue Reading


News Source: Russia Expels Japanese Diplomat Accused of Espionage - The Moscow Times
 
Wishful thinking. Urusi ana billions kibao zimeshikiliwa na nchi za magharibi zinaweza kutumika kurebuild Ukraine na kampuni za magharibi zikapata tenda huko.

Urusi angekua na uwezo wa kuibeba Odessa angeshaibeba siku nyingi Sana Ila huo ubavu Kwasasa hana Labda atumie nyuklia,matokeo ya counteroffensive yamemchanganya Putin mpk kaitisha Kura ya maoni fastaaa coz anajua angechelewa hayo maeneo Ukraine wangeyachukua mapema,hivi Una habari km majeshi ya Ukraine yanakaribia kuichukua Lyman,wanajeshi wapo umbali kadhaa toka kwenye huo mji.
Unachekesha,

Ni pesa/mali kiasi gani za urusi/kremlin zimeshikiliwa (frozed) na nchi za magharibi!? Je inawezekana (legally and practically) kuchukuliwa kabisa!? Kumbuka hizo assets so far zimekuwa frozen na sio confiscated. Na je kama inawezekana hizo assets zitatosha kugharimikia gharama za kuijenga upya Ukraine!?

Sio mnaongea tu muwe mnayajua na mnayoyaongea!? Ni assets gani zinaweza kureplace donbas, kherson na zaporozhie!?

Soma article ya kisomi hiyo kutoka The economist maana najua hayo maswali ni marefu kupita kimo chako ungekuja na ngonjera zisizoisha hapa badala ya majibu.

Could seizing Russian assets help rebuild Ukraine? Both legal and practical hurdles stand in the way

- Could seizing Russian assets help rebuild Ukraine?



Hoya yako kuhusu odessa imejengwa kwenye msingi ule ule. Typical western mentality. Hata km Urusi angeichukua Ukraine yote bado mngebakia kusema ni dhaifu na hawezi chochote. Hajaichukua Odessa ndio lakini kuichukua mariupol. Na angeichukua odessa ungesema hawezi kuichukua kiev and so on...
 
Back
Top Bottom