LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Sijawahi kumjibu huyo mtu na wala sioni comments zake zaidi ya week sasa, nilishamblock tangu siku mbili za mwanzo nilivyoona asivyokuwa mstaarabu,kama huwa anani attack anajichoshaga bure sijui hata kama anacomment tena kwa uzi huu kwa sababu sioni kabisa comment zake na wala sitaki kuziona.
 
Unaweza ukaonesha wapi nimetukana!?
mm sijawahi kutusiwa na mtu yeyote ila kwako wewe na Nyamizi ni kama ilivyo Urusi na Ukraine. Mm nimetoa wasi wasi wangu kuwa mnaweza mkapigana kwa maneno.
Ww umesema nisikupangie mrusi mwenzangu nini cha kufanya. Jibu hili Putin alimjibu Biden na Macron ila mm kama China nasema mshirika mwenzangu usiingie mgogoro na Pro Ukraine,kwani wanaungwa na NATO pamoja na USA. Tahadhari tu ila nitakutetea kwakuwa sisi wote ni wajamaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huwa natamani sana kum tag huyo sikiri.....ila jina lake linateleza sana,halishikiki
 
Ohoo umeona sasa yamekukuta na wewe,tuendelee na ligi yetu tunawezana wenyewe ewe Mrussi wa Kinondoni Moscow mjanja mjanja🤣
 
🤣🤣🤣 Ukinifuatilia Mshirika mwenzangu huwa mtu akiweka shit namjibu hivyo hivyo. Tatizo wenzetu sasa hawana uwezo wa kuhimili. Anataka akiweka kitu cha ovyo tumpongeze.

Mtu akija na facts tuna ongea facts. Umemuona sasa alivyo inferiority complex. Eti kani block, who cares!?

Eti ananiwekea vikwazo. Childish thinking.
 
Ohoo umeona sasa yamekukuta na wewe,tuendelee na ligi yetu tunawezana wenyewe ewe Mrussi wa Kinondoni Moscow mjanja mjanja🤣
Utaziona hivyo hivyo comment zangu hata kama umeblock.
Wewe ukija na facts utaniona nakuletea facts. But ukijifanya fyatu, nakifyatua hapo hapo.
 
Sawa ila kama mnafikia hatua ya kutoelewana sana ni bora ukaishia kusoma comment yake na ukaacha hata kumjibu.
NB: Sisi Pro Russia tunawakera zaidi kwa kuwa Putin anafanya mavitu ya ukweli huko Ukraine na wao Pro Ukraine wanatembelea vichwa vya habari vya west. Wao wametushinda kwenye media ila kwenye battle ground tumewashinda. Sikirimimimasikini Townchild
 
hapa mim ndio huwa nashangaa sana
kama taarifa za jana ni kuwa bweni la wanafunz wa kutoka India waukrain wamelichoma moto na kujeruhi.
Habari zinazosambazwa na Ukraine ni kuwakamata wanajeshi wa Russia na kuwapa chai🤣.

Hii wanatumia kama strategy ya kuchafua hali ya hewa huko Russia kwa kuwapigia simu ndugu zao ili wandamane.
 
Mzee mimi sina uvumilivu huo. Mtu akiweka pumba namfyatua hapo hapo.
Hebu nakushauri usinipangie cha ku comment.
Tafadhali nakusihi hivyo niache nitumie uhuru wangu. Sijavunja taratibu za JF.

Kwanza umenituhumu kwa kutoa matusi. Nimekutaka uniletee ushahidi wapi mimetoa matusi!?

Hebu nakusihi uache mara moja kile unachokiwaza na kukionesha wazi wazi hapa.

TAFADHALI
 
The leader of the Serbian movement Zavetniki, a presidential candidate opposed the blocking of RT and Sputnik in Europe.

Milica Dzhurdzhevich said:

“We came directly to the residence of the European Union in Belgrade to protest against massive violations of freedom of speech in the EU countries, where Russian media companies are banned.

We handed a letter of protest to the EU delegation, in which we demand to stop anti-Russian propaganda in the EU member states.

Brussels' actions are undermining the foundations of modern post-war Europe. Thus, the EU tramples on all its principles and values on which it is officially based.”
 
Haiwezekani mtushinde kote kote,yani unipige hadi nichakae nikuangalie tu,nitakurushia na mawe na wewe japo usikie maumivu kidogo kama vile Wapalestina wanavyowarushiaga mawe Israel.
 
Hiyo haiwezi kutokea mzee. Ceasefire ni mpaka pale Ukraine watakapo weka silaha chini.
Kuna hizo taarifa na zinaonekana kwenye Media zote kubwa. Zinasema Cease fire ni kwa muda kuanzia leo ili kuruhusu wananchi na wa nje kuondoka
 
In Mariupol, one of the largest shopping malls, Port City, is being robbed.

Take out household appliances, jewelry and clothing.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…