Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Isiwe shida Venus Star ,aluta continua and tit for tat na Nyamizi ila msitukanane tu.Mzee unaanza kutupangia cha kuweka humu!? Wewe ni nani!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Isiwe shida Venus Star ,aluta continua and tit for tat na Nyamizi ila msitukanane tu.Mzee unaanza kutupangia cha kuweka humu!? Wewe ni nani!?
Sijawahi kumjibu huyo mtu na wala sioni comments zake zaidi ya week sasa, nilishamblock tangu siku mbili za mwanzo nilivyoona asivyokuwa mstaarabu,kama huwa anani attack anajichoshaga bure sijui hata kama anacomment tena kwa uzi huu kwa sababu sioni kabisa comment zake na wala sitaki kuziona.Venus Star na Nyamizi mna attack personal each other sio poa kabisa. Uzi wetu unapambwa na ushindani wa maneno na vijembe vidogovidogo na hii inatoa afya kwa thread hii. Kwa mfano watu wanatafuta habari kutoka vyanzo tofauti tofauti na wanaleta hapa kwa lengo moja tu kujuwa nn kinaendelea Ukraine,kwa hiyo mm naomba mpunguze mumkari kwani wakushinda vita au kushindwa vita tutajua tu. Tusubiri dakika 90 za mtanange.
Natanguliza shukrani za dhati kwa Putin kwa kukubali kwake kutowadhuru na kuwasaidia wanafunzi wa kitanzania waliopo Ukraine.
Unaweza ukaonesha wapi nimetukana!?Isiwe shida Venus Star ,aluta continua and tit for tat na Nyamizi ila msitukanane tu.
mm sijawahi kutusiwa na mtu yeyote ila kwako wewe na Nyamizi ni kama ilivyo Urusi na Ukraine. Mm nimetoa wasi wasi wangu kuwa mnaweza mkapigana kwa maneno.Unaweza ukaonesha wapi nimetukana!?
Huwa natamani sana kum tag huyo sikiri.....ila jina lake linateleza sana,halishikikiHapana Mkuu,uwe na amani kabisa unapojibizana na mimi,huwa sipendi mtu anaekuja na lugha chafu kisa tu mmepishana mitazamo. Kwa upande wako nimependa ustaarabu wako wa kutokutumia na maneno ya kashfa na lugha ya matusi ndiyo maana umeona tumeendela kujibizana hapa.Wewe na Frustration mko poa kabisa kutoka kambi ya Putin 🤝
Ohoo umeona sasa yamekukuta na wewe,tuendelee na ligi yetu tunawezana wenyewe ewe Mrussi wa Kinondoni Moscow mjanja mjanja🤣mm sijawahi kutusiwa na mtu yeyote ila kwako wewe na Nyamizi ni kama ilivyo Urusi na Ukraine. Mm nimetoa wasi wasi wangu kuwa mnaweza mkapigana kwa maneno.
Ww umesema nisikupangie mrusi mwenzangu nini cha kufanya. Jibu hili Putin alimjibu Biden na Macron ila mm kama China nasema mshirika mwenzangu usiingie mgogoro na Pro Ukraine,kwani wanaungwa na NATO pamoja na USA. Tahadhari tu ila nitakutetea kwakuwa sisi wote ni wajamaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 Ukinifuatilia Mshirika mwenzangu huwa mtu akiweka shit namjibu hivyo hivyo. Tatizo wenzetu sasa hawana uwezo wa kuhimili. Anataka akiweka kitu cha ovyo tumpongeze.mm sijawahi kutusiwa na mtu yeyote ila kwako wewe na Nyamizi ni kama ilivyo Urusi na Ukraine. Mm nimetoa wasi wasi wangu kuwa mnaweza mkapigana kwa maneno.
Ww umesema nisikupangie mrusi mwenzangu nini cha kufanya. Jibu hili Putin alimjibu Biden na Macron ila mm kama China nasema mshirika mwenzangu usiingie mgogoro na Pro Ukraine,kwani wanaungwa na NATO pamoja na USA. Tahadhari tu ila nitakutetea kwakuwa sisi wote ni wajamaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Utaziona hivyo hivyo comment zangu hata kama umeblock.Ohoo umeona sasa yamekukuta na wewe,tuendelee na ligi yetu tunawezana wenyewe ewe Mrussi wa Kinondoni Moscow mjanja mjanja🤣
Yes umelipatia kama wewe ni muhenga kama mimi hapa,hili jina utakuwa unalifahamu vizuri liko kwa kitabu tulikuwa tunakisoma darsa la tatu kama sikosei kulikuwa na hadithi ya Sadiki na Sikiri Sikirimimimasikini 😅
Sawa ila kama mnafikia hatua ya kutoelewana sana ni bora ukaishia kusoma comment yake na ukaacha hata kumjibu.🤣🤣🤣 Ukinifuatilia Mshirika mwenzangu huwa mtu akiweka shit namjibu hivyo hivyo. Tatizo wenzetu sasa hawana uwezo wa kuhimili. Anataka akiweka kitu cha ovyo tumpongeze.
Mtu akija na facts tuna ongea facts. Umemuona sasa alivyo inferiority complex. Eti kani block, who cares!?
Habari zinazosambazwa na Ukraine ni kuwakamata wanajeshi wa Russia na kuwapa chai🤣.hapa mim ndio huwa nashangaa sana
kama taarifa za jana ni kuwa bweni la wanafunz wa kutoka India waukrain wamelichoma moto na kujeruhi.
Mzee mimi sina uvumilivu huo. Mtu akiweka pumba namfyatua hapo hapo.Sawa ila kama mnafikia hatua ya kutoelewana sana ni bora ukaishia kusoma comment yake na ukaacha hata kumjibu.
NB: Sisi Pro Russia tunawakera zaidi kwa kuwa Putin anafanya mavitu ya ukweli huko Ukraine na wao Pro Ukraine wanatembelea vichwa vya habari vya west. Wao wametushinda kwenye media ila kwenye battle ground tumewashinda.@sikirimimimasikini Townchild
Haiwezekani mtushinde kote kote,yani unipige hadi nichakae nikuangalie tu,nitakurushia na mawe na wewe japo usikie maumivu kidogo kama vile Wapalestina wanavyowarushiaga mawe Israel.Sawa ila kama mnafikia hatua ya kutoelewana sana ni bora ukaishia kusoma comment yake na ukaacha hata kumjibu.
NB: Sisi Pro Russia tunawakera zaidi kwa kuwa Putin anafanya mavitu ya ukweli huko Ukraine na wao Pro Ukraine wanatembelea vichwa vya habari vya west. Wao wametushinda kwenye media ila kwenye battle ground tumewashinda.@sikirimimimasikini Townchild
Kuna hizo taarifa na zinaonekana kwenye Media zote kubwa. Zinasema Cease fire ni kwa muda kuanzia leo ili kuruhusu wananchi na wa nje kuondokaHiyo haiwezi kutokea mzee. Ceasefire ni mpaka pale Ukraine watakapo weka silaha chini.
Keshadungua ndege 3 za Romania.Sasa marekani amsaidie Ukraine kama Nani wakat si mwanachama Wa NATO? Huyo Putin aguse nchi mojawapo ya NATO mfano Poland tuone
Ndo atajua ajui[emoji16]Huyo hapo baba yenu ameanza kuwalaani mpaka walio kuwa wana msaidia.View attachment 2139429
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Utadhan ndo kametoka usingizini.....[emoji16]Haka kajamaa ni ka fala sana.View attachment 2139431
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app