Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Putin alilewa sifa baada ya kuchukua Crimea na mataifa ya magharibi kumnyamazia akaona ndo kamchezo akataka kumega Donbass na Luhansk sasa safari hii wenzake wamekataa kukaa kimya maana wakikaa kimya ndo itakua kamchezo Ka kila Taifa lenye nguvu kunyakua eneo la jirani yake dhaifu na kusema ni sehemu ya nchi yake. Matokeo ya hizo referendum hayatabadili kitu maana jamii ya kimataifa ikiwemo Marekani na mataifa mengine hawatambui hayo maeneo kama sehemu ya Urusi hivyo ni ruksa kwa Ukraine kuyashambulia licha ya Putin kutishia nyuklia kila kunapokuchwa.

Kama mpaka sasa mwezi wa nane tangu vita ianze ameshindwa kuteka Donbass yote mpaka kaamua kuita jeshi la kuita lije kusaidia ndo ataweza kuichukua Odessa kipindi hiki ambacho Ukraine wana Makombora hatari ya Ant ship kama Harpoon?!
 
Naona warusi wa bongo wameukimbia uzi...!! Tuliwaambia mapema sana kwamba Urusi hana ubavu wa kupigana na watu wa magharibi kwa umoja wao.

Sasa atabokolewa na Crimea inaondoka - na akithubutu kutumia nyukilia basi tutamsahau na itabaki historia, watamgawana ka mpira wa kona
 
Kuna eneo gani mmekomboa? Watu wana piga kura kujitenga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nadhani wataichukua then watairudisha kwa masharti magumu ambayo Ukraine atapewa
Ili Odessa iwe buffer zone kwa usalama wa majimbo yaliyonyakuliwa (hapa Ukraine ataachiwa kama njia ya kuwa na access na maji

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Hii vita hadi inaisha iwe 2025 au 2050; USA hataingilia kamwe! Ata endelea na kuuza Silaha, kutoa misaada, kupiga promo, vikwazo, ushauri, mikakati, nk. Ila vitani USA hawezi jiingiza na nchi yenye uwezo wa kupiga mizinga directly, pentagon, Texas, Washington, nk. Never!!
 
Vipi kuhusu
Uvamizi wa Georgia 2008?
Uvamizi wa Chechnya 1990?
Uvamizi wa Finland winter war 1939?
Molotov–Ribbentrop Pact na uvamizi wa Poland mwaka 1939?
Duh!

Mkuu 'Yoda', siwezi kudai kwamba ninao ufahamu wa vamizi zote hizi ulizoweka hapa; ila ninachoweza kukuhoji wewe kama ni mjuvi wa haya mambo: Hivi hizi ndizo vamizi pekee zilizowahi kufanywa hapa duniani?
Hebu jaribu kuweka na hizo nyingine ambazo hukuona umuhimu wa kuzijumuisha katika mifano hii hapa uliyoweka.

Na zaidi ya hivyo, hivi inawezekana kukafanyika njama za kutaka kumvamia huyo anayevamia wengine..., kama kumuwahi hivi kabla ya hao wanaovamiwa?
 
From Medvedev, Deputy Chairman of RSC...



👇

🔥 More about the use of nuclear weapons

Our enemies love to make grandiloquent statements. Operate with the terms "freedom", "democracy", "mission". In fact, this is just ritual verbal diarrhea.

Fountains of diarrheal demagogy, coupled with vicious croaking rhetoric, have become a long-proven weapon of the Anglo-Saxon world, with which they flood the rest of humanity in an attempt to defend their exclusivity and the right to rule the world.

The topic of recent days is the Russian nuclear threat.
Biden and Truss, various secondary blinkins and sullivans, spraying Atlantic saliva, demand that Russia remove its hand from its “nuclear button”. Together, they constantly threaten us with “terrifying” consequences if Russia uses nuclear weapons.

And the London aunt, young in mind, is completely ready to immediately begin an exchange of nuclear strikes with our country.

I have to remind you again - for those deaf who hear only themselves. Russia has the right to use nuclear weapons if necessary. in predetermined cases. In strict accordance with the Fundamentals of State Policy in the Field of Nuclear Deterrence.

If we or our allies are attacked using this type of weapon. Or if aggression with the use of conventional weapons threatens the very existence of our state. The President of Russia spoke about this directly recently.

In addition, we will do everything to prevent the appearance of nuclear weapons in our hostile neighbors. For example, in Nazi Ukraine, which is directly controlled today by NATO countries.

It is pointless to count on the reason and political will of the Kyiv regime. But there is still a fragile hope for common sense and a sense of self-preservation of the enemy countries condoning them. They understand that if the threat to Russia exceeds the established danger limit, we will have to respond.

Without asking anyone's permission, without long consultations. And it's definitely not a bluff.

The question is different. Imagine that Russia is forced to use the most formidable weapon against the Ukrainian regime, which has committed a large-scale act of aggression that is dangerous for the very existence of our state. I believe that NATO will not directly intervene in the conflict even in this situation.

After all, the security of Washington, London, and Brussels is much more important for the North Atlantic Alliance than the fate of the perishing Ukraine, which no one needs, even if it is abundantly supplied with various weapons.

The supply of modern weapons is just a business for Western countries, however, heavily implicated in hatred towards us. No more.

Overseas and European demagogues are not going to perish in a nuclear apocalypse. Therefore, they will swallow the use of any weapon in the current conflict. Something like this…

It would be nice if this sad conclusion was at least partially realized by the authorities in Kyiv. Alas, this is almost impossible. They are in constant war frenzy with short pauses for bizarre drug dreams.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…