Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

‼️ The electoral commissions of the liberated territories have announced the first results of voting on joining Russia:

▪️ 96.97% of voters in the Kherson region voted in favor of joining Russia, according to the results of 14% of the ballots cast so far.

▪️ 98,19% of voters polled in the Zaporozhye region voted in favor of joining Russia, the processing of 18% of the ballots revealed.

▪️ 97,91% of voters in the DPR voted in favor of joining Russia, according to the results of the processing of 14% of the votes.

▪️ 97,82% of voters in the LPR voted in favor of joining Russia, according to the results of processing 13% of the protocols.
 
Nahisi nyuma ya mapazia anaambiwa asisukume mno kuhusu Krimea - kama nafasi ya kumpa mbwa Putin angalau mfupa mdogo na pia kuzingatia msimamo wa wenyeji - haieleweki wazi kama kuna kweli idadi kubwa huko Krimea wanataka kurudi Ukraine...
Sidhani kama nchi za magharibi zitaruhusu ushindi wa kijeshi wa Ukraine moja kwa moja nadhani Kuna muda watamlazimisha afanye mazungumzo na Putin kwa usalama wao wenyewe.
dudus Yoda Jackal
 
Bila shaka wataongeza! Asilimia 120 hazitoshi! Ukiona bunduki chini ya pua lako, utahamasishwa kuchangia zaidi ya yote!
 
Ni kweli

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
We bwana mdogo Pietro mbona unashindwa kuwaelewa Qibsyl na Bwana Utam kile ambacho wanakueleza? Sasa ni ubishi au ni nini haswa?
Unaelezwa kwamba Ukraine kwa sasa ni nchi iliyomegwa 15% ya ardhi yake. Sio ardhi tu, ni ardhi yenye rutuba inayofaa kwa kilimo. Imeporwa idadi kubwa ya watu. Watu 9mlns hawa walikuwa ni walipa kodi, na sasa ile kodi italipwa kwa nchi ya russia. Ukaelezwa kwamba majimba mawili ya Lugansky na Donesky yalikuwa yanachukua 16% Ya GDP ya ukraine sasa yamechukuliwa. Uoni hiyo hasara ukraine waliyopata? Hizo HIMAS zimesaidia nini kwa waUkraine? Hasara kwa maana ya vifo, na Zana za kivita kwa urusi zipo lakini hilo lilitarajiwa maana kule hawakwenda kupaka hina.
Unaambiwa Odesa ndio inafuata. Wewe unaanza kujikanyaga. Oooh mpaka sasa miezi 7 russia wameshindwa kuichukua kiev...
Kwa taarifa yako tu. Hii SMO itaendelea mpaka pale malengo yatakapo fikiwa.
 
Silaha zingine wamezitelekeza huko Donbas wanachapwa kama watoto wa chekechea ngoja tuone mobilization wakifika itakuaje na walivyo walevi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wewe vunjo unazungumzia danbass ipi? Hii iliyokuwa na uchaguzi siku mbili hizi? Kwa kauli zako ina maana ndani ya danbass kuna jeshi la ukraine? Kuwaga na akili basi japa za kuvukia barabara.
 
Tuone sasa mtamuuzia nani gesi, maana ndo iliwapa kiburi, CIA imeamua kuwaumiza wote na Germany

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hujui Tz, mtungi wa kg 30 ni Tshs 60,000. Ruto wa Kenya anaitaka hata SAMIA ni muoga tu. Huwezi acha gesi ya bei nafuu kisa eti Mwenyekiti wa mtaa jirani amekuonya kununua gesi ya adui zake.
 
Ametaka au Amechukua yaani Mikoa minne imeenda ....na bado mnajitapa.... Aseee....
 
Bwana bado unarudiarudia maneno kama mtoto wa darasa la 3? "SMO" ?? Hata Warusi upande wa Putin wanatamka sasa hii ni vita, ililkuwa vita tangu dakika ya kwanza.
Hapana, haitaendelea mpaka malengo yatakapofikiwa. Genius Putin alipaswa kubadilisha malengo yake mara kadhaa. Alianza akiamini kwamba yeye ni jemadari wa jeshi kubwa la pili duniani, sasa ameanza kujifunza asichopenda kwamba jeshi lake ni taka hadi hata nchi dogo kama Finland haiogopi tena kujiunga na NATO . . .
Putin kwa sasa ana lengo moja - kubaki madarakani na kutopinduliwa.
Tuone kama anaweza....
 
Nonsense
 
We mbwa koko vunjo unazungumzia danbass ipi? Hii iliyokuwa na uchaguzi siku mbili hizi? Kwa kauli zako ina maana ndani ya danbass kuna jeshi la ukraine? Kuwaga na akili basi japa za kuvukia barabara.
Wewe unaita watu wengine mbwa??? Ilhali hata hujui hata kusoma ramani? Hujaelewa bado kwamba hadi leo Putin alishindwa kuchukua Donbass? (Luhansk amepata kwa sasa sehemu kubwa, Donetsk sehemu kadhaa pekee ...)
Na unaamini hadithi za kitoto kuhusu referendum????
Jamani!
 
Urus wanancho kitafuta watakipata ,Ukrain haitavumilia ujinga huu wataanza kumrudishi nyumbani kwake na hapo moto utawaka ipasavyo ,ni swala la mda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…