Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hapa Russia walipokua wanafanya display ya vifaru vyao vya kisasa mwaka 2021,ila vyote vimekua vyuma chakavu Ukraine
1664265602372.png
 
#### MFANO RAISI KWA PRO RUSSIA####

Pro- russia njoeni mujumuike nami kwenye hii nazaria. Nataka Mniambie Mtajisikiaje endapo jambo hili litatokea Tanzania, nazani wote ni watanzania. Utajisikiaje endapo kenya itatangaza ukombozi kwa Wamasai waishio Tanzania kwa kuumega mkoa wa Arusha. Kenya kuvamia Tanzania kijeshi akiwa na madai serikali ya Tanzania inekuwa ikiwanyanyasa Wamasai kwa mda mrefu.

Embu mniambie mtakuwa upande gani?

View attachment 2369390
Urusi inafanya hivyo kwa sababu ina uwezo na ubavu wa kufanya hivo.

Sasa jiulize ww nchi yako kenya inao huo ubavu wa kufanya hivyo.

Kama na nyinyi kenya mnaweza kufanya hivyo fanyeni ili tuje tuwape kipigo cha mbwa koko teiteke mpaka Mombasa.
 
Usijichekeshe ili uonekane mcheshi.

Hiyo suala ya burundi na zimbabwe mbn nilishaimaliza!? Kama wewe unabisha endelea kubisha mpk kesho hakuna atayehangaika na wewe.

Uliomba source ukapewa (jina la) source hukuridhika, kumbe wewe ulikuwa unataka link[emoji16] sasa si ungesema 'leta link ya chanzo chako'. Ulichokiomba ndicho ulichopewa!

Cha ajabu sasa wewe uliyekuwa unalibishia hilo swala hata chanzo cha mchongo hukukitoa. Ni maneno matupu tu alaf kwa kuomba upewe source hujambo. Nilipoona unacounter chapisho the economist kwa taarifa inayomquote borell kisha unaiita article nikashtuka. 'Article' how!? Yaani mimi kwenye website yangu nikatoa taarifa kuwa mbunge fulani kasema hivi na vile tayari hiyo inakuwa ni article!? Duh!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Putin kasema' Zimbabwe na Burundi zinaitambua Crimea kama sehemu ya Urusi[emoji23][emoji23][emoji23]kazi kwelikweli. Leta chanzo hapa Acha kuhamisha magoli

Leo The Economist sio chombo cha propaganda eeeh?!Muhaho[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo unategemea niamini hii habar yako kama wewe huamini ya kwangu ,bwashee unachekesha
Hawa jamaa wanachekesha Sana,wanasema hawaamini taarifa za CNN wala BBC lakini vyombo hivyohivyo vikileta taarifa zinazowapendeza wao mara moja bila kupinga wanakwambia hiyo habari ni ya kweli na wanataka wote muamini hivyo. Ikitokea vimeleta habari zisizowapendeza mara moja hivyo vyombo vinageuka ni vya propaganda [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukraine yalalamika kuwa Urusi imeangamiza Airport huko Kryvyi Rih kwa kutumia makombora hatari ya Kh-59. Yasema uharibifu mkubwa umetokea kwenye miundombinu ya uwanja huo kiasi kwamba hauwezi kutumika tenaa👍🏼👍🏼👍🏼👍🏼

Pia Zaporizhzhia na Mykolaiv zimemiminiwa mvua za makombora. Kuna maafa makubwa!
====

Screenshot_20220927-111154_Chrome.jpg

SmartSelect_20220927-112511_Chrome.jpg
 
1.Hakuna uhasama wowote kati ya Kenya na Tanzania.
Are you serious, vipi kuhusu uhasama wa kibiashara
3.Tanzania haidhuru wananchi wowote ambao ni ethnic Kenyans.On the other hand Ukraine ina-uwa Warusi waishio Ukraine.
Wamasai
5.Nchi za Magharibi zinaitumia Ukraine kama proxy ya kuisambaratisha Urusi.On the other hand Tanzania haitumiwi na nchi za Magharibi kuisambaratisha Kenya.
Apo kwenye nchi za magharibi weka waarabu wanaotaka kuwinda wanyama pori.
 
🗓 Top News Today

💥 Massive fire attack launched at the bases of 14th Mechanised and 95th Airborne Assault brigades of the AFU near Senkovo and Chervony Oskol (Kharkov region) have resulted in causing casualties of over 120 enemy servicemen and 15 units of military equipment.

💥 High-precision attacks launched by Russian Aerospace Forces at the provisional bases of the 'Foreign Legion' and units from nationalist groups near Svyatogorsk (DPR) have resulted in the elimination of up to 100 militants. Missile attack launched at a forward command post of 10th Mountain Assault Brigade of the AFU near Chasov Yar (DPR) during the brigade commanders' conference has resulted in the elimination of up to 25 Ukrainian servicemen and wounding of over 40.

❗️ Kiev regime continues its provocations near Zaporozhye nuclear power plant. AFU artillery had been shelling at Volna suburban settlement located near the nuclear power plant. A total of 25 projectiles have been launched from Kiev-controlled areas of Nikopol and Marganets (Dnepropetrovsk region).

🇷🇺 Mobilised citizens and volunteers continue arriving in military commissariats in Transbaikalia and Khabarovsk to be conscripted within partial mobilisation.

📹 Russian Defence Ministry has published footage of Western MD Tor-M2 air defence missile system, Mi-28 and Mi-24 attack helicopter, as well as of Southern MD 2S7M Malka self-propelled artillery system crews in combat action within the special military operation.

✈ Pilots and navigators of Tu-160 airplane crews have practiced in-flight refuelling from Il-78 aerial refuelling tanker.

#MoD #TopNews #Russia #Ukraine
@mod_russia_en
 
⚡⚡⚡Russia has the right to use nuclear weapons if necessary, Russian Security Council Vice President Dmitry Medvedev said.
«In established cases. In strict accordance with the Fundamentals of state policy in the field of nuclear deterrence. If we or our allies are attacked using this type of weapon. Or if aggression with the use of conventional weapons threatens the very existence of our state, "Medvedev said⚡⚡⚡
Naona Putin anataka Urusi ibakie kwenye makaratasi.
 
Hawa jamaa wanachekesha Sana,wanasema hawaamini taarifa za CNN wala BBC lakini vyombo hivyohivyo vikileta taarifa zinazowapendeza wao mara moja bila kupinga wanakwambia hiyo habari ni ya kweli na wanataka wote muamini hivyo. Ikitokea vimeleta habari zisizowapendeza mara moja hivyo vyombo vinageuka ni vya propaganda [emoji23][emoji23][emoji23]
Wamezoea kusikia habari za kuwafuhisha tu wanazokopy na kupaste kutoka kwenye telegram za warusi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe uliyesema Burundi na Zimbabwe wanaitambua Crimea kama sehemu ya Urusi ni wa kuniambia Mimi nina hoja dhaifu kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ulivyoombwa source ukaleta tu jina la source bila ya kutoa link tukasome kilichoandikwa humo ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Daaah

Halafu eti unambishia mpaka Blinken,sasa sijui Kati yako ww keyboard warrior na Blinken Nani ana akili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo Burundi na Zimbabwe ndo nchi zinazotegemewa na Russia Kwa Sasa [emoji848]

Maajabu hayataisha dunia hii
 
Back
Top Bottom