Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Recent updates as of 26.09👇🤔
FB_IMG_1664269453572.jpg
 
Are you serious, vipi kuhusu uhasama wa kibiashara

Wamasai

Apo kwenye nchi za magharibi weka waarabu wanaotaka kuwinda wanyama pori.
1.Biashara:Uhasama mdogo mdogo wowote wa majirani,let alone wa kibiashara,ni issues za kawaida za majirani.It does not not go to as far as causing a millitary conflict,unless kuna foreign meddling.

2.Wamasai:Tanzania haija-wahi kuua Wanasai.Afterall Kenya haioni kwamba ina moral duty ya kuwalinda Wamasai,wakati Urusi inaona ina moral duty ya kuwalinda Warusi,popote walipo.Naomba ukumbuke kwamba Ukraine imeua ethnic Russians 14 thousand plus!For Russia hii haivumiliki,so they had to act.

3.Waarabu kuwinda Wanyama: Hii haina uhusiano wowote na issue liyoko mezani ya Kenya kuivamia Tanzania,after all wamepewa vibali,ingawa ni vya kimagumashi.

Mkuu acha kulinganisha vitu ambavyo havi-fanani kabisa,in scale,similarity and scope.
 
Hatuna watu wenye maono JWTZ wangewexa anzisha Government owned military mercenary company ya kuconvert criminals toka kule kwenye magereza na hawa street thugs kama panya roads na vijana wasio na ajira Kwa kuwapa military trainings na battle field skills zinazolenga kuwatengeneza kuwa expert mercenaries then kuwapeleka kwenye sehemu zenye conflicts na vita kama peace keepers, enforcers ,elite private guards na hata private army soldiers WA kuingia kwenye battle fronts hapo wangeweza pata mapato na kuisaidia nchi kugain revenue pia hata hao recruits wanakuwa wamefaidika Kwanza wamekuwa converted kuwa raia wema wanalipwa kipato na pia ni msaada Kwa nchi incase kuna vita au hatari za kiusalama dhidi ya Taifa . Kiufupi linakuwa ni active reserve army kikinuka Tu ni rahisi kuwamobilise watu kama hawa Maana wanakuwa battle hardened na experience ya kutosha pia wapo active .
Wewe unaweza kukubali kuwa mamluki?

Unaweza kukubali mwanao awe mamluki?

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Germany anatia huruma sana US anamuingiza chaka yeye amebaki anashangaa tu viwanda vyote vikubwa vya germany vinampango wa kuhamia North america kwa ajili ya uzalishaji maana yake ni kuwa ajira nyingi za wananchi wa germany zinaenda kuzikwa rasmi.. US alivyokuwa mshenzi eti anawaambia wahamie nchini kwake atawapunguzia Taxes ili tu waamie kwake ila ili zuzu olaf limekaa tu linakodoa mijicho yani mpaka nimemkumbuka bibi markel yule bibi ana angalia masilahi ya nchi yake kwanza.
Angela Merkel lile ni jitu na nusu Roho saba

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]️ Reuters: US Congress negotiators include $12 billion in additional aid to Ukraine in draft bill.

The new aid to Ukraine was in response to a request from the Biden administration, reports Reuters, citing a source familiar with the issue.
Zile 40$B zilishaisha eeeh[emoji16][emoji16][emoji16]
Kama wanadhania wanaweza kutushinda uwanja wa vita acha tuone VV PUT IN
Hii SVO jamaa hawatashinda hata wapewe bajetu nzina ya jeshi la US na NATO yake
LUHANSK
DONESTK
KHERSON
ZAPORINHE
Hapo KREMLIN inaskilizia kama wataukalia mkia hao west wakubwa wataangalia pengine pakujimegea
Njia nzuri ilikua mazungumzo ila jamaa washachelewa cavusoglu kaliweka wazi hili turkey MOD

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji298][emoji298][emoji298]Russia has the right to use nuclear weapons if necessary, Russian Security Council Vice President Dmitry Medvedev said.
«In established cases. In strict accordance with the Fundamentals of state policy in the field of nuclear deterrence. If we or our allies are attacked using this type of weapon. Or if aggression with the use of conventional weapons threatens the very existence of our state, "Medvedev said[emoji298][emoji298][emoji298]
Daily nuclear weapons talk from Russia. What’s new?!
 
Zile 40$B zilishaisha eeeh[emoji16][emoji16][emoji16]
Kama wanadhania wanaweza kutushinda uwanja wa vita acha tuone VV PUT IN
Hii SVO jamaa hawatashinda hata wapewe bajetu nzina ya jeshi la US na NATO yake
LUHANSK
DONESTK
KHERSON
ZAPORINHE
Hapo KREMLIN inaskilizia kama wataukalia mkia hao west wakubwa wataangalia pengine pakujimegea
Njia nzuri ilikua mazungumzo ila jamaa washachelewa cavusoglu kaliweka wazi hili turkey MOD

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka uwe unaelewa bhas,mpk ss Marekani imetumia $15 bn Kati ya $40 bn. Kwhyo kuna $25 bn haijatumika na jamaa wanataka kujazia.

Hapo bado kuna "Lend-Lease" haijaanza kufanya kazi.
 
[emoji298]️ US doesn't see any indications that China will support Russia's war.

The U.S. doesn't see any evidence that China is preparing to help Russia in its invasion of Ukraine or in avoiding sanctions, CNN reported on Sept. 26, citing U.S. State Department spokesperson Ned Price.

"We have seen nothing as of yet at least to indicate that (China) is taking a different approach when it comes to security assistance, when it comes to efforts to systematically help Russia evade sanctions," said Price.
 
HIMARS doing its thing

[emoji298]️General Staff: Occupied parts of Kherson Oblast closed for entry and exit.

The General Staff of Ukraine's Armed Forces said in its Sept. 27 update that Russian occupying forces have "completely closed" the occupied parts of Ukraine's southern Kherson Oblast for entry or exit.

The Ukrainian government earlier urged residents to evacuate amid Ukraine's unfolding counteroffensive in the area.
 
Hiyo ipo cnn na aljazeera jiongeze ufahamu meng Russia kwisha habar yake
Hao cnn na aljazera walisema RUSSIA kaishiwa na chakula kabakia na chakula ya siku tatu
Bila yashaka wanaopambana kule UKRAINE itakua wanatokea mbinguni wale sio RUSSIA
Maana RUSSIA hana tena chakula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jeshi la ukrein limesamavyo kuhusu SMO leo🇷🇺🇺🇦The Russian army continues the liberation of the DPR - the main thing from the report of the General Staff of the Armed Forces of Ukraine:
▪️Russian army assault operations in the areas of the settlements of Soledar, Kurdyumovka, Zaitsevo, Mayorsk, Artemovsk, Kamenka, Pervomayskoye;

▪️ Russian troops launched 9 missile and 22 air strikes, carried out more than 90 attacks from the MLRS;

▪️The Russian army continues to actively conduct aerial reconnaissance using UAVs;

▪️The RF Armed Forces deployed strike UAVs in the Belenky area of the Odessa region.

RVvoenkor
 
Back
Top Bottom