T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Snowden mmoja tu huyo na kafungiwa ndani anaogopa hata kutoka, hajulikani hata anakaa wapi. Ongeza na Steven Seagal.Urusi wanaye Snowden
Hueleweki . Ndio maana Russia kafanya referendum Ili ipatikane Self defense unayotaka. Pamekuwa Russia pale DONBASS panataka Self defense hapo nakuunga mkono. Self defense sio kuhifadhi nuke kwenye submarine bali kumchapa mtu jeuriSilaha za nyukria ni Kwa ajili ya self defense,sio unavamia nchi ya watu na kuanza kukwapua maeneo kama kibaka kwa kuwa tu una silaha za nyukria
Unafikiri marekani alishindwa kuzitumia huko Vietnam [emoji848]
Hii Vita huenda ikaamua hatima yake ya kisiasa.Putin kwa sasa ana lengo moja - kubaki madarakani na kutopinduliwa.
Tuone kama anaweza
Wanafuata falsafa ya Plato viongozi lazma wawe brightNilikuwa namsikiliza Member wa Bunge la Russia hapa BBC alikuwa anahojiwa hawa jamaa wanaelimu Bora Sana wanamaarifa Sana.muandishi wa BBC alionekana hajui kitu.
Propaganda 🙄Marekani yaripoti kuwa matokeo ya mwanzo ya kura za maoni huko Ukraine yaonesha kuwa zaidi ya wapiga kura 96% (asilimia 100 kasoro asilimia 4) wanataka mikoa hiyo ijiunge na Urusi. Mikoa hiyo inayojiunga na Urusi ni asilimia 15 ya ardhi ya Ukraine.
WanaJF kama kuna ushindi mnene zaidi ya huu wa kukabidhiwa rasmi eneo la ukubwa wa kilomita za mraba zaidi ya 110,000 (sawa na nchi ya Hungary) naomba mnijuzee😇😇😇🤣🤣😂😂
====
View attachment 2369859
💉💉💉💉💉💉 imeingia vyema, endelea kuteseka Mkuu...Propaganda 🙄
Aha sawaWanafuata falsafa ya Plato viongozi lazma wawe bright
T14 ArmataHii Vita huenda ikaamua hatima yake ya kisiasa.
T14 Armata
Imepenya hiyoo.. acha wateseke nayoo 😊😊💉💉💉💉💉💉 imeingia vyema, endelea kuteseka Mkuu...
Sasa ulifikiri mkipiga kura na kampeni Ukraine haitawachapa endeleeni na uchaguzi wenu huku tunawatembezea kichapo Donbas hiyoWewe vunjo unazungumzia danbass ipi? Hii iliyokuwa na uchaguzi siku mbili hizi? Kwa kauli zako ina maana ndani ya danbass kuna jeshi la ukraine? Kuwaga na akili basi japa za kuvukia barabara.
Hayo majimbo yameshapotea mazima kama Crimea tu.Putiiiiiiiiiiiiin.Propaganda [emoji849]
Urusi hawakukimbia Afghanistan ndugu ni tofauti na USA alivyokimbia hapa juzi.Labda kwa sababu kadhaa zilizofanana kwa nini Warusi walikimbia Afghanistan miaka 30 iliyopita?