Hayo mazingaobwe uchwara yanayoitwa referendum ndo unategemea yahalalishe self defense?Hueleweki . Ndio maana Russia kafanya referendum Ili ipatikane Self defense unayotaka. Pamekuwa Russia pale DONBASS panataka Self defense hapo nakuunga mkono. Self defense sio kuhifadhi nuke kwenye submarine bali kumchapa mtu jeuri
Duh, masikini urusi [emoji848]Mpakani Urusi Georgia Wengi wanaacha gari nyumba wanajaribu kuvuka kwa miguu. Wanaogopa watakataliwa kuondoka waliendelea kusubiri siku kadhaa mpakani. Hivyo wanawahi kwa miguu. Wanakimbia Taifa Teule wakielekea nchi ya kigeni!
Tunajifunza mengiOddessa ndio chanzo cha neno madessa . Kutokana na kitabu cha The Oddessa File
Asante umejitahidi kujibu kiutu safari hii. Hata hivyo, historia yako ina mapengo makubwa.Urusi hawakukimbia Afghanistan ndugu ni tofauti na USA alivyokimbia hapa juzi.
Najua hutakubaliana na Mimi kwa sababu ya misimamo Yako.
Iko hivi.
1989 Mikhail Goby alikuja na mpango wa maendeoeo kwa mtazamo wake wenye lengo la kufanya Mageuzi ya kisiasa na kiuchumi uliokua ukiitwa "Perestroika na Glasnost"
Huu mpango ulikua ukiambatana na kubana matumizi kwa kududisha majeshi yote ya Urusi yaliyokua nje ya Urusi.
Ndipo Urusi ikarudisha majeshi yake yaliyokua Afghanistan,Amerika ya kusini,Ulaya mashariki,Afrika na sehemu nyingine zote duniani.
Haikuishia hapo Bali Mageuzi yaliendelea na kupelekea ukuta wa Berlin kuvunjwa.
Hakuna Mahala popote Urusi ilitoka kwa kukimbia Afghanistan.
Urusi iliondoa majeshi kwa utaratibu sio kwa kukimbia kama USA .
Wako wapi Kwa sasa!!?? Wengine weshapandwa mbegu.....Ogopa Marekani ikichukua raia waliotoroka, wakiishi uko wanajanjaruka. Hata mpinzani mkuu wa Putin alipata fellowship pale Yale University. Saudi Arabia pale mkuu wao wa zamani wa usalama alipata hifadhi Marekani, Kashoggi nae alikuwa uko. Uturuki pale yule Gulen yuko Marekani
Goma mkuu....Hahahaha yaleyale ya CCM kushinda kwa 99%
Ukidume auoneshe mara ngapi wakati kisha komba 15% ya Ukraine huku Marekani+NATO+EU wakiishia kubweka bweka tu kama mbwa koko🤣🤣😇😇mwambieni aiwashe hiyo nyukilia....kama kweli kidume !!
Wanaume wanaendelea kusonga mbele [emoji91][emoji91]Counter offensive inaendelea
[emoji298]️ Ukraine's Armed Forces liberate Kupiansk-Vuzlovy in Kharkiv Oblast.
Kharkiv Oblast Governor Oleh Syniehubov said on Sept. 27 that the village of Kupiansk-Vuzlovyi, located on the left bank of the Oskil River, has been liberated.
About 6% of the oblast remains under Russian control, according to Syniehubov.
Russia Yuko busy na vita tu..,huku kwingineko lazima akubali tu kupoteza,mshika mbili,Moja umponyoka,Video bomba la Nord stream linavyovuja
Ubabaishaji gan wakati wananchi wenyewe wanataka. Mi nadhani hii ndo demokrasia sasaUle ni ubabaishaji mtupu..
![]()
US officials closely watching sham referendums in Russian-occupied areas of Ukraine and preparing to act | CNN Politics
White House officials are watching closely and preparing their potential response Monday as four Russian-occupied areas of Ukraine continued to vote in referendums that are being effectively carried out at gunpoint and have been dismissed by the West as a sham.edition.cnn.com
Umefufuka [emoji1787]Marekani yaripoti kuwa matokeo ya mwanzo ya kura za maoni huko Ukraine yaonesha kuwa zaidi ya wapiga kura 96% (asilimia 100 kasoro asilimia 4) wanataka mikoa hiyo ijiunge na Urusi. Mikoa hiyo inayojiunga na Urusi ni asilimia 15 ya ardhi ya Ukraine.
WanaJF kama kuna ushindi mnene zaidi ya huu wa kukabidhiwa rasmi eneo la ukubwa wa kilomita za mraba zaidi ya 110,000 (sawa na nchi ya Hungary) naomba mnijuzee[emoji56][emoji56][emoji56][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
====
View attachment 2369859
Kumbe bado safari ni ndefu, twatakiwa ikamata kherson ili donbas iwe rahisiBro ungesoma vizuri bhas nilichomquote bwana utam kabla ya kukurupuka kunijibu, sasa ni mwezi wa 8 lakini Russia imeshindwa kukomboa eneo lote la Donbass,imekamata Nusu na Ukraine inashikilia Nusu.
Unasema Himars hazijasaidia kitu,sasa nini kiliwafanya warusi wakakurupushwa kule Kharkiv, Izyum, Kupiansk,na sasa majeshi ya Ukraine yanakaribia Lyman.