uchungu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 337
- 884
Hizo drone ni suicides, mabaki ya kupiga picha kila siku yatakuwepo[emoji849][emoji849]Shahed drones zinachapika huko vita ya drone mrudi hatoiweza kabisaView attachment 2369638
Hizo drone ni suicides, mabaki ya kupiga picha kila siku yatakuwepo[emoji849][emoji849]Shahed drones zinachapika huko vita ya drone mrudi hatoiweza kabisaView attachment 2369638
Maana yake mkate utaendelea kuwa ghaliPutin kasema mpaka wakulima wataenda kupigana
Farmers among Russians drafted into the military, Putin says
MOSCOW, Sept 27 (Reuters) - Farmers are among the Russians being drafted into the military, President Vladimir Putin told a meeting with officials on Tuesday, signalling potential further risks for the 2023 crop.
Russia is the world's largest wheat exporter. Autumn is a busy season for farmers as they sow winter wheat for the next year's crop and harvest soybeans and sunflower seeds. Winter grain sowing has already been significantly delayed by rains.
Farmers among Russians drafted into the military, Putin says
Ndugu, inaelekea hujatathmini kwa kina maneno haya ya former president wa Russia....uzuri ni kwamba NATO na West yote wanajua kuwa haya siyo maneno ya 'mnywa vodka'...wanachukulia kwa uzito mkubwa kauli hii....Alibaki na vodka nyingi mno asubuhi hii baada ya usiku uliopita. Alianza kunywa mapema mno.
Anaongea kama Urusi ingekuwa nchi ya pekee yenye silaha hizo...
nusu lita hata kabla ya kitafunio cha kwanza???
Kwanini usiilinganishe Kiev na Dar?
Germany anajifanya mjanja, kakomolewa kwa makusudi, nasikia ni pipe 3 zimepasuka.... Hii itasababisha Urusi asiuze gesi kwa miezi kadhaa[emoji298]️ Reuters: Two more Nord Stream pipelines damaged, gas leaks into Baltic Sea.
Two offshore lines of the Russian-owned Nord Stream 1 gas pipeline have sustained "unprecedented" damage and started leaking into the Baltic Sea, Reuters reported on Sept. 27.
The leaks on the Nord Stream 1 sprung after a leak on the North Stream 2 pipeline was discovered on Sept. 26.
The Kremlin does not rule out sabotage as a reason behind damage.
Bila shaka! Mlevi mwenye silaha ni hatari...Ndugu, inaelekea hujatathmini kwa kina maneno haya ya former president wa Russia....uzuri ni kwamba NATO na West yote wanajua kuwa haya siyo maneno ya 'mnywa vodka'...wanachukulia kwa uzito mkubwa kauli hii....
Russia safari hii analo,hii Ina maana kwamba hata mapato ya gesi ndo hivyo Tena, mpaka aendelee kusubiri,Germany anajifanya mjanja, kakomolewa kwa makusudi, nasikia ni pipe 3 zimepasuka.... Hii itasababisha Urusi asiuze gesi kwa miezi kadhaa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hahaaa sema kweli mkuuUkraine nzima wanataka kujiunga na Urusi, mbabe Putin aichukue yote tu.
[emoji122][emoji122][emoji122]Tofauti yako na wao. Unatoa data, then unafanya analysis. Means unatumia kichwa chako na wala siyo according to. Ukiwasoma Hawa PRO NATO, nothing comes out of their head.
Huyo mzee wa mihemko na ubishi. MzoeeWe bwana mdogo Pietro mbona unashindwa kuwaelewa Qibsyl na Bwana Utam kile ambacho wanakueleza? Sasa ni ubishi au ni nini haswa?
Unaelezwa kwamba Ukraine kwa sasa ni nchi iliyomegwa 15% ya ardhi yake. Sio ardhi tu, ni ardhi yenye rutuba inayofaa kwa kilimo. Imeporwa idadi kubwa ya watu. Watu 9mlns hawa walikuwa ni walipa kodi, na sasa ile kodi italipwa kwa nchi ya russia. Ukaelezwa kwamba majimba mawili ya Lugansky na Donesky yalikuwa yanachukua 16% Ya GDP ya ukraine sasa yamechukuliwa. Uoni hiyo hasara ukraine waliyopata? Hizo HIMAS zimesaidia nini kwa waUkraine? Hasara kwa maana ya vifo, na Zana za kivita kwa urusi zipo lakini hilo lilitarajiwa maana kule hawakwenda kupaka hina.
Unaambiwa Odesa ndio inafuata. Wewe unaanza kujikanyaga. Oooh mpaka sasa miezi 7 russia wameshindwa kuichukua kiev...
Kwa taarifa yako tu. Hii SMO itaendelea mpaka pale malengo yatakapo fikiwa.
Eneo la bandari madini kibao chuma na viwanda Chuma ACHA kabisa . I love OddessaHuyo mzee wa mihemko na ubishi. Mzoee
Unafikiri hawaelewi. Ni mtu gani aliyeko jf asielewe vitu vilivyopangiliwa namna hiyo!? Wanajitoa akili tu. Hukuti ProNato hata mmoja anayeweza kutoa reply ya namna hiyo.Wakishindwa kuelewa hapa basi tena.
Itarushwa na hakuna atakachofanyaMwambia arushe nyukilia...
Embu tujikumbushe kidogoGermany anajifanya mjanja, kakomolewa kwa makusudi, nasikia ni pipe 3 zimepasuka.... Hii itasababisha Urusi asiuze gesi kwa miezi kadhaa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Germany anajifanya mjanja, kakomolewa kwa makusudi, nasikia ni pipe 3 zimepasuka.... Hii itasababisha Urusi asiuze gesi kwa miezi kadhaa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app