Wana ubavu huo ? , huyo US ndio anawalisha hao wapuuz , endelea Kuota hivyo hivyo , Kwanza wapuuz wote hao wangekuwa shitholes kama sio subsidies na mikopo ya US marshal plan kurebuild war devastated Europe baada ya vita ya pili ,Britain ,Germany ,Italy , France wote walikuwa broke after world war two , kama Mbritain Tu alifilisika kutokana na gharama za vita mpaka akashindwa kuyaendesha makoloni yake na kulazimika kuyapa Uhuru unafikiri mchezo wewe ?
Huyo huyo US ndio aliyewafadhili Kwa silaha, fedha na hata manpower ya wanajeshi nchi zote za ulaya na Russia /allies ili kupambana na Hitler ambaye alikuwa anatembeza dozi Europe yote mpaka Russia Kwa wakati huo .In the mean time USA anapigana na mighty Mjapan Kule Asia ambaye naye alikuwa strong na anatembeza kipondo pale China ,Korea na south East Asia yote
Na nchi nyingi bado hata hazijamaliza hayo madeni mpaka leo ,kama UK mwenyewe deni kamaliza mwaka juzi unafikiri this is a joke ?
Hao makapuku wengine humo wanaoishi Kwa subsidies wanapata ubavu wapi WA kuleta huo ujinga ? , Nchi zilizo kwenye stagflation na massive debts kama Portugal ,Italy ,Spain ,Ireland ,Greece NK
Usicheze na hili Taifa linaloitwa USA ,chezea wengine , mi nawashauri someni historia ya hili Taifa kwanza ndio mrudi humu ,acheni kujadili Kwa mihemko Tu .Hate it or love it USA is here and has been here to stay , prosper and rule over the world ,it's not accidental .[emoji1258][emoji1258][emoji1258][emoji1258][emoji1258][emoji1258]God bless USA .