Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unaona usivyotumia hata asilimia ndogo ya ubongo uliopewa ili uwe na sifa ya ubinadamu tofauti na wanyama wa porini.

Niliwahi kukutahadharisha kuwa unapoongelea Wamarekani tayari umewagusa binadamu wote wanaoishi duniani.

Lile ni taifa la wahamiaji na hata ndugu zako wa kuzaliwa wapo wengi tu ni raia wa Marekani wa kuzaliwa au wa kuomba.

Kwa leo nitakuachia hapo na kama hata hayo huyaoni, hutakaa uyatambue hata ukipigiwa kelele asubuhi hadi jioni...ile ni dunia ndogo.
Nazungumzia American Deep State,sio Wamarekani wote,tumia your upstairs.Most Americans are good people,sina matatizo nao.Tatizo lao ni kwamba ni maamuma kama wewe.
 
Ambaye hatojipa mda kuielewa dunia ikoje katika kipindi hiki hatokuja kuijua daima.

Let's have a look ya kile kilichotokea kwenye bomba la NS-1. Nitakayo yaeleza ni personal analysis based na mfuatano wa matukio.

👣 Germany kulikuwa na mandamano, Raia waliingia bara barani wakishinikiza serikali yao kurejesha NS-1 na NS-2 ku'ease mambo ambayo yanakwenda mlama kutokana na nishati bei kua juu nchini hapo. Ila ni Issue ambayo all western media zika'mute with zero coverages.

images-1.jpeg


👣 Haijakaa sawa ikatolewa taarifa kwenye mabomba ya NS-2, Pressure imeshuka na sababu haziku ainishwa. Hii maana ake nn? Ni kwamba NS-2 ikumbukwe ilisimamishwa ila uhai wa mabomba unategemea pressure supplied within kuendelea kusurvive otherwise yanaharibika.

So ile drop ya pressure its like mtu aliye heat "pipa" la chuma kisha akalipoza ghafla, kinachotokea ni lile pipa kujiminya (shrinking) kutokana na pressure ya nje kua kubwa kuliko ya ndani. So mradi wa NS-2 ndio unazikwa namna hiyo.

👣 Hatua nyingine ikawa ni mlipuko huo wa NS-1

Maajabu ya stage hii sasa, baada ya mlipuko huo, a former Polish defence minister anaishukuru USA kwenye ukurasa wake wa twitter.

IMG_20220928_104717_380.jpg


Sasa em tuangalie kwa kushirikisha akili zetu.

1. Back in Feb 7, Biden huyu huyu kiongozi wa taifa la far west akitoa msimamo wake wa nini watafanya juu ya NS's za Germany (tafa lingine la mbaaaali kabisa) endapo Russia ataingia Ukraine. Watch him out:-



Hapo kwe video mtamsikia vizuri mwandishi wa habari akimuuliza Biden, "How would you do that, ilhali project ipo under control of Germany" reply ya kibabu Joe ikawa "I promise we will be able to do that" 🤣 how? wanajua wenyewe. Na wala usijiulize sana hiyo ndio kazi ya democracy na sovereignty wanayo ihubiri.

2. Tukirejea nyuma out of 27 nations of EU, kila ilipokua inakuja swala la Gas ya Urusi. Hungary and Germany ndio walio kua mstari wa mbele kugoma huku wakidai hiyo ni "redline" kwa security ya mataifa yao.

Back in days pia, some Ukrainian Khokhol (Huyu kama sikosei ni Kuleba ama one of Zelensky's advisor) ali'propose bombing of Russians pipeline to EU ili kuwa'force Germany and Hungary ku'abandon Gas and Oil kutoka Russia wakidai Gas hiyo kwa EU ndio Engine ya kumlisha Putin kuendelea na OP yake hapo Ukraine. Kitu ambacho kilipingwa sana na Raia pembeni and yet leo kinafanyika halafu wanaishia kurushiana mpira.

Again hapo nyuma kwa wasio wafatiliaji niwajuze, kulikuwa kuna attempts kadha wa kadha za kulipua bomba la mafuta hili la upande wa Turkey ambalo nalo linapeleka EU kutoka Russia. So nini kinatafutwa wanajua wao kwa kweli 😊.

Haijakaa sawa baada ya mlipuko huo EU council wanakuja na package tena ya sanctions ambayo inaweza tangazwa leo moja wapo ikiwa ni proposal ya ku'cap price ya Russian Oil and Gas kitu ambacho ikumbukwe nyuma walishindwa kukubaliana.

🔥🔥🔥🔥🔥

So tuendelee tena kusisimua nerves za ubongo, tuulizane maswali machache tu. Who is forcing Russia out of EU? Jibu ni jepesi kwa waelewa wa Geopolitics. Kwamba ni Washington!

Swali la pili, who's benefitting from collapse of Germany? Of course jibu ni jepesi pia. Its United Shit of America. So can we see namna Germany anavyomalizwa kwa kisingizio cha Ukraine?

The weak EU pave a way to strong US hegemony and vice versa is true. In few months toka feb hadi leo kumekua na huge shift of capital kutoka EU ajabu kubwa destination yake ikiwa US. So EU inaendelea kua dwindled huku dada yao US akiendelea kujipanua.

Kuna watu wanahisi eti ooh Russia kaamua kuharibu mabomba yake. Hey Supplier wa Gas ni yeye mwenyewe, alikuwa na uwezo wa kufunga koki tu kama hataki kuwapelekea Gas. Shareholders wa NS mkubwa ni Gazprom akiwa na hisa zaidi ya nusu (51%) so doesn't make sense at all ajitie hasara kiasi hicho ilihali business are there to make money.

Hatuwezi kua na wide View kwa kukaa bondeni, njooni huku "kilimani" tuchungulie eneo kubwa tuone mengi 🤣🤣🤣.

Always remember, sometimes they spell it out for us, what is there for everyone to see. We are just not allowed to talk about it.
 
Wakati Russia ikisema wale wote waliokimbilia nchi jirani kama Kazakhstan, Georgia,nk kukwepa mobilization watarudishwa kwa lazima RF ikiwahitaji, Kazakhstan imesema itawahakikishia usalama wale wote wanaokimbia mobilization.

Mpaka sasa karibu warusi laki moja wamekimbilia Kazakhstan.

Kazakhstan will guarantee the safety of Russians fleeing Russia as Moscow moves to conscript hundreds of thousands of army reserves [emoji3593]


huyu rais mpya wa kazakhstan pia alisema hatoyatabua hayo majimbo ya ukraine yalpojitangazia uhuru,
 
Nuke ikipigwa hakuna mwingine atakayethubutu kupiga . Haipigwi mara mbili . Atakayewahi kupiga Ndio kapiga tena. Hujui mambo mengi BADO hujui maswala ya security na maswala ya kimataifa. Ikishatokea janga kama hilo Dunia nzima itakuwa katika kulaani na kutaka kuwajibisha wahusika sio kupiga nuke nyingine. Nuke ina madhara ya kidunia sio kwa nchi
Nimekwambia bangi unazovuta Acha ,huyo mwendawazimu wenu ajaribu kubomb hata Ukraine Tu aone sasa
 
Sijui lakini Ila Russia sio mjinga alipue miundombinu yake yote ya Gas kwenda Ulaya (mabomba yote matatu) wakati msimu wa baridi unakuja angetumia gas kama silaha ya kutaka vikwazo viondolewe ili awape Gas. Na juzi hapa Putin alitamka kwamba wakiondoa vikwazo anafungua Gas kupitia Nord Stream 2,sasa Nord stream 2 na yenyewe Leo imelipuka
Na ndio atulize mshono sasa winter itakuja na life litasonga life Europe halijaanza leo limekuwepo Kwa maelfu ya miaka Kabla hata ya kugunduliwa mafuta na gesi , no compromise with a fashist invader
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Gaidi la kike la Ukraine limedakwa wakati linataka kupanda bomu kwenye kituo chakupigia kura...ngoja niwasiliane na FSB waniletee nilifanyie torturing ghetto[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji845] ‘Terrorist Plot’ Foiled at Mariupol Polling Center

The DPR Ministry of Internal Affairs reports that a 24-year-old saboteur has been detained for leaving an IED at a referendum polling center in the city of Mariupol.

The suspect, identified as Iryna Navalna, allegedly planted nearly 1 kilogram (2.2 pounds) of plastic explosives at the polling center before being detained by police who stopped her from detonating at the last moment.

During questioning with authorities, Navalna admitted to accepting 30,000 hryvnias ($812) from Ukrainian security personnel to plant the device, and was promised another 70,000 hryvnias ($1,900) if the plot was successful.

“I was aware that [this would lead to victims]. I have problems with empathy,” she reportedly said during questioning.

Subscribe to RTView attachment 2370453View attachment 2370455View attachment 2370456
mtotom mbichi kabisa uyo waniletee mimi nidili ñae
 
⚡⚡⚡US intelligence and allies have begun to take a closer look at any evidence that Russia could use tactical nuclear weapons in the conflict in Ukraine.
For example, the United States is now making more use of commercial satellites that take pictures of the Earth's surface in places where there are Russian military units that could theoretically be ordered to use nuclear weapons⚡⚡⚡
 
IMG_20220928_115622_970.jpg

🇩🇪🇷🇺Angela Merkel urged to take Putin's words seriously.

"Not dismissing them as a bluff, but taking them seriously is by no means a sign of weakness. This is a sign of political wisdom, which helps to preserve room for maneuver or, no less important,even to develop a new one"
 
Back
Top Bottom