Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Counter offensive inaendelea

Governor Oleh Syniehubov confirmed on Sept. 27 that the Ukrainian army had crossed the Oskil River, slashing Russian defenses.

The liberation of Kupiansk-Vuzlovyi leaves just below six percent of Kharkiv Oblast occupied by Russia, Syniehubov said on TV.
 
Lini mtaacha ku edit? No official news zinazo confirm hilo. Even uchunguz haujafanyika.
We 'kilaza' hebu pitia habari hiyo kwenye link hii nakupatia buree, halafu unambie nime-edit wapi...Pumb2V!

Habari inaripotiwa na Forbes (Marekani)

 
Karibu Mathanzua, nilijua tu ungejitokeza ukisoma habari za kipuuzi kama hizi. Eti USAQ is the terrorist, oh my! You wouldn't recognise a terrorist if he knocked at your front door and you met him face to face...come on, grow up dude! Kwa upuuzi huu you take the prize na hata Madelu, PhD angekuonea haya!
By defending American evil,wewe ni sehemu ya matatizo mengi yanayo-wakumba Wanadamu.Niseme hivi,muda utakapowadia wa ku-round up those who defend American evil against humanity,wewe utakuwa pia target.Muombe Mungu sana wanadamu waendelee kulala usingizi,wakiamka mmekwisha.
 
All Ukrainian and Baltic sea states have opposed Nordstream's construction for 20 years.
Now $20 billion of scrap metal lies at the bottom of the sea, another cost to Russia of its criminal decision to invade Ukraine.
Someone, @MFA_Russia, did a special maintenance operation.



Thank you, USA.

 
Asante umejitahidi kujibu kiutu safari hii. Hata hivyo, historia yako ina mapengo makubwa.
Azimio la kupunguza jeshi la Urusi lilikubaliwa na kamati kuu ya chama cha kikomunisti tayari tarehe 13 Novemba 1985, si 1989.
Mwaka 1986 hakuna aliyewaza kwamba Jeshi Jekundu litaondoka pia Ulaya MAshariki siku moja.
Warusi walipanga hatua za mwisho vizuri zaidi kuliko Marekani.
Hata hivyo, waliamua kuondoka kwa sababu waliona hawawezi kushinda, wanapoteza askari wengi mno na vita inaleta upinzani ndani ya Urusi na koloni zake (=jamhuri za USSR).
Kwa kifupi: waliacha kwa sababu gharama za vita zilikuwa kubwa mno. Vivyo hivyo sababu ya Marekani kuondoka...
Mapengo ni kwa sababu nimeandika kwa kifupi sana.
Asante pia kwa kukubaliana na Mimi kua WALIAMUA kuondoka kwa sababu ya gharama kubwa mno.
Hivyo hii inaonesha kuwa hawakukimbia ama kushindwa kama wengi mnavyotaka kutuaminisha humu.
USA alikimbia Vietnam kwa kuzidiwa.
Wala hawakuondoka kwa sababu ya gharama.

Na hata Afghanistan waliondika kwa sababu ya kushindwa kuwashinda Watalaban.na ndio maana wamerudi madarakani
 
Kumekuchaaa 🚶
 

Attachments

  • FdsE-_2XECIt6kc.jpg
    FdsE-_2XECIt6kc.jpg
    120.6 KB · Views: 15
  • FdsE-_3XECgNJ8V.jpg
    FdsE-_3XECgNJ8V.jpg
    100 KB · Views: 13
Asante sana GT Jesus Mlokozi, you are really a Great Thinker. With support from people like you, wannabe dictators like Putin have nothing to lose...you are such an asset dude. I can bet wewe uko bega kwa bega na wale jamaa wa kwetu.

View attachment 2370361
Au uko nao mkono kwa mkono!
​
Andika kiswahili. Kubadili lugha wakati ulikuwa unachamba kwa kiswahili hiyo inaitwa wendawwzimu.
 
By defending American evil,wewe ni sehemu ya matatizo mengi yanayo-wakumba Wanadamu.Niseme hivi,muda utakapowadia wa ku-round up those who defend American evil against humanity,wewe utakuwa pia target.Muombe Mungu sana wanadamu waendelee kulala usingizi,wakiamka mmekwisha.
Unaona usivyotumia hata asilimia ndogo ya ubongo uliopewa ili uwe na sifa ya ubinadamu tofauti na wanyama wa porini.

Niliwahi kukutahadharisha kuwa unapoongelea Wamarekani tayari umewagusa binadamu wote wanaoishi duniani.

Lile ni taifa la wahamiaji na hata ndugu zako wa kuzaliwa wapo wengi tu ni raia wa Marekani wa kuzaliwa au wa kuomba.

Kwa leo nitakuachia hapo na kama hata hayo huyaoni, hutakaa uyatambue hata ukipigiwa kelele asubuhi hadi jioni...ile ni dunia ndogo.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Gaidi la kike la Ukraine limedakwa wakati linataka kupanda bomu kwenye kituo chakupigia kura...ngoja niwasiliane na FSB waniletee nilifanyie torturing ghetto[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji845] ‘Terrorist Plot’ Foiled at Mariupol Polling Center

The DPR Ministry of Internal Affairs reports that a 24-year-old saboteur has been detained for leaving an IED at a referendum polling center in the city of Mariupol.

The suspect, identified as Iryna Navalna, allegedly planted nearly 1 kilogram (2.2 pounds) of plastic explosives at the polling center before being detained by police who stopped her from detonating at the last moment.

During questioning with authorities, Navalna admitted to accepting 30,000 hryvnias ($812) from Ukrainian security personnel to plant the device, and was promised another 70,000 hryvnias ($1,900) if the plot was successful.

“I was aware that [this would lead to victims]. I have problems with empathy,” she reportedly said during questioning.

Subscribe to RT
IMG_20220928_104306_437.jpg
IMG_20220928_104312_278.jpg
IMG_20220928_104310_359.jpg
 
Back
Top Bottom