Nilimaanisha kushindwa kama munavyotaka nyie aende
Ila anakamata maeneo kama anavyotaka yeyeye
Maana yangu kwanamna anavyo ama alivyoamua yeye kwenda hatashindwa na hashindwi kukamata kila anapopataka kwawalivyoamua wao kwenda sio mnavyotaka ama tunavyotaka sisi
KIEV kama angeamua kuiteka angeiteka vyema tu ndio maana nikakwambia kama jamaa haendi kama mnavyotaka nyie mnataka apige hatua saba mbele halaf azidi kusonga yeye anapiga kadhaa halaf anasimama
DON BAS nahisi sijui malengo makuu ya RUSSIA nimiongoni mwamalengo ya awali nandio maana kwanza akazitambua LPR na DPR kama jamhuri huru labda tu uwe hujuu kama hizo jamhuri ndio zinaunda DON BAS
Pia sio kweli kama RUSSIA alijibanza huko kama unavyosema KHARKIV KHERSON ZAPORINHE hizo zote sio DON BAS na bado maeneo hayo ana yamiliki kasoro KHARKIV alijiondoa ila kwasasa anarudi kwanguvu
Kwamujibu wa DW sehemu zote zilizofanya ref zinamilikiwa na RUSSIA isipokua sehem chache ambazo zinamilikiwa na UKRAINE kama ingekua nusu hata hii ref isinge fanyika
Jengine walioshindwa ambao hawapo uwanja wamapambano wamekimbia au wamepigwa kama US kwa AFGHAN unasemaje SVO imeshindwa wakati watu bado wapo uwanjani sema unavyotaka wewe sivyo ndio maana unaona wameshindwa ila wenyewe wanasema wanaenda vyema na malengo yatafikiwa wewe unasemaje imeshindwa
Kuhusiana na ref RUSSIA hahitajii UN US western am hata UCHINA na INDIA kama kigezo cha kukubalika kwahio red yake akiishakubali yeye inatosha
Kwani kuna taifa linalo sapot hii SVO ukitoa SYRIA ila je SVO imesimama imefail imeshindwa ama inaendelea!!!??
Malengo yatafikiwa ila sio kama unavyotaka nauzuri ama ubaya nikwamba RUSSIA hakueka muda maalum wamalengo yake kufikiwa ila anasisitiza yatafikiwa
Sent using
Jamii Forums mobile app