Nuke ikipigwa hakuna mwingine atakayethubutu kupiga . Haipigwi mara mbili . Atakayewahi kupiga Ndio kapiga tena. Hujui mambo mengi BADO hujui maswala ya security na maswala ya kimataifa. Ikishatokea janga kama hilo Dunia nzima itakuwa katika kulaani na kutaka kuwajibisha wahusika sio kupiga nuke nyingine. Nuke ina madhara ya kidunia sio kwa nchiUna wazimu , hiyo nuclear kama anayo yeye Tu Sawa ,nuclear weapons zipo hata Kwa failed states kama Pakistan na India , usifikiri nuclear war heads ni maandazi , Hakuna mpuuzi WA kutumia nuclear war heads unless anataka extermination ya Taifa lake , Yani utumie nuclear kubomb European country au US ubaki salama aisee bangi mnazovuta muache
Kabisa acha wapige kelele tuuuUnafikiri hawaelewi. Ni mtu gani aliyeko jf asielewe vitu vilivyopangiliwa namna hiyo!? Wanajitoa akili tu. Hukuti ProNato hata mmoja anayeweza kutoa reply ya namna hiyo.
Wao ni putin anachapika, kipigo cha mbwa koko, fashisti, uvamizi, warusi wanakimbia nchi, zelensky kidume, himars, watoto wa chekechea, na blah blah nyingine kibao [emoji16][emoji16][emoji16]
Mtu kashachukua eneo bwana. Waache waendelee kupiga kelele
Kwahiyo ule msafara wa vifaru na mizinga uliokua unaenda Kiev ulikua unaenda kufanya nn kama Nia ilikua si kuikamata Kiev?!Nilimaanisha kushindwa kama munavyotaka nyie aende
Ila anakamata maeneo kama anavyotaka yeyeye
Maana yangu kwanamna anavyo ama alivyoamua yeye kwenda hatashindwa na hashindwi kukamata kila anapopataka kwawalivyoamua wao kwenda sio mnavyotaka ama tunavyotaka sisi
KIEV kama angeamua kuiteka angeiteka vyema tu ndio maana nikakwambia kama jamaa haendi kama mnavyotaka nyie mnataka apige hatua saba mbele halaf azidi kusonga yeye anapiga kadhaa halaf anasimama
DON BAS nahisi sijui malengo makuu ya RUSSIA nimiongoni mwamalengo ya awali nandio maana kwanza akazitambua LPR na DPR kama jamhuri huru labda tu uwe hujuu kama hizo jamhuri ndio zinaunda DON BAS
Pia sio kweli kama RUSSIA alijibanza huko kama unavyosema KHARKIV KHERSON ZAPORINHE hizo zote sio DON BAS na bado maeneo hayo ana yamiliki kasoro KHARKIV alijiondoa ila kwasasa anarudi kwanguvu
Kwamujibu wa DW sehemu zote zilizofanya ref zinamilikiwa na RUSSIA isipokua sehem chache ambazo zinamilikiwa na UKRAINE kama ingekua nusu hata hii ref isinge fanyika
Jengine walioshindwa ambao hawapo uwanja wamapambano wamekimbia au wamepigwa kama US kwa AFGHAN unasemaje SVO imeshindwa wakati watu bado wapo uwanjani sema unavyotaka wewe sivyo ndio maana unaona wameshindwa ila wenyewe wanasema wanaenda vyema na malengo yatafikiwa wewe unasemaje imeshindwa
Kuhusiana na ref RUSSIA hahitajii UN US western am hata UCHINA na INDIA kama kigezo cha kukubalika kwahio red yake akiishakubali yeye inatosha
Kwani kuna taifa linalo sapot hii SVO ukitoa SYRIA ila je SVO imesimama imefail imeshindwa ama inaendelea!!!??
Malengo yatafikiwa ila sio kama unavyotaka nauzuri ama ubaya nikwamba RUSSIA hakueka muda maalum wamalengo yake kufikiwa ila anasisitiza yatafikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui lakini Ila Russia sio mjinga alipue miundombinu yake yote ya Gas kwenda Ulaya (mabomba yote matatu) wakati msimu wa baridi unakuja angetumia gas kama silaha ya kutaka vikwazo viondolewe ili awape Gas. Na juzi hapa Putin alitamka kwamba wakiondoa vikwazo anafungua Gas kupitia Nord Stream 2,sasa Nord stream 2 na yenyewe Leo imelipukakuna moja imepita ukraine hio muda si muda tutayaskia- usistuke russia mwenyewe akaihujumu aseme ni ukraine msimu wa baridi
Hahahaha bro Harpoon ni defensive weapon ndio maana Russia imekimbiza Meli zake na kuzipeleka mbali kabisa baada ya Ukraine kupewa Makombora ya Harpoon. Wewe hujiulizi siku za hivi karibuni kwanini hatuoni activities nyingi za Russian Navy kama kipindi kile wanaanza kuvamia,Meli Vita zilikua zikifurumusha Makombora km hazina akili nzuri hlf linganisha sasa,jibu unalo!!!!Harpoon isaidie kurejesha miji basi sio kua nayo tuuu
Narejelea tena hata CRIMEA hawakuitambua ila RUSSIA ana kambi yawana maji kubwa tu pale namaisha yanaendelea
Hili lakushambulia ama kuto baada ya ref sisemi neno kama litashambuliwa ama laa ila nnalosema nikwamba hilo eneo baada ya kura litakua mali ya RUSSIA kwa US na wenzake kukubali ama kwakukataa kwakupenda ama kuchukia
US kukubali ama kukataa hio kura hakuifanyi RUSSIA isibebe hio ardhi yenye neema na rutba zake hakukufanya RUSSIA asitishe kura
Nlikwambia wakat wa ref kwamba kikubwa wataishia ni vikwazo tu hawana lazaidi
Ukiongezea na hilo eneo wanalobeba RUSSIA wametangaza mara hii watavuna mpaka tani 150M kutoka 70-80M walotangaza mara hiii
Ndio mujue kama RUSSIA hajakurupuka nyie ilindeni tu hio KIEV mkitaka kuachana na mafuta sawa mtaachana na msosi [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
PUT IN ame waout smart sana western kwahili
Sent using Jamii Forums mobile app
Unarahisisha mambo sana . Ishu ni KUMTOA Russia Ukraine . Je Ukraine ana cha kufanya kabla ya impact ya mobilization yaani ana siku kama kumi Ukraine afanye JAMBO kubwa zaidi ya hapo KACHELEWA . Russia kaanza kutoa VITU store kubwa vikitua ni mayowe tu hukoHahahaha bro Harpoon ni defensive weapon ndio maana Russia imekimbiza Meli zake na kuzipeleka mbali kabisa baada ya Ukraine kupewa Makombora ya Harpoon. Wewe hujiulizi siku za hivi karibuni kwanini hatuoni activities nyingi za Russian Navy kama kipindi kile wanaanza kuvamia,Meli Vita zilikua zikifurumusha Makombora km hazina akili nzuri hlf linganisha sasa,jibu unalo!!!!
Ngoja tuone baada ya hizo DPR na LPR kujiunga na RF nini kitajiri,Je aliyetishia nyuklia ataitumia na je aliyesema kwamba ataendelea kuyashambulia hayo maeneo atatimiza ahadi yake... Tuupe muda nafasi.
Putin hajamu-outsmart yeyote ndio maana ss hivi anabeba mpaka wakulima anataka wakapigane Vita baada ya SMO kushindwa.
Hahaha HARM ilishazila kichwa siku nyingi mpaka ikabidi Super power akachukue air defense yake aliyompa Syria na kuchomoa baadhi ya Air defenses zinazolinda miji yake kama St Petersburg na kuzipeleka Ukraine.Air defence systems ziko wapi hawa super power. Si ndio wanasema wana the best duniani
Sasa defensive na kuondosha meli vinahusianaje !!!??Hahahaha bro Harpoon ni defensive weapon ndio maana Russia imekimbiza Meli zake na kuzipeleka mbali kabisa baada ya Ukraine kupewa Makombora ya Harpoon. Wewe hujiulizi siku za hivi karibuni kwanini hatuoni activities nyingi za Russian Navy kama kipindi kile wanaanza kuvamia,Meli Vita zilikua zikifurumusha Makombora km hazina akili nzuri hlf linganisha sasa,jibu unalo!!!!
Ngoja tuone baada ya hizo DPR na LPR kujiunga na RF nini kitajiri,Je aliyetishia nyuklia ataitumia na je aliyesema kwamba ataendelea kuyashambulia hayo maeneo atatimiza ahadi yake... Tuupe muda nafasi.
Putin hajamu-outsmart yeyote ndio maana ss hivi anabeba mpaka wakulima anataka wakapigane Vita baada ya SMO kushindwa.
Kama walimkimbiza Kiev,wakamkimbiza Kharkiv, wakamkimbiza Izium wakambalasa Kupiansk huko kwingine ni suala la muda tu.Unarahisisha mambo sana . Ishu ni KUMTOA Russia Ukraine . Je Ukraine ana cha kufanya kabla ya impact ya mobilization yaani ana siku kama kumi Ukraine afanye JAMBO kubwa zaidi ya hapo KACHELEWA . Russia kaanza kutoa VITU store kubwa vikitua ni mayowe tu huko
Ili aendelee atalazimika afanye purges kwenye jeshi na serikalini. Hata akitoka akamuacha mtu neutral anaweza pata lawama au kesi kama Khruschev alivyofanya Destalinization baada ya Stalin kufa na akarithiwa na mtu asiyemuiga.Hii Vita huenda ikaamua hatima yake ya kisiasa.
T14 Armata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka hata Hilo unashindwa kulielewa?!
Kosa lao lilianzia kushindwa kuweka anti A2AD na kupata air dominance. Runways zipo, bases zipo na ndege zipo. Ni mwendo wa kuviziana hewani.Hahaha HARM ilishazila kichwa siku nyingi mpaka ikabidi Super power akachukue air defense yake aliyompa Syria na kuchomoa baadhi ya Air defenses zinazolinda miji yake kama St Petersburg na kuzipeleka Ukraine.
Alisikika banyamulenge mmoja baada kufurumushwa misitu ya CongoUS anamcheck Putin aguse hiyo nyukria mithiri ya paka anavyommendea panya,
Alisikika banyamulenge mmoja toka misitu ya CongoTuone sasa mtamuuzia nani gesi, maana ndo iliwapa kiburi, CIA imeamua kuwaumiza wote na Germany
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app