Duh!...mie sio mbishani kwenye huu uzi wenu ila nimekuw nikisom post za watu mara nyingi tu kwenye hii thread, kiukweli nimeon post zako nyingi hazina content FurtherMore zinaonyesha huna reasoning kabisa kama sio Empty headed.
Yani unadiriki kusema INDIA ni failed state wakati ndo nchi ya 5 kwa uchumi dunuani mbele ya UK ambaye kashuka nafasi ya sita 2022.
View attachment 2370149
Unachosikitisha zaidi ni kutojua kuwa Duniani kote Russia ndo mwenye Nucleur Warheads nyingi kuliko nchi yoyote na ndo mwenye more advanced technology ya nucleur weapons kuliko wengine na test yake ya mwisho aliifanya mwaka.1961...alijaribu bomb aina ya TSAR BOMBAR model RDS-220...na hiyo test yao ilifanikiwa na ndo lilikuwa bomu lenye uzito mkubwa mara.3800 ya lile alilorusha huyo US wenu kule hiroshima...
Unaweza kuona akiamua kutumia aina hiyo kwenye stock yake US atasalimika?...haipingiki kuwa marekani kwasasa ndio nchi iliyotake OVER kwenye millitary aspects duniani maana inakadiriwa bajeti yake ya wizara ya ulinzi tu ni takribani $672billion kwa mwaka lakini yeye mwenyew anajua wazi kwenye nyanja ya nyuklia hamkuti URUSI anzia enzi za Soviet Union.
View attachment 2370150
ebu waangalie hao western wenu...ukimtoa USA...members wengine wote wa Nato ni wepesi san kwa urusi...sasa nchi kama ujeruman pamoja na kuwa na uchumi mkubwa kule ulaya haina nyuklia warhead ata.1 yazidiwa ata na iyo Pakistan uliyoiita wewe ni Failed state.
View attachment 2370151
View attachment 2370152
Na usichokijua silaha za nyuklia zipo za aina mbili yaani 1.TACTICAL/NON STRATEGICAL NUKES na 2.STRATEGICAL NUKES...hizo za kwanza ndizo ambazo anaweza kuzitumia apo ukraine maana hayana effect kubwa sana kama hayo ya pili maana hubeba warheads chache hivyo hayana uzito mkubwa(huwa yana Tons to KiloTons) na ili kusababisha massive destruction yatatakiwa kutumika mengi kulinganisha na iyo aina ya pili ambayo hubeba warheads nyingi sana na huwa yanakuwa na uzito mkubwa(MegaTons up to 100)
Nakingine nikuwa izo warheads kuna ambazo zipo active/Ready to be used/deployed, na ambazo zimehifadhiwa Non-deployed/reserve/stocked...na vengine haviwez kutumika tena/vimechoka.