Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Acha kulia lia kimahaba, huna chochote unachojua zaidi ya elimu yako mbovu yakitumwa na ya kukariri.Bahati mbaya, mimi simo kwenye hilo kundi la Ma GT ndiyo maana nimeomba sana samahani. Mtu ukivuliwa nguo unachutama siyo unakomaa tu kama wafuasi na waumini wa madikteta na mafashisti kama Putin (hata TZ tunao ma Putin wetu!)
Nilishtuka tu pale niliposoma eti USA kashambulia Nordstream Pipeline. Pamoja na upopoma wangu najua USA hawezi kufanya hivyo...kumbe ni habari iliyotoka Twitter kwa Reuters Pitchbot! Hapo ndipo nikakushtua na matokeo ya wema wangu ndiyo hayo?
Naomba tufunge huu ukurasa bwana GT JESUS Mulokozi. Thank you so much for putting me in my rightful place, nilisahau mimi ni jirani ya Buza madongo kuinama! Si unajua tena tulivyo vichwa ngumu! Please have a bright and wonderful day, bye!
Hahahaha eti mgogo[emoji23][emoji23][emoji23]Matonya was Ukraine anazidi kulialia kua hajapata msaada wowote toka Israel [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]siku akikamatwa huyu mgogo atajuta
[emoji1134][emoji1255]"We don't understand what happened to Israel... Israel has not given us anything at all, zero."
The President of Ukraine again spoke about the lack of help from Tel Aviv.
"We learned from intelligence that Israel actually supplies these defense systems to other countries, not to us," Zelensky said.
Back in July, Kiev demanded the Iron Dome missile defense system and Spike anti-tank complexes from Israel.
When the refusal was received, the Ukrainian ambassador began demanding that the Israeli authorities "get out of the comfort zone and choose a side."
After that, Tel Aviv still sent military aid to the Ukrainians — 1,500 "Kevlar" helmets that made their way out of a pistol.
Should Kiev now wait for cardboard air defense systems and ATGMs? Time will show.
Subscribe to @Sputnik
[emoji298]️Reuters: US prepares $1.1 billion arms package for Ukraine.The United States and Europe have almost exhausted their stockpiles of weapons for deliveries to Ukraine, CNBC reported, citing military experts
For the American military industry, the normal level of production of 155 mm howitzer artillery shells is about 30,000 shells per year in peacetime. Ukrainian soldiers spend that amount in about two weeks, Dave de Roche, a senior fellow at the US National Defense University (NDU), told CNBC.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Wana ubavu huo ? , huyo US ndio anawalisha hao wapuuz , endelea Kuota hivyo hivyo , Kwanza wapuuz wote hao wangekuwa shitholes kama sio subsidies na mikopo ya US marshal plan kurebuild war devastated Europe baada ya vita ya pili ,Britain ,Germany ,Italy , France wote walikuwa broke after world war two , kama Mbritain Tu alifilisika kutokana na gharama za vita mpaka akashindwa kuyaendesha makoloni yake na kulazimika kuyapa Uhuru unafikiri mchezo wewe ?
Huyo huyo US ndio aliyewafadhili Kwa silaha, fedha na hata manpower ya wanajeshi nchi zote za ulaya na Russia /allies ili kupambana na Hitler ambaye alikuwa anatembeza dozi Europe yote mpaka Russia Kwa wakati huo .In the mean time USA anapigana na mighty Mjapan Kule Asia ambaye naye alikuwa strong na anatembeza kipondo pale China ,Korea na south East Asia yote
Na nchi nyingi bado hata hazijamaliza hayo madeni mpaka leo ,kama UK mwenyewe deni kamaliza mwaka juzi unafikiri this is a joke ?
Hao makapuku wengine humo wanaoishi Kwa subsidies wanapata ubavu wapi WA kuleta huo ujinga ? , Nchi zilizo kwenye stagflation na massive debts kama Portugal ,Italy ,Spain ,Ireland ,Greece NK
Usicheze na hili Taifa linaloitwa USA ,chezea wengine , mi nawashauri someni historia ya hili Taifa kwanza ndio mrudi humu ,acheni kujadili Kwa mihemko Tu .Hate it or love it USA is here and has been here to stay , prosper and rule over the world ,it's not accidental .[emoji1258][emoji1258][emoji1258][emoji1258][emoji1258][emoji1258]God bless USA .
Wazee wa kazi wanazidi kuweka vitu[emoji91][emoji91][emoji91][emoji298]️Reuters: US prepares $1.1 billion arms package for Ukraine.
The U.S. is preparing a new $1.1 billion arms package for Ukraine which will be announced in the coming days, Reuters reports citing U.S. officials who spoke on condition of anonymity.
The latest installment of weapons will likely include HIMARS launcher systems and accompanying munitions, different counter-drone and radar systems, along with spares, training and technical support, a source briefed on the plan told Reuters.
Anazidi kuwapiga pesa za msaada[emoji1787]Wazee wa kazi wanazidi kuweka vitu[emoji91][emoji91][emoji91]