Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Estonia imekua ni nyumbu mjinga kuliko nyumbu wengine Ona Serikali inashauri wananchi waanze kunya kwenye mifuko ya Rambo na kurusha kimba zao kwenye mitaro hatari[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Russia kawakazia mbayaaaa [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

[emoji1097]Estonians are being transplanted to cat toilets.

Citizens of the small proud republic were warned that due to power outages, it is possible to turn off the sewage system.

But there is a way out!

The expert of the Rescue Department of Estonia Mikko Virkala explains: if the need calls, you need to take a large garbage bag purchased in advance, install it on the toilet. If there is a cat at home, even better. You can pour cat litter into the bag.

After that, you do your business in the package, wrap it with duct tape — and voila!

Subscribe to @Sputnik
 
Bro ungesoma vizuri bhas nilichomquote bwana utam kabla ya kukurupuka kunijibu, sasa ni mwezi wa 8 lakini Russia imeshindwa kukomboa eneo lote la Donbass,imekamata Nusu na Ukraine inashikilia Nusu.
Unasema Himars hazijasaidia kitu,sasa nini kiliwafanya warusi wakakurupushwa kule Kharkiv, Izyum, Kupiansk,na sasa majeshi ya Ukraine yanakaribia Lyman.
Ni kweli

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Uchizi si mpaka uokote makopo - Putin kashashikwa sehemu nyeti, kabinywaa.
 
Kwisha Habari
IMG_6769.png
 
"Super power" anatakiwa awe na uwezo wa kulinda mabomba yake kwa intelligensia, teknolojia na majeshi, kama hawezi kufanya hivyo huyo ni super power wa mchongo.

Halafu Putin hawezi kufunga tu mabomba ya gesi kadri anavyojisikia yeye bila severe "consequences"kwa sababu Urusi hawauzi gesi Ulaya kama kuuza nyanya sokoni. Urusi ilisaini mikataba ya kupeleka gesi ambayo mingine ni ya muda mrefu sana. Sio ajabu kabisa Urusi kuwa imelipua yenyewe hilo bomba kwa sababu kuna wakati ilikuwa inakataa kusafirisha gesi pia huku wakiilamu Siemens ya Ujerumani na Canada kuchelewesha turbines zilizokuwa zinafanyiwa matengenezo.

Tatizo kubwa la Russia na utawala wake ni uongo uliopitiliza, kuwaamini ni sawa na ku bet tu.
Ambaye hatojipa mda kuielewa dunia ikoje katika kipindi hiki hatokuja kuijua daima.

Let's have a look ya kile kilichotokea kwenye bomba la NS-1. Nitakayo yaeleza ni personal analysis based na mfuatano wa matukio.

[emoji188] Germany kulikuwa na mandamano, Raia waliingia bara barani wakishinikiza serikali yao kurejesha NS-1 na NS-2 ku'ease mambo ambayo yanakwenda mlama kutokana na nishati bei kua juu nchini hapo. Ila ni Issue ambayo all western media zika'mute with zero coverages.

View attachment 2370442

[emoji188] Haijakaa sawa ikatolewa taarifa kwenye mabomba ya NS-2, Pressure imeshuka na sababu haziku ainishwa. Hii maana ake nn? Ni kwamba NS-2 ikumbukwe ilisimamishwa ila uhai wa mabomba unategemea pressure supplied within kuendelea kusurvive otherwise yanaharibika.

So ile drop ya pressure its like mtu aliye heat "pipa" la chuma kisha akalipoza ghafla, kinachotokea ni lile pipa kujiminya (shrinking) kutokana na pressure ya nje kua kubwa kuliko ya ndani. So mradi wa NS-2 ndio unazikwa namna hiyo.

[emoji188] Hatua nyingine ikawa ni mlipuko huo wa NS-1

Maajabu ya stage hii sasa, baada ya mlipuko huo, a former Polish defence minister anaishukuru USA kwenye ukurasa wake wa twitter.

View attachment 2370452

Sasa em tuangalie kwa kushirikisha akili zetu.

1. Back in Feb 7, Biden huyu huyu kiongozi wa taifa la far west akitoa msimamo wake wa nini watafanya juu ya NS's za Germany (tafa lingine la mbaaaali kabisa) endapo Russia ataingia Ukraine. Watch him out:-

View attachment 2370486

Hapo kwe video mtamsikia vizuri mwandishi wa habari akimuuliza Biden, "How would you do that, ilhali project ipo under control of Germany" reply ya kibabu Joe ikawa "I promise we will be able to do that" [emoji1787] how? wanajua wenyewe. Na wala usijiulize sana hiyo ndio kazi ya democracy na sovereignty wanayo ihubiri.

2. Tukirejea nyuma out of 27 nations of EU, kila ilipokua inakuja swala la Gas ya Urusi. Hungary and Germany ndio walio kua mstari wa mbele kugoma huku wakidai hiyo ni "redline" kwa security ya mataifa yao.

Back in days pia, some Ukrainian Khokhol (Huyu kama sikosei ni Kuleba ama one of Zelensky's advisor) ali'propose bombing of Russians pipeline to EU ili kuwa'force Germany and Hungary ku'abandon Gas and Oil kutoka Russia wakidai Gas hiyo kwa EU ndio Engine ya kumlisha Putin kuendelea na OP yake hapo Ukraine. Kitu ambacho kilipingwa sana na Raia pembeni and yet leo kinafanyika halafu wanaishia kurushiana mpira.

Again hapo nyuma kwa wasio wafatiliaji niwajuze, kulikuwa kuna attempts kadha wa kadha za kulipua bomba la mafuta hili la upande wa Turkey ambalo nalo linapeleka EU kutoka Russia. So nini kinatafutwa wanajua wao kwa kweli [emoji4].

Haijakaa sawa baada ya mlipuko huo EU council wanakuja na package tena ya sanctions ambayo inaweza tangazwa leo moja wapo ikiwa ni proposal ya ku'cap price ya Russian Oil and Gas kitu ambacho ikumbukwe nyuma walishindwa kukubaliana.

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

So tuendelee tena kusisimua nerves za ubongo, tuulizane maswali machache tu. Who is forcing Russia out of EU? Jibu ni jepesi kwa waelewa wa Geopolitics. Kwamba ni Washington!

Swali la pili, who's benefitting from collapse of Germany? Of course jibu ni jepesi pia. Its United Shit of America. So can we see namna Germany anavyomalizwa kwa kisingizio cha Ukraine?

The weak EU pave a way to strong US hegemony and vice versa is true. In few months toka feb hadi leo kumekua na huge shift of capital kutoka EU ajabu kubwa destination yake ikiwa US. So EU inaendelea kua dwindled huku dada yao US akiendelea kujipanua.

Kuna watu wanahisi eti ooh Russia kaamua kuharibu mabomba yake. Hey Supplier wa Gas ni yeye mwenyewe, alikuwa na uwezo wa kufunga koki tu kama hataki kuwapelekea Gas. Shareholders wa NS mkubwa ni Gazprom akiwa na hisa zaidi ya nusu (51%) so doesn't make sense at all ajitie hasara kiasi hicho ilihali business are there to make money.

Hatuwezi kua na wide View kwa kukaa bondeni, njooni huku "kilimani" tuchungulie eneo kubwa tuone mengi [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Always remember, sometimes they spell it out for us, what is there for everyone to see. We are just not allowed to talk about it.
 
Ulaya machuma yao kila siku yanalipuliwa mpaka wanakwenda kuishiwa silaha [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

[emoji779]️US & Europe Running Out of Weapons to Send to Ukraine

An US associate professor has told CNBC that Washington soon may not have the ability to supply Kiev with arms.

“I’m greatly concerned. Unless we have new production, which takes months to ramp up, we’re not going to have the ability to supply the Ukrainians,” Dave Des Roches of the National Defense University told the network.

The EU is in the same boat according to the bloc’s Foreign Minister Josep Borrell. “The military stocks of most [European NATO] member states have been, I wouldn’t say exhausted, but depleted in a high proportion,” the diplomat said earlier this month.

Subscribe to RT
IMG_20220928_143528_927.jpg
 
China Launches Sensing Satellite into Space

China sent a remote-sensing satellite into space from the Xichang Satellite Launch Center in Sichuan province.

The satellite, Yaogan-36, was launched by a Long March-2D carrier rocket and entered its planned orbit successfully.

Subscribe to RT
 
RaHDIt ("Evil Russian hackers") have posted the data of more than 1.5 thousand employees of the SVR of Ukraine working under the cover of embassies in open access.

There are more than 20 countries in the list:

[emoji3502]anti-Russian USA, France, Italy, Germany, Poland and others

As well as states with a more restrained position on their own, including Azerbaijan, Argentina, Hungary, Greece, Iraq, South Africa, Tajikistan.

In addition, the data of Ukrainian intelligence officers in the UN, EU and NATO missions have been posted.

And more than 40 locations of the units of the SVR of Ukraine, including one secret educational institution, RIA Novosti reports.

Subscribe to @Sputnik
 
Russian President Vladimir Putin has said.

Western nations are using their wealth and ability to print money to vacuum up food products from the global market, the Russian leader insisted during a government meeting The unfolding crisis has been in the making for several years,

Hii Operation imewaumbua sana West usikute African leaders walikua hawajui huu ufedhuli wa west mnaprintiwa Pesa mnapewa mkopo mnarudisha kwa faida

WEST IS WORST[emoji706]
 
President of Azerbaijan Ilham Aliyev received Chairman of the State Duma of the Russian Federation Vyacheslav Volodin.

The topic of intensifying the inter-parliamentary dialogue was discussed.

Aliyev expressed hope for the continuation of inter-parliamentary contacts with the Russian Federation, including on international platforms.

Volodin pointed out the need for the State Duma and the Milli Majlis to work on legislative support for the implementation of the declaration on allied cooperation.
 
Back
Top Bottom