Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Ukraine yupo under control of Russia. Katika hali ya kawaida Russia asingefanya uchaguzi kipindi cha vita lakini anafanya kwakuwa anajua anawamudu. Russia anafanya mambo kwa uwazi kuanzia mobilization mpaka referendum . Anaweka mpaka tarehe za matukio. Hii ina maana Russia ana mpira Ukraine anakaba. Kuna kitu najifunza . Huenda Russia anatumia silaha za zamani na mpya kidogo . Pia majeshi ya kukusanya na KUWEKA mkazo wa majeshi imara kama akiba .Malengo ya NATO ni kuvamia Russia pindi itapoishiwa Ulinzi . SASA Kremlin wanalijua hilo wanavuta kidogokidogoAisee, Putin anaipiga Ukraine kindugu sana, yaani miezi hii yote kumbe Putin alikuwa ndio anaipatia gesi Ukraine?!
kama kuprint pesa ni rahisi nenda kaprinti na wewe. photocopy mashine si mnazo?
Duh! Urusi anakufa kifo Cha mende,[emoji298]οΈ
Inaelekea jamaa walipiga hesabu Kali Sana maana hizo pipelines ndo zinaweza zikawa Mwisho tena kutumika
Der Tagesspiegel: Damage to Nord Stream gas pipelines likely irreparable after leaks.
If the Nord Stream 1 and 2 pipelines are not attended to immediately, salt water will quickly corrode the insides, wrote Tagesspiegel, citing unnamed high-ranking German officials.
The crisis team of the German Federal Foreign Office is investigating the leaks, most likely caused by explosions along the pipeline.
Pia super power,awe na uwezo wa kulinda nchi yake isipate shambulizi la Karne na la aibu la September 11,kule New York
Watakutana na wachechinia wenye wese sikioni.. Waendelee kula jeuri yao.. Marekani kawaingiza wenzake kingi sana
UmeelewajeUnamaanisha wanajeshi wa Chechnia ni mashoga??
"No nation has the right to make decisions for another nation, no group of people have the right to make decisions for another group of people." - Tanzania's former President Julius Nyerere.
If West don't like referendum they can do whatever they like Russia is equal to the tax
Jamaa wamedhamilia kumchakaza mazima super pawer wa mchongo [emoji16][emoji16]EU yatangaza vikwazo vipya dhidi ya Russia
Hopefully Ukraine watakuwa washajiweza, watakuwa washaanzisha viwanda vya kutengeneza silaha na kuchukua maeneo mengi....[emoji298]οΈ Retired US general: Ukrainian army could enter Crimea by mid-2023.
Retired Lieutenant General Ben Hodges: "I hope that by the end of (2022), Ukrainian forces will push Russian forces to the positions of Feb. 23, and that by the middle of next year, (they) will be in Crimea."
Ndo hapo Urusi anakosa pa kuuza gesi, Marekani anapata pa kuuza gesi[emoji298]οΈ
Inaelekea jamaa walipiga hesabu Kali Sana maana hizo pipelines ndo zinaweza zikawa Mwisho tena kutumika
Der Tagesspiegel: Damage to Nord Stream gas pipelines likely irreparable after leaks.
If the Nord Stream 1 and 2 pipelines are not attended to immediately, salt water will quickly corrode the insides, wrote Tagesspiegel, citing unnamed high-ranking German officials.
The crisis team of the German Federal Foreign Office is investigating the leaks, most likely caused by explosions along the pipeline.
Pamoja mkuu π πHahaa nimekupata mkuu ova. Ngoma imekuwa ngumu. Kumeza tabu na kutema tabu.