Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Nyoanokokama kuprint pesa ni rahisi nenda kaprinti na wewe. photocopy mashine si mnazo?
Nyoanokokama kuprint pesa ni rahisi nenda kaprinti na wewe. photocopy mashine si mnazo?
Pia super power,awe na uwezo wa kulinda nchi yake isipate shambulizi la Karne na la aibu la September 11,kule New York"Super power" anatakiwa awe na uwezo wa kulinda mabomba yake kwa intelligensia, teknolojia na majeshi, kama hawezi kufanya hivyo huyo ni super power wa mchongo.
Halafu Putin hawezi kufunga tu mabomba ya gesi kadri anavyojisikia yeye bila severe "consequences"kwa sababu Urusi hawauzi gesi Ulaya kama kuuza nyanya sokoni. Urusi ilisaini mikataba ya kupeleka gesi ambayo mingine ni ya muda mrefu sana. Sio ajabu kabisa Urusi kuwa imelipua yenyewe hilo bomba kwa sababu kuna wakati ilikuwa inakataa kusafirisha gesi pia huku wakiilamu Siemens ya Ujerumani na Canada kuchelewesha turbines zilizokuwa zinafanyiwa matengenezo.
Tatizo kubwa la Russia na utawala wake ni uongo uliopitiliza, kuwaamini ni sawa na ku bet tu.
Nchi ipoteze askari 400 afu bado wachukue kipande cha Ardhi Yenu??Mtaomba poo
Russia loses 400 military personnel, 1 plane and 12 UAVs in past 24 hours General Staff
Ukrainska Pravda
Wed, September 28, 2022, 9:29 AM·1 min read
OLENA ROSHCHINA – WEDNESDAY, 28 SEPTEMBER 2022, 09:29
Russian occupying forces lost around 400 military personnel, one fixed-wing aircraft and 12 UAVs over the course of Tuesday, 27 September. The General Staff reports that one Russian missile has also been shot down.
Source: General Staff of the Armed Forces of Ukraine on Facebook
Details: Russian forces suffered their greatest losses on the Kramatorsk and Donetsk
Hata wakija kinyumekinyume huku wamejipaka mafuta Gas haitafunguliwaWatapiga magoti hawa kima [emoji16][emoji16]
Watambue, wasitambua hilo mrusi halimsaidii wala halizuii kufanya anachotakaJe nani atatambua sehemu hizo kuwa ardhi yake???
Hadi leo hata China haikubali Krimea kuwa Urusi. Uturuki ilisema jana lazima kurudisha Krimea ... Sivyo???
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtaomba poo
Russia loses 400 military personnel, 1 plane and 12 UAVs in past 24 hours General Staff
Ukrainska Pravda
Wed, September 28, 2022, 9:29 AM·1 min read
OLENA ROSHCHINA – WEDNESDAY, 28 SEPTEMBER 2022, 09:29
Russian occupying forces lost around 400 military personnel, one fixed-wing aircraft and 12 UAVs over the course of Tuesday, 27 September. The General Staff reports that one Russian missile has also been shot down.
Source: General Staff of the Armed Forces of Ukraine on Facebook
Details: Russian forces suffered their greatest losses on the Kramatorsk and Donetsk
Watakutana na wachechinia wenye wese sikioni.. Waendelee kula jeuri yao.. Marekani kawaingiza wenzake kingi sanaHata wakija kinyumekinyume huku wamejipaka mafuta Gas haitafunguliwa
Bro hiyo Gas wamesema itaendelea kuvuja hvyohvyo Kwa week au zaidi sababu mlipuko wake ulikua ni mkubwa sana sawa na tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 2.3 magnitude.Kwanliposoma mie wanasema marekebisho kama yatachukua muda mwingi sanaaaa basi hayawezi kuzidi week mbili
Nakama yatachukua muda mchache sanaaa sijuu ama chini ya week moja bomba litakua linatumika
Mwisho kwahilo tukio bado anaeumia EU mwenzao JAPAN kaondoa kelele kelele zake huko KURIL ISLAND kama sijakosea jina wameruhusiwa kuanza fishing mwezi kesho
EU watapiga goti tu watake wasitake
Sent using Jamii Forums mobile app
Mrusi kwa sababu zenye maslahi kwake kavamia ukraine na jeshi kubwa akielekea mji mkuu, Ukraine wakawalilia USA na nchi rafiki wawasaidie silaha wapiganie nchi yao, USA na washirika wakamsaidia Ukraine kwa kumpa silaha na kumuwekea vikwazo Urusi vikwazo ambavyo na wao vinawaumiza kwani palitokea mfumuko wa bei na food crisis etc, baada ya hapo mrusi hakufika mji mkuu tena kwa sababu anazojua yeye ila akateka baadhi ya miji, Ukraine akaanza mashambulizi ya kuikomboa miji iliyotekwa huku mrusi akiwapigisha kura raia wa hiyo miji kuwa wawe sehemu ya urusi na si ukraine.Mkuu nipe samare kidogo kilichotokea mimi ndio natoka leo kigoma kakonko huku.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]noma sanaWatakutana na wachechinia wenye wese sikioni.. Waendelee kula jeuri yao.. Marekani kawaingiza wenzake kingi sana
Germany atapotea asipo chukua uamuzi mzitoStrong evidence
Hawa kenge ndio waliohusika kulipua NSView attachment 2370811
Hujamwelewa . Alimaanisha hata Israel ilianza kutambuliwa na Urusi Soviet mapema kabla ya wengineWe!! Israel ilitambua nini kuhusu maeneo ya Ukraine ??
Bwana unajaribu kumwaga uwongo hapa.
Ubabe huo. Wenye uwezo wachache . Ukraine hawezi kufanya hivyo . Yaani kura vitani.Ni ujinga MKUBWA wa Putin kupiga kura katikati ya vita !! hiyo ni RUSHWA kutumia circumstances kupitisha jambo lako. UN hawautambui ujinga huu.
View attachment 2370357