Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Waziri mkuu wa Estonia nyumbu kweli badala apambane kuwasaidia raia wake walioanza kunya kwenye mifuko Kwa kukosa nishati na maji yeye anajifanya yupo front kweli wanasiasa wa Ulaya ni mabogas Nchi yenyewe ina wanamgambo 2500View attachment 2370718

Ulaya imefikia level za kunya kwenye lambo kweli mwaka huu tutaona mengi sana.
 
Mrusi kwa sababu zenye maslahi kwake kavamia ukraine na jeshi kubwa akielekea mji mkuu, Ukraine wakawalilia USA na nchi rafiki wawasaidie silaha wapiganie nchi yao, USA na washirika wakamsaidia Ukraine kwa kumpa silaha na kumuwekea vikwazo Urusi vikwazo ambavyo na wao vinawaumiza kwani palitokea mfumuko wa bei na food crisis etc, baada ya hapo mrusi hakufika mji mkuu tena kwa sababu anazojua yeye ila akateka baadhi ya miji, Ukraine akaanza mashambulizi ya kuikomboa miji iliyotekwa huku mrusi akiwapigisha kura raia wa hiyo miji kuwa wawe sehemu ya urusi na si ukraine.

Hapa ndipo ugomvi ulipofikia. Usione mahabari ya kingereza na maanalysis kwa lugha ya kirusi ukadhani kuna jambo la akili kubwa sana, ni ile hali yetu tu ya sikuzote ya kujimwambafy na kujivika akili kubwa zisizokuwepo tukichanganya na tumatusi na tudharau twa hapa na pale.
View attachment 2370810
Hahaa nimekupata mkuu ova. Ngoma imekuwa ngumu. Kumeza tabu na kutema tabu.
 
[emoji298]️ Retired US general: Ukrainian army could enter Crimea by mid-2023.

Retired Lieutenant General Ben Hodges: "I hope that by the end of (2022), Ukrainian forces will push Russian forces to the positions of Feb. 23, and that by the middle of next year, (they) will be in Crimea."
 
Kuna siku wanadamu hasa Raia was kawaida wanapenda kuingia vitani? Hujui stories ya Muhammad Alyy?
Vita sio lelemama. Kimbia ukiskia Kuna njama ya kupelekwa huko. Hi hata Bongo ilifanyika. Walidakwa watu hasa vijana wakaingia mstari was mbele katika 1978-1979

Unaweza jiuliza kwanini Russia hajafunga mipaka kuzuia raia zake kutoka mpakani??
 
Zelensiky anaendelea kumpelekea moto fashisti shetani wa urusi [emoji91][emoji91][emoji91]
1664291835107.jpg
 
Ulaya machuma yao kila siku yanalipuliwa mpaka wanapenda kuishiwa silaha [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

[emoji779]️US & Europe Running Out of Weapons to Send to Ukraine

An US associate professor has told CNBC that Washington soon may not have the ability to supply Kiev with arms.

“I’m greatly concerned. Unless we have new production, which takes months to ramp up, we’re not going to have the ability to supply the Ukrainians,” Dave Des Roches of the National Defense University told the network.

The EU is in the same boat according to the bloc’s Foreign Minister Josep Borrell. “The military stocks of most [European NATO] member states have been, I wouldn’t say exhausted, but depleted in a high proportion,” the diplomat said earlier this month.

Subscribe to RTView attachment 2370677
NATO wanaishiwa stock kisha anakuja mbweha anaiponda RUSSIA. Ukraine imejaziwa masilaha kibao . Russia inastahili pongezi
 
Kwanliposoma mie wanasema marekebisho kama yatachukua muda mwingi sanaaaa basi hayawezi kuzidi week mbili
Nakama yatachukua muda mchache sanaaa sijuu ama chini ya week moja bomba litakua linatumika
Mwisho kwahilo tukio bado anaeumia EU mwenzao JAPAN kaondoa kelele kelele zake huko KURIL ISLAND kama sijakosea jina wameruhusiwa kuanza fishing mwezi kesho
EU watapiga goti tu watake wasitake

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji298]️


Inaelekea jamaa walipiga hesabu Kali Sana maana hizo pipelines ndo zinaweza zikawa Mwisho tena kutumika

Der Tagesspiegel: Damage to Nord Stream gas pipelines likely irreparable after leaks.

If the Nord Stream 1 and 2 pipelines are not attended to immediately, salt water will quickly corrode the insides, wrote Tagesspiegel, citing unnamed high-ranking German officials.

The crisis team of the German Federal Foreign Office is investigating the leaks, most likely caused by explosions along the pipeline.
 
Back
Top Bottom