Air defence misile system zote zilisha teketezwa, zote jama kabuki mtupu......Mimi nachomshangaa huyu Rais wa Ukraine! Ni kila siku kuzililia nchi za NATO kuweka "No fly zone" wakati wamempa "Air Defense missiles"za kutosha lakini anashindwaje kuzitumia kuangusha ndege za kivita za Russia zinazoruka kwenye anga la nchi yake na kuishambulia.