Ni jamii mbili tofauti.Tofauti ya wasukuma na wanyamwezi au wanyantunzu nini?
Naona unaongea vitu hivi jui.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni jamii mbili tofauti.Tofauti ya wasukuma na wanyamwezi au wanyantunzu nini?
Naona unaongea vitu hivi jui.
lkn tuseme ukweli, kwa ubishi ule na kujiamini kule, angekuwa na silaha nzuri kama urusi, mrusi angekalishwa chini asubuhi kabisa. imagine nchi imepigwa vile, jamaa anaomba msaada wa ndege za kivita na vifaa ili aendelee kupigana naye. huo ujasiri ni wa hali ya juu sana. pili, urusi kama akijua, hatakiwi kabisa kumuua huyu jamaa kwasababu kwa ujasiri alioonyesha amekaa mioyoni mwa watu wengi wa dunia, akimuua tu atachukiwa na dunia nzima kwa historia ya karne nyingi zijazo. jamaa amejenga historia kubwa mno yaani.Wayahudi ni wabishi hatarii ndo anachodhihirisha huyu Zelensky
Ni ujinga tu kuwatoa sadaka wenzako huku ukijua huna cha kupoteza. Yeye kapigana na kila silaha na Russia katumia silaha za kizamani sana.lak
lkn tuseme ukweli, kwa ubishi ule na kujiamini kule, angekuwa na silaha nzuri kama urusi, mrusi angekalishwa chini asubuhi kabisa. imagine nchi imepigwa vile, jamaa anaomba msaada wa ndege za kivita na vifaa ili aendelee kupigana naye. huo ujasiri ni wa hali ya juu sana. pili, urusi kama akijua, hatakiwi kabisa kumuua huyu jamaa kwasababu kwa ujasiri alioonyesha amekaa mioyoni mwa watu wengi wa dunia, akimuua tu atachukiwa na dunia nzima kwa historia ya karne nyingi zijazo. jamaa amejenga historia kubwa mno yaani.
Ukiona hivyo ujue Marekani kashaingiza watu wake huko ndani anahofia watauwawa....Magenerali wa Urusi wamemuambia Putin atumie nguvu kubwa kuimaliza Ukraine na kujisalimisha. Naona kilio kikubwa juu ya Ukraine ,ndio maana US kaomba mazungumzo na Russia
Hapo Kiev kinaenda kilio cha kihistoria
Duuh aiseeMwanamziki Zi Faamelu ambaye mwanzo alikuwa mwanaume kabla ya kubadilisha maumbile na kuwa mwanamke, amezuiliwa kuondoka nchini Ukraine kwa sababu bado anatumbulika kama mwanaume katika vyeti vyake, hivyo anatakiwa kubaki Ukraine na kupigania taifa lake. https://t.co/rHXXchTUH0View attachment 2139642
Kumekucha😂Mwanamziki Zi Faamelu ambaye mwanzo alikuwa mwanaume kabla ya kubadilisha maumbile na kuwa mwanamke, amezuiliwa kuondoka nchini Ukraine kwa sababu bado anatumbulika kama mwanaume katika vyeti vyake, hivyo anatakiwa kubaki Ukraine na kupigania taifa lake. https://t.co/rHXXchTUH0View attachment 2139642
Hivi walidhani Russia ni Libya ? Nikisoma historia jinsi warusi walivyojitoa sadaka kwa ajili ya nchi yao wakati wa vita ya pili ya dunia na kwa miaka zaidi ya 70 amejenga jeshi LA kupambana na adui yote sipati pichaUkiona hivyo ujue Marekani kashaingiza watu wake huko ndani anahofia watauwawa....
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ila wee jamaa daah yani una maono kama vile ya wale wafuasi wa ZumaridiHivi walidhani Russia ni Libya ? Nikisoma historia jinsi warusi walivyojitoa sadaka kwa ajili ya nchi yao wakati wa vita ya pili ya dunia na kwa miaka zaidi ya 70 amejenga jeshi LA kupambana na adui yote sipati picha
Hapo kitakachofata Russia ataweka makombora ya Nuclear Ukraine mlangoni mwa NATO kabisa.
Asante sanaaa, jamaa kapewa tuzo tukufu na nishani ya kipekee kutokana na namna anavyowanyuka majeshi ya UkrainePutin awarded the title of Hero of Russia to a marine, a participant in a special military operation in Ukraine, Colonel Alexei Bernhard.
“Aleksey received the highest military award for skillful actions in the performance of combat missions during a special military operation in eastern Ukraine,” Oleg Kozhemyako, head of Primorye, wrote in his Telegram account.
He said that the colonel's unit "successfully broke through the enemy's defenses and put him on a stampede."
Bernhard served for several years in the 155th Marine Brigade of the Pacific Fleet in Vladivostok: "He is remembered and appreciated here as a comrade and a competent comView attachment 2139622View attachment 2139622mander."
pledgetimes.com
Wamagharibi hawataki tupate taarifa wasizozitaka, wanatuchujia mkuumwenye link ya RT please mi kwangu inaleta error tu,leo wana shida gan?