LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
The SBU liquidated a member of the negotiating group of Ukraine Denis Kireev.

Kireev was suspected of treason and was killed during his arrest. This is reported by MP Dubinsky and many Ukrainian media. There has been no official confirmation yet.
IMG_20220305_134400_038.jpg
 
lak
Wayahudi ni wabishi hatarii ndo anachodhihirisha huyu Zelensky
lkn tuseme ukweli, kwa ubishi ule na kujiamini kule, angekuwa na silaha nzuri kama urusi, mrusi angekalishwa chini asubuhi kabisa. imagine nchi imepigwa vile, jamaa anaomba msaada wa ndege za kivita na vifaa ili aendelee kupigana naye. huo ujasiri ni wa hali ya juu sana. pili, urusi kama akijua, hatakiwi kabisa kumuua huyu jamaa kwasababu kwa ujasiri alioonyesha amekaa mioyoni mwa watu wengi wa dunia, akimuua tu atachukiwa na dunia nzima kwa historia ya karne nyingi zijazo. jamaa amejenga historia kubwa mno yaani.
 
mwenye link ya RT please mi kwangu inaleta error tu,leo wana shida gan?
 
lak

lkn tuseme ukweli, kwa ubishi ule na kujiamini kule, angekuwa na silaha nzuri kama urusi, mrusi angekalishwa chini asubuhi kabisa. imagine nchi imepigwa vile, jamaa anaomba msaada wa ndege za kivita na vifaa ili aendelee kupigana naye. huo ujasiri ni wa hali ya juu sana. pili, urusi kama akijua, hatakiwi kabisa kumuua huyu jamaa kwasababu kwa ujasiri alioonyesha amekaa mioyoni mwa watu wengi wa dunia, akimuua tu atachukiwa na dunia nzima kwa historia ya karne nyingi zijazo. jamaa amejenga historia kubwa mno yaani.
Ni ujinga tu kuwatoa sadaka wenzako huku ukijua huna cha kupoteza. Yeye kapigana na kila silaha na Russia katumia silaha za kizamani sana.
 
Hivi hajiulizi kwanini mpaka sasa hata [emoji631] na NATO wakijiuliza Air Force ya Russia kwanini haikushambulia tangu wameanza?
Na je wako wapi ?
Halafu anasema eti waweke no fly zone
Hiyo wanajua wakifanya hivyo maana yake ni vita kati ya [emoji631] na [emoji635]

Huyo comedian ndio anauwa watu watu labda katumwa maana waliambiwa waweke silaha chini akajifanya mbabe

Tunajua wako vizuri na wao ila wanazidiwa sana na Mrusi ingawa ni ndugu moja

Meanwhile hebu tufananishe na sisi nguvu zetu kijeshi na Ukraine ambapo wengi wanasema hawana kitu

Note
Mimi mpambe wa Putin mjue
Haya twende kazi tuna subs ngapi vile?
IMG_4532.jpg
 
Magenerali wa Urusi wamemuambia Putin atumie nguvu kubwa kuimaliza Ukraine na kujisalimisha. Naona kilio kikubwa juu ya Ukraine ,ndio maana US kaomba mazungumzo na Russia

Hapo Kiev kinaenda kilio cha kihistoria
Ukiona hivyo ujue Marekani kashaingiza watu wake huko ndani anahofia watauwawa....

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mwanamziki Zi Faamelu ambaye mwanzo alikuwa mwanaume kabla ya kubadilisha maumbile na kuwa mwanamke, amezuiliwa kuondoka nchini Ukraine kwa sababu bado anatumbulika kama mwanaume katika vyeti vyake, hivyo anatakiwa kubaki Ukraine na kupigania taifa lake. https://t.co/rHXXchTUH0
Screenshot_20220305-135654.jpg
 
😂😂😂😂😂😂😂😂
IMG_20220305_135919_923.jpg

The enterprising man changed into women's clothes and tried to leave Kharkov at the station, but he was exposed

Source: Truha
 
Ukiona hivyo ujue Marekani kashaingiza watu wake huko ndani anahofia watauwawa....

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hivi walidhani Russia ni Libya ? Nikisoma historia jinsi warusi walivyojitoa sadaka kwa ajili ya nchi yao wakati wa vita ya pili ya dunia na kwa miaka zaidi ya 70 amejenga jeshi LA kupambana na adui yote sipati picha

Hapo kitakachofata Russia ataweka makombora ya Nuclear Ukraine mlangoni mwa NATO kabisa.
 
The owner of the Zara brand, Inditex, stops trading in Russia, closes stores and online trading
IMG_20220305_141831_432.jpg
 
The most tracked flight on Flightridar is now the IL-96 of the Rossiya Special Flight Detachment, which flies from St. Petersburg to Washington, bypassing the European airspace closed to Russian aircraft.

There is no information about what it is overboard, and who may be on it - no.
IMG_20220305_142102_295.jpg
 
The authorities of Mariupol reported that the evacuation of residents was postponed and accused the Russian side of violating the regime of silence.

The head of the self-proclaimed DPR, Pushilin, said that the humanitarian corridor from Mariupol was not safe because of the provocations of Ukrainian nationalists.

SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Hivi walidhani Russia ni Libya ? Nikisoma historia jinsi warusi walivyojitoa sadaka kwa ajili ya nchi yao wakati wa vita ya pili ya dunia na kwa miaka zaidi ya 70 amejenga jeshi LA kupambana na adui yote sipati picha

Hapo kitakachofata Russia ataweka makombora ya Nuclear Ukraine mlangoni mwa NATO kabisa.
Ila wee jamaa daah yani una maono kama vile ya wale wafuasi wa Zumaridi
 
Putin awarded the title of Hero of Russia to a marine, a participant in a special military operation in Ukraine, Colonel Alexei Bernhard.

“Aleksey received the highest military award for skillful actions in the performance of combat missions during a special military operation in eastern Ukraine,” Oleg Kozhemyako, head of Primorye, wrote in his Telegram account.

He said that the colonel's unit "successfully broke through the enemy's defenses and put him on a stampede."

Bernhard served for several years in the 155th Marine Brigade of the Pacific Fleet in Vladivostok: "He is remembered and appreciated here as a comrade and a competent comView attachment 2139622View attachment 2139622mander."
Asante sanaaa, jamaa kapewa tuzo tukufu na nishani ya kipekee kutokana na namna anavyowanyuka majeshi ya Ukraine

Mi naweka link tu

Back
Top Bottom